Duuu totoo brst hapa umemkosea adabu kabisa Mamndenyi nafikiri hata hujui huyu ni nani hapa JF na hata hujui jinsia yake
imeandikwa utawajua kwa matendo yao.
Mimi mchango wangu, siwezi kuchangia kama hao wengi walio tangulia, inaonekana wanafanya ushabiki Zaidi kuliko kutumia akili zao vizuri, najua ni akili ndogo lakini mlipaswa kujiongeza kidogo
Nani kati yenu asiejua ubabaishaji wa jeshi letu polisi ?
Mtu kama Gwajima na utajili alionao kuna ubaya gani kmiliki bastola, kwani mpaka tushangae hilo wanao toa kibali cha kumiliki bastola kuna mipaka kwa wachungaji ?
Mkuu kwani hiyo picha ni kweli ya begi la Gwajima lililokamatwa na polisi.?Nakushauri uliyerusha hizi picha anza kujisalimisha polisi , sidhani kama hiyo picha uriruhsiwa kupost humu
Hapo ni polisi baada ya kupekuliwa
ISAYA 54:17
Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.
Huu ndiyo urithi wa watumishi wa Bwana, na haki yao inayotoka kwangu mimi,asema Bwama
MUSSA ALLAN leo umeongea vema
Kwa upande wangu bado nina maswali mengi kuliko majibu kuhusiana na taarifa ya polisi. Kwanza ninachojiuliza ni kuwa polisi wanawezaje kudhibitisha kuwa hao wanaoitwa wafuasi wa Gwajima walikuwa na nia ya kumtorosha? Labda kama wakisema walikuwa wameishambeba na kutoka naye nje ya hospitali. Kinyume cha hapo kwa kuonesha bastola na paspoti haidhibitishi nia ya kumtorosha. Vinginevyo jamaa wanaweza kusema walikuwa wameenda kumfanyia maombi mgonjwa.
Pili: Nashindwa kuelewa uharaka wa polisi kutoa taarifa kwa vyombo vya habari huku mambo mengine ambayo yalikuwa ni rahisi kabisa kupatiwa majibu kabla ya taarifa hiyo yakiiacha bila majibu. Hivi najiuliza: Inaichukua polisi masaa mangapi kujua iwapo bastora iliyokamatwa ilikuwa ikimilikiwa kihalali ama vinginevyo!!!? Kwa nini wameshindwa kufanya hivyo na wamekimbilia kutoa taarifa kwa umma!!!!?
Tuisadiane kutafakali hayo machache kwa sasa!
Duuu totoo brst hapa umemkosea adabu kabisa Mamndenyi nafikiri hata hujui huyu ni nani hapa JF na hata hujui jinsia yake
Iyo mistari kwa wale manabii wa ukweli wa kipindi icho lakin cyo gwajima maana ata unabii wake unatia mashaka tangu zamani