Begi Baiskeli Mambo ya wachina haya.

Begi Baiskeli Mambo ya wachina haya.

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
w.jpg
w.jpg
 
Ha!ha! kwa hiyo vibaka wanachekelea kiaina...
 
Yakiingia uko Kwetu sijui itakuaje..
 
Ooyooo huyu atakuwa ni dokta wa mita ani na hapo ndo anaelikea kwenye kijewe chaki cha tiba kama hapa bongo na wamasai na madawa yao
 
Ooyooo huyu atakuwa ni dokta wa mita ani na hapo ndo anaelikea kwenye kijewe chaki cha tiba kama hapa bongo na wamasai na madawa yao
Nipe maana ya haya maneno uliyoandika..
Kijewe chaki? Anaelikea?
 
Hiyo baiskeli nkiomba nipakize si nkataa juu ya kuchwa huyu mchoyo yakheeee

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Haina tofauti na bodaboda hapa bongo, ajali kwenda mbele
 
Back
Top Bottom