Before you marry

Before you marry

what if she is hungry, na amemiss meat pengine 6 months wewe ndio umempa nyama siku hiyo??

Hehehehe mrembo mbele ya mwanaume hashindwi kujicontrol bhana
 
hakuna kitu kama hicho ukiona mtu yuko hivyo ujue ni tabia kashaikomaza

Ila mi napenda sana girl asiyeona aibu wakati wa kula,ajisikie free kuliko mtu kujitesa,heri mtu ajiachie kuliko kujitesa.

Uko poa lakini??
 
Ila mi napenda sana girl asiyeona aibu wakati wa kula,ajisikie free kuliko mtu kujitesa,heri mtu ajiachie kuliko kujitesa.

Uko poa lakini??

kujiachia haiamaanishi ndo mtu atafune kama paka plus big spoon bhana lazima ule kwa staha
yeah niko poa
 
heee nife kabisaa kiofisaa wkt ndio nimekiona !! nafakamia km nimetoka Somalia katika vita leo

Hehehehe mrembo mbele ya mwanaume hashindwi kujicontrol bhana
 
heee nife kabisaa kiofisaa wkt ndio nimekiona !! nafakamia km nimetoka Somalia katika vita leo

He he he tatizo warembo mkiwa out mnajifanya hamli,ila mkiwa wenyewe huko majumbani mnakula tu sana
 
kujiachia haiamaanishi ndo mtu atafune kama paka plus big spoon bhana lazima ule kwa staha
yeah niko poa

He he he we utakuwa wale warembo wanaokula soseji mbili halafu wanashiba
 
Sasa mimi sipendi yule msichana ambaye anajivunga halafu akitoka hapo anatamani kulia..akikiangalia chakula anatamani kurudi akichukue.....Njaa inamuuma...then ukute anakoenda anaenda kugegedwa inakuwa shiida na njaa yake maskini

Chakula kimelipiwa Kulaa, sio unakata kinyango eti ndio umeshiba wakati ukimuangalia tuu unajua huyu hajashiba...nyumbani Mapaja mawili ya kuku hayakutoshi...

hakuna kitu kama hicho ukiona mtu yuko hivyo ujue ni tabia kashaikomaza
 
Before you MARRY a lady, invite her
for dinner, eat together & watch out for the
following:-
1. If she starts eating the meat before you it
implies that, she will plan for your salary/income
before you collect it.

2. If she wants to share the meat equally, she
won't be obedient to you, she will always question
your authority.

3. If she asks for juice and water, I am sorry for
you, she is used to hotel quickies! Put her on
voice-mail.

4. If she has a bigger spoon than u, it means u
can't win any argument with her at all and she
may end up beating you one day.

5. If her mouth makes noise while eating, it
means she can't keep secrets.

Hapo nakubaliana nawe kabisa!

Ni moja kati ya mambo niliyoaswa na Babu yangu mpendwa.

Mwanamke yeyote akitoa mlio katika kinywa wakati ya kula, mwogope, mwache hakufai! (tena inatakiwa umpatie
utumbo wa taulo- ni mtihani mzuri)

Nashukuru leo nimeweza kupata uthibitisho mwingine.
 
Back
Top Bottom