Behind the scene ya kifo cha Msichana Betty Ndejembi na Mitandao ya Kijamii - cyberbulling

Status
Not open for further replies.
Uko sahihi kabisa ndugu yangu.
Ila ilitakiwa uwe specific zaidi.
Swali hili la Betty ni nani liko too general, tunaweza kujaza kurasa.
Hayo ni maoni yangu kwako.

Kuna baadhi waliojitolea kutujuza kuhusiana na marehemu, ilijaza kurasa?
 
Hali halisi ni kwamba watu hawatakuwa na huruma na hao vijana waliotuhumiwa kuiba. Very few give a hoot.

Sehemu kubwa ya jamii inaona hilo jambo sahihi kabisa. Na ndo maana huoni watu wakishangaa haya ya kuchomwa moto kwa tuhuma za udokozi yakitokea kwenye nchi yenye kufuata utawala wa kisheria na nchi yenye wasomi waliobobea, ma injinia, ma advoketi, madaktari, ma cpa na mengineyo.

Habari ya hao vijana ililetwa humu. And I'd bet you my last dollar it didn't garner this much attention. That is a shame.

NB: I just spared you the wrath of the grammar police.

Forgive is for men and divine is for heaven.
Nisamehe ndugu yangu cause sikuiona hii motion.
Kweli hili ni tatizo sugu la kuchukua sheria mikononi hapa nchini.
Ila pia kuna sababu zinazofanya watu wafanye hivyo.
Inauma sana unapompeleka mtuhumiwa leo na kuona kesho yuko huru bila muafaka sabili.
Nikwambie tu, nilikuwa dodoma mwaka mmoja umepita, tulikuwa tukivamiwa sana na hawa vibaka, na mimi ni mhanga.
Nilipoteza fahamu kwa lisaa na nusu baada ya kupigwa roba ya maana, walichukua begi langu likiwa na pc,modem,external hard disc, saa ya mkononi yenye gharama tu, pete yangu, simu yangu. Thanks God nilikuta hawajaniharibu.
Nilipotoa taarifa kwenye vyombo vya dola niliambiwa niwatafute nikiwaona nitoe taarifa, wakanipa na namba za simu.
Imagine nilikuwa mwanazuoni, naishi kwa boom, na external yangu ilikuwa na kila kitu changu ikiwepo Research proposal ambayo haikuwa na backup, inakuwaje, na sikuhangaika kuwatafuta wale jamaa kwa kuwa nilijua nimeangukiwa na jumba bovu.
Kweli kabla ya tukio nilikuwa nashangaa sana raia wanapopiga wevi, ila baada ya hapo, nilipata jibu ni kwa nini raia wanakuwa na hasira kiasi hicho.
Naungana na wewe kupinga hatua ya kuchukua hatua mkononi, ila ujue kuwa kama umewahi kukutwa na maswahibu ya wevi, na hayajapoa, unaweza kujikuta umekiuka sheria.
 
Aliyejitolea alijaza kurasa mbili ikiwa naye alizungumzia general.
Ungeuliza specifically, ungepata jibu , kwani aulizaye anataka kujua.
Apart from mtoa mada, kuna mtu ametoa utambulisho....
Hata sentensi kumi hazikufika na nilipata jibu la swali langu toka kwake.
 
Forgive is for men and divine is for heaven.
Nisamehe ndugu yangu cause sikuiona hii motion.
Kweli hili ni tatizo sugu la kuchukua sheria mikononi hapa nchini.
Ila pia kuna sababu zinazofanya watu wafanye hivyo.
Inauma sana unapompeleka mtuhumiwa leo na kuona kesho yuko huru bila muafaka sabili.
Nikwambie tu, nilikuwa dodoma mwaka mmoja umepita, tulikuwa tukivamiwa sana na hawa vibaka, na mimi ni mhanga.
Nilipoteza fahamu kwa lisaa na nusu baada ya kupigwa roba ya maana, walichukua begi langu likiwa na pc,modem,external hard disc, saa ya mkononi yenye gharama tu, pete yangu, simu yangu. Thanks God nilikuta hawajaniharibu.
Nilipotoa taarifa kwenye vyombo vya dola niliambiwa niwatafute nikiwaona nitoe taarifa, wakanipa na namba za simu.
Imagine nilikuwa mwanazuoni, naishi kwa boom, na external yangu ilikuwa na kila kitu changu ikiwepo Research proposal ambayo haikuwa na backup, inakuwaje, na sikuhangaika kuwatafuta wale jamaa kwa kuwa nilijua nimeangukiwa na jumba bovu.
Kweli kabla ya tukio nilikuwa nashangaa sana raia wanapopiga wevi, ila baada ya hapo, nilipata jibu ni kwa nini raia wanakuwa na hasira kiasi hicho.
Naungana na wewe kupinga hatua ya kuchukua hatua mkononi, ila ujue kuwa kama umewahi kukutwa na maswahibu ya wevi, na hayajapoa, unaweza kujikuta umekiuka sheria.

Utaratibu huu wa vyombo vya usalama hautafanya haya mauaji yaishe, Mimi niliibiwa na mwizi wangu akapewa dhamana hata kabla hajafanyiwa ukaguzi mahali anapoishi.
 
Nashukuru kama umeanzisha kwa ajili ya kujulisha umma, ulitakiwa uonyeshe chanzo cha habari yako. Kwangu sijaona uzito wa jambo lenyewe kwani kufa ni kufa, na wengi wamekufa bila kupata wa kuwasemea. Inawezekana ZZK alimjua kwa namna moja au nyigine, ndo maana aliguswa na kifo hiki, tofauti na maneno yenye ushabiki ninayoona humu.
Mkuu inavyoonekana ni kama unajaribu kunituhumu kuwa nimemlisha Zitto maneno ambayo hakusema. Naomba nikuhakikishie kuwa mimi ni mtu decent sana na siwezi kufanya ujinga wa kiwango hicho. Ili iweje? kwa faida ya nani? na kwanini nimlishe Zitto maneno na si mtu mwingine? Nadhani ni vizuri ungeomba evidence ya aliyosema ZZK badala ya kumtuhumu "muanzisha uzi". Anyway ni kweli kuwa ZZK alitoa rai ya kupigania haki ya Betty, "JUSTICE FOR BETTY" (evidence is attached). And without political affiliation watanzania wengi wanaomba Justice for Betty. Mimi pia ni miongoni mwa wanaodemand JUSTICE FOR BETTY. Katika hili namuunga mkono ZZK kwa 100% lakini sikubaliani na wanaojaribu kutumia maneno haya ya for Political gain.!
 
Dada zangu mjiepushe na Zito kwa Kuwa ana gundu.Nakumbuka Amina Chifupa alikufa akiwa anaongelea madawa ya kulevya. Lakini wakati huo alikuwa karibu sana na Zito. Zito aliahidi kuandika kitabu juu ya Amina. Huyu jamaa hapana,ukitaka kuingia matatani ambatana naye. hasa akina Dada.
 
Call a spade a spade...
the girl is overestimated since she is from ndejembis..("mwenzetu")...however, that fact does not ommit my sincere simpathy to her death...
 
Forgive is for men and divine is for heaven.
Nisamehe ndugu yangu cause sikuiona hii motion.

Let not your heart be troubled, my friend.

Kweli hili ni tatizo sugu la kuchukua sheria mikononi hapa nchini.
Ila pia kuna sababu zinazofanya watu wafanye hivyo.

Baadhi ya sababu zake nazielewa fika, lakini kamwe hizo sababu hazihalalishi kuondoa uhai wa mtu ambaye anastahili due process achilia mbali makosa ambayo hayaendani kabisa na adhabu anayopata mtu.

Mtu hawezi kunishawishi kwamba kibaka anayekwapua nguo za watu zilizoanikwa uani au anayeiba simu za mkononi anastahili adhabu ya kifo.

Inauma sana unapompeleka mtuhumiwa leo na kuona kesho yuko huru bila muafaka sabili.

I agree with you wholeheartedly on that. But that's just a microcosm of how rotten the whole law enforcement and justice system is in particular, and the whole society in general.

Nikwambie tu, nilikuwa dodoma mwaka mmoja umepita, tulikuwa tukivamiwa sana na hawa vibaka, na mimi ni mhanga.
Nilipoteza fahamu kwa lisaa na nusu baada ya kupigwa roba ya maana, walichukua begi langu likiwa na pc,modem,external hard disc, saa ya mkononi yenye gharama tu, pete yangu, simu yangu. Thanks God nilikuta hawajaniharibu.

Hahahaaa....hapo kwenye kupigwa roba umenichekesha. Halafu sicheki kwamba ni mazuri...hapana. Nacheka tu jinsi ulivyowasilisha hilo tukio la kupigwa roba na kupoteza fahamu.

I can definitely relate to you on that because I have also been robbed at knife point many years ago.

Nilipotoa taarifa kwenye vyombo vya dola niliambiwa niwatafute nikiwaona nitoe taarifa, wakanipa na namba za simu.
Imagine nilikuwa mwanazuoni, naishi kwa boom, na external yangu ilikuwa na kila kitu changu ikiwepo Research proposal ambayo haikuwa na backup, inakuwaje, na sikuhangaika kuwatafuta wale jamaa kwa kuwa nilijua nimeangukiwa na jumba bovu.

Pole sana. I know the feeling.

Kweli kabla ya tukio nilikuwa nashangaa sana raia wanapopiga wevi, ila baada ya hapo, nilipata jibu ni kwa nini raia wanakuwa na hasira kiasi hicho.
Naungana na wewe kupinga hatua ya kuchukua hatua mkononi, ila ujue kuwa kama umewahi kukutwa na maswahibu ya wevi, na hayajapoa, unaweza kujikuta umekiuka sheria.

I absolutely get it. But, just because I get it, it doesn't mean it's right nor does it mean I condone it. It is wrong in all manner of ways.

Everyone is entitled to due process. Due process is one of the central tenets of the rule of law. We can't as a country proclaim to have rule of law when we have have vigilante justice running rampant in our streets.

Just ask yourself, how many innocent souls have lost their lives to vigilante justice? And where is the outrage for that?
 
Mtoa mada nadhani polisi wakianza upelelezi waanze na wewe. Hizo cyber bulyng hukuziona akiwa hai? Kwa nn hukuandika akiwa hai kama kweli ilikua inakuuma na ulijali? Nahisi na ww unahusika na kifo cha huyu binti ila unachokofanya ni kukwepesha focus ya watu juu ya kifo chake kwa kupost vitu kama hivi hapa na kwenye blogs.
Halafu watz tupunguze unafki, akishakufa mtu naona huwa ni mwanya wa wengine kutokea, kama tulijali sana JUSTICE kwa marehemu kwa nn hatukudai akiwa hai kwa hayo mnayosema yalikua yanamkuta? Sikuwahi kumjua huyo dada wala position yake katila jamii lkn kinachofanywa na baadhi ya watu hapa ni unafki mkubwa. R.I.P Binti
 
Unataka ujadili watu famous tu, akili ya bata hii. Soma ujumbe ndo uchangie. Kusoma habari nusunusu ndo madhara ya kuendelea kuwa na fikra mgando. haya ni matatizo yaliyomkumba raia, hata wewe yanaweza kumkuta ndugu yako, badala ya kujadili, unauliza eti ni nani hapa TZ, unataka cheo chake au?
Hovyo sana.
Usipende ku attack watu moja moja, mleta mada alivyoileta hii mada ilikuwa kama vile sisi wote tunamfahamu huyu betty. Suala la kuchangia au kutochangia, nachangia nini wewe haiukuhusU. Usipende kuzoea zoea watu kwa lazima,Kama unataka kujadili mada wewe jadili kama wewe achana na watu wengine.
 
Tatizo hujui intention ya kuuliza who is she. Nimeuliza kwasababu;
1.Nimependa confidence yake kutokana na ulivomwandika, kutaka kumjua kiundani ni kosa?
2. Jinsi ulivoandika ni kama vile kila mtu anamfahamu, nikiuliza wanaomfahamu ni crime?
3. Unasema ameuwawa, mambo ya politics nayo yamegusiwa kidogo, unadhani wengine tutaunga vipi facts za kifo chake bila kujua ni nani na kwanini yeye na sio mimi, hilo jibu unapata wapi zaidi ya kujua yeye ni nani?
Usifikiri tunauliza ili kubeza, unadhani itasaidia nini!!!! We huonagi hata kwenye misiba inasomwa historia ya marehemu na kujua details zake, unadhani haina umuhimu?
Kila mtu ana umuhimu wake hapa duniani whether anajulikana ama la so nikiuliza hilo swali haimaanishi kubeza.
Gud night.
Inahitajika upelelezi kufikia conclusion, hili zingatia sana acha kukomaa na kauwawa!!!!!
1. Confidence ya mtu na who is she unaona kuna corelation?????? Ulitaka kujua personality yake au nini???!!!! Kumjua zaid sio crime ila si wametajwa say Jokate na Hasanali kuwa walikuwa wanafanya naye kazi take initiatives!!!
2. Hakuna mtu ambaye "kila mtu anamfahamu" inategemea tu mizunguko yako ya maisha na unaokutana nao, huwezi fahamu "kila mtu"!!!!!!
3. Facts za kifo haziungwi kwenye mtandao tena kwa vyanzo vilivyojificha, hata taarifa tu za mtu binafsi huwezi fikia tamati kwa njia hiyo, do your homework!!!!
4. Ndio maama zinasomwa kwenye misiba, uko sahihi. Taarifa fulani kwa sehemu fulani na kwa matumizi fulani, fika sehemu husika utapata taarifa husika!!!
5. Nashukuru kama hubezi, ila pia fuata njia sahihi za kumfahamu marehemu!!!!

PUMZIKA KWA AMANI BETTY, Namelessgirl sema aamin!!!

Hili jina lako linaashiria unaamini sana "majina" au kiwewe cha msiba kinanipelekea kufikiria ndivyo sivyo????!???
 
Last edited by a moderator:
Call a spade a spade...
the girl is overestimated since she is from ndejembis..("mwenzetu")...however, that fact does not ommit my sincere simpathy to her death...
Hakuwa muogeleaji katika hilo jina, unawajua Ndejembi wangapi na kwa lipi??????
Ameishi kawaida saaanaaaa tu!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom