kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 326
Waebrania 13:8
Yesu Kristo ni yeye yule,jana na leo na hata milele.
Amen
Kwani alipekuliwa mtu au begi?
imeandikwa utawajua kwa matendo yao.
''samba mapangala aliimba''
............wake za watu kutongoza imejulikanaaaa.............
..........jihadhari utaishia.......
Shimo la tewaaaaaa.
Mie sioni cha ajabu ya ili begi ,police watwambie kama hiyo bastola anamili hisipo halali?maana mtu yupo hospital kwahiyo aliyeeenda kuchukua begi inawezekana alibeba tu bila kutoa vitu vilivyokuwa ndani,hapa police watwambir uhalali wa hivyo vitu .
Mtu aliyeripoti polisi baada ya kuitwa kwa tuhuma za kuongea lugha ya matusi dhidi ya binadamu mwenzake...itakuwa ajabu kama polisi walienda nyumbani kwake kupekua nyumba yake...'ili kupata ushahidi wa maneno/matusi aliyoongea'...
Lakini kwa polisi ya Tanzania inawezekana.
Tuwe wadadisi kidogo hili begi lilikamatwa hospital usiku wa manane na ishu ya kumtorosha ilikuwa kweli kabisa LAKINI polisi ilihusika kuusuka huu mpango(kwa agenda isiyojulikana) halafu ije iwatie hatiani hawa jamaa, kuna sauti zimerekodiwa! Usiniulize nimejuaje subiri muda ufike
ISAYA 54:17
Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.
Huu ndiyo urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi,asema Bwama
Uongo UPI?
Kwamba idea imesukwa na police
Kumbe wala hakuwa amepoteza fahamu,hilo bag lisingeenda hospital bila maelezo yake kamili kwa walinzi wake.