Dotto C. Rangimoto
JF-Expert Member
- Nov 22, 2012
- 1,985
- 1,286
Oh, kumbe hujui, bei elekezi sasa ni tsh 2200/ kwa tamko la waziri mkuu.
Hatatokea waziri mkuu worse kama Majaliwa nchi hii!Oh, kumbe hujui, bei elekezi sasa ni tsh 2200/ kwa tamko la waziri mkuu.
Punguzo la kwenda juu...Serikali imepunguza bei ya sukari kutoka 2000 mpaka 3000 kwa 1Kg
sukari tunanunua zaidi ya hiyo??? 2200 hadi elfu 4 ndio nini sasa????Oh, kumbe hujui, bei elekezi sasa ni tsh 2200/ kwa tamko la waziri mkuu.
ndo punguzo hilo mkuu...sukari tunanunua zaidi ya hiyo??? 2200 hadi elfu 4 ndio nini sasa????
View attachment 358094
Bei elekezi ya sukari tsh 1800/= lakini mitaani watu wanunua sukari hadi tsh 4000/=
Haya ndio madhara ya bei elekezi kutolewa na mtu ambaye sukari anayotumia kila siku katika familia yake ananunuliwa na serikali kwa fedha za umma.
Bunge sasa lazima liwe upande wa wananchi katika kipindi hichi ambacho serikali haieleweki. Kipindi ambacho serikali inashindwa kuratibu bei ya sukari inavyo takikana.
Dotto Rangimoto Chamchua.
call/whats 0622845394 Morogoro
Unaota ndoto za mchana wewe.kama kuna maala serikali ili kosea ni kuku bali kuyumbishwa na wafanya biashara.
Kwa kusalim amri ya kufuta bei elekezi, serikali ni lazima ingefia maneno yake kuliko kukubali kuwaachia wafanyabiashara wapige vigelegele vya kuitunishia serikali misuli na serikali ikalegeza msimamo wake.
Hapa serikali kweli ilikosea na hawa wafanyabiashara watakuwa wameona tayari udhaifu wa serikali.
Wakati mwingine ni kheri serikali ikawa na msimamo thabiti kwenye kauli au maamuzi yake.
Serikali ingetafuta hata njia ya kuyarudisha maduka ya ushirika. Kila mkoa ili kuwafikia wananchi kwa haraka hii ingepelekea wafanya biashara kuufyata kabisa na taifa lingepona.