Behind the scenes - Obama na Rizwan Kikwete

Shadow

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2008
Posts
2,897
Reaction score
679




Mhe. Rais Jakay Kikwete wa Tanzania anaonekana akimwambia Rais Barack Obama " Mr. President this is my son, he is a Lawyer and politician

Kushoto Mhe. Ridhiwani Kikwete Mjumbe wa NEC akisalimiana na Rais Obama wa Marekani, amekiri kuwa ilikuwa ni heshima ya pekee ya kutambulishwa kwa Mhe. Rais wa Taifa kubwa la Marekani.












 
yaweza akawa anamtambulisha kama mwanae tu na c kumtengenezea mazingira fulani hatakama yote yawezekana maana viongozi wa africa mmmmh hawajambo
 
yaweza akawa anamtambulisha kama mwanae tu na c kumtengenezea mazingira fulani hatakama yote yawezekana maana viongozi wa africa mmmmh hawajambo

Sio kwa mmarekani, they know how to call a business business
 
Reactions: kui
mbona BO anakuwa kama suspicious, the way anaangalia kwa jicho la mashaka kama kuna kitu!
 


Kikwete: "Mr. President, This is my son his name is Ridhiwani!!!!!!"





Obama: "How are Kikwete Jr?"



Obama: "Do not imitate Uhuru Kenyetta's ways, OK?"
 
Ridhiwan yuko Safi aisee, security protocal ya US imechemsha kwa kijana. nalazimika kumkubari tu sasa.
 
Angeleta na wale wanae wengine awatambulishe kwa BO
 
[h=2]Ziara ya OBAMA Tanzania katika picha[/h]Wednesday, July 3, 2013 · Posted in Habari za Kimataifa, Habari za kitaifa
Watanzania wengi walikuwa na shauku ya kuiona Cadillac One



Usafi ulizingatiwa kabla ya Obama kutua kwenye ardhi ya Tanzania


Hatimaje alikanyaga ardhi ya Tanzania





























 

Ulinzi ulizingatiwa kipindi chote




Mambo yalikuwa hivi walipowasili Ikulu ya Dar es salaam



 

Mke wa Raisi Obama Michelle alipata nafasi ya kutembelea ofisi ya Mwenyeji wake Mke wa Raisi Kikwete Mama Salma ...(WAMA)



Obama na Bush uso kwa uso
Kwa pamoja watembelea makaburi ya wahanga wa mlipuko wa bomu uliotokea mnamo 2/07/
2013,​
katika ubalozi wa Marekani
Dar Es Salaam, Tanzania​









Walipata wasaa wa kusalimiana na wahanga waliopoteza ndugu zao kwenye mlipuko wa bomu huo


Alipata muda maalumu na waandishi wa habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…