BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

Dah! Naona wanaotaka tuwaone watoto wa Kishua wanamtetea mtoto wa Kishua mwenzao kabla hawajafahamu chanzo cha bifu lao ni nini! Watu wa Uswahilini tuna taabu sana; manake kila jambo "wa uswahilini hao... tatizo shule!" Lakini ukichunguza sana unakuta wenyewe ni wa Ubungo au Kimara; kama sio Tabata au Mwenget! Ukikuta wana digrii basi ni zile za kuunga unga... lakini watoto wa Uzunguni wao; wasomi wao wakati viazi tu!!
 
Kweli hapo wamekutana aliye mbele hajulikani,huyu mwingine full mifupa na yule mwingine naye full kuvua pichu kwa kila anayemsogelea.
Mbavu zangu zimevunjika yalaaaah, full mifupa yeuewiiiiii auwiiiiiiii
 
Kingejulikana chanzo ndio unakuwa na usahihi wa kumlaumu mtu,lakini kama hujui kisa chao unamlaumu vipi Shishi beibi kama anakosea, labda (v.money) alimzingua kimya kimya kwenye makutano yao unajuaje....... ( wahenga wanasema wakimya ndio wanakuwaga na mtukio ya ajabu sana)
Shikamoo samsun! Yaani sisi watu wa ushenzini ambao tupo categorized kwamba hatuna elimu tuna taabu sana toka kwa watoto wa Uzunguni! Yaani kila linapotokea jambo wagomvi ni sisi kwahiyo watu huwa hawajishughulishi kutafuta source ya mtafuruku na kinyume chake urukia kufanya conclusion! Ajabu ni kwamba; hata hao wanaojifanya ni wa Uzunguni (ingawaje majority nao ni wa Uswahilini) nao ni full Uswahili!
 
Jane bora ungenyamazia haya mambo wakayamaliza wenyewe wanaelewana hao ni shetani tu kapita mbele yao na kwa wasanii sio jambo la ajabu.Usipende kujishushia hadhi yako/wazee wako na sie.Nakuomba sana Jane yapo mengi ya kujenga unayoweza kuchangia.
Wazee wangu gani sasa ninaowashushia hadhi kwa mfano?
 
Mhm...jux nini? Au tatizo nini,naomba na mimi nijue ya ma celeb wetu uchwara coz mimi nipo uku dabaga nalima mbilimbi ,ya uko yananikosa kabisa
 
Ha ha ha!!!! Mweee!!! Aisee huyu atakuwa anafanya makusudi jamani, mbona hata kiswahili huyo mpare Vee angemuelewa tu. Asijichoshe
Sometimes anafanyaga makusudi kuwazingua watu! Kwa mfano ile video ambayo ilisambaa akisema "Sure boy Shishi baby here...!" Ukiangalia ile video unajua kabisa anafanya makusudi tena huku akicheka!
 
Shishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani

hapa hakuna maharage wala njegere na malezi na makuzi. Shishi na V money ni kama maji na mafuta. Sina wa kumlaumu hapa. Shishi ni kitu kingine na V money habari nyingine. Shishi haelewi ndio maana kabwabwaja IG, nina imani Vmoney hatanyanyua mdomo wake.
 
hapa hakuna maharage wala njegere na malezi na makuzi. Shishi na V money ni kama maji na mafuta. Sina wa kumlaumu hapa. Shishi ni kitu kingine na V money habari nyingine. Shishi haelewi ndio maana kabwabwaja IG, nina imani Vmoney hatanyanyua mdomo wake.
AKINYANYUA TUU SHISHI MATATANI
 
Sometimes anafanyaga makusudi kuwazingua watu! Kwa mfano ile video ambayo ilisambaa akisema "Sure boy Shishi baby here...!" Ukiangalia ile video unajua kabisa anafanya makusudi tena huku akicheka!
Yaani ile mimi ndio iliniacha hoi kabisaa. Kumbe ni "Sure boy.....":eek:. Nilishani alikuwa anasema "It's your boy..."
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom