Become A Satellite Tv Installar; Make Money installing DSTV,AZAM,FTA

mkuu yan kwa mautundu utundu ya hizi vitu gharama zako zipo juu aiseee..

if your planning to attend this short course don't plan to miss,dsat guarantee you not to regret on regarding them as your mentor.

Thanks for you comments!
 
dsat technology kaanzisha uzi, twaleeb akauingilia na kuuvuruga kuwa yeye anaweza kutoa Elimu bure.

Sasa unakuja na hoja kuwa wadau wanakushauri eti mafunzo uyatoe kwa ada kidogo. SIAMINI.

wadau hawajui tuu lakini hiyo ni cheapest ada,maana dsat guarantees Trainee atayetoka pale kwenye upande wa satellite kazi tatu amesharudisha ada yake hizo zingne nifaida maana kuna kaz kibao .na upande wa cctv camera hiyo bei ni bei ya kununulia camera moja tuu. so mm nashauli watu waamke maana tunakokwenda hivi vitu vitakuwa marketable.
 
mkuu yan kwa mautundu utundu ya hizi vitu gharama zako zipo juu aiseee..

mm sidhani mkuu. ila kama unaweza nunua simu ya 150,000 na 200,000 nazaidi ya hapo.kwanini ushindwe kulipia kitu ambacho kitakupatia uwezo wa kubadilisha hizo simu utakavyo. mkuu hiyo ni bei ndogo sana fanya research alfu uwone,
cheapest price and best training one will get.

Thanks for comments!
 
wadau hawajui tuu lakini hiyo ni cheapest ada,maana dsat guarantees Trainee atayetoka pale kwenye upande wa satellite kazi tatu amesharudisha ada yake hizo zingne nifaida maana kuna kaz kibao .na upande wa cctv camera hiyo bei ni bei ya kununulia camera moja tuu. so mm nashauli watu waamke maana tunakokwenda hivi vitu vitakuwa marketable.
ndugu tujaribu kuwa wakweli dish la azam ama dstv kufunga ni 20000-30000 na ivi ss kazi zimekua adimu kwa ajili mafundi wamekuwa wengi ss utafunga madishi mangapi ili uweze kurudisha io hela
 
wadau hawajui tuu lakini hiyo ni cheapest ada,maana dsat guarantees Trainee atayetoka pale kwenye upande wa satellite kazi tatu amesharudisha ada yake hizo zingne nifaida maana kuna kaz kibao .na upande wa cctv camera hiyo bei ni bei ya kununulia camera moja tuu. so mm nashauli watu waamke maana tunakokwenda hivi vitu vitakuwa marketable.
kwa hiyo mkuu hizo kazi unazosema zipo kibao mtu akimalza mnampa kazi ili arudishe pesa yake?! kama ni hivyo kwa nn msikubaliane mumpe kwanza train mtu halaf mkubaliane mkubaliane mumpe afanye hizo kazi ili awalipe?! mi kwa uzoefu wangu hizi kazi sio nyingi kiivyo na pia mafundi ni weng ndo maana kuna haja ya kumuona mr. twaleeb aliyepewa bure na kutoa bure
 
Huo ni mtazamo wako,fanya vile unaona inakupendeza.
Asante!
 
mm nilichoona dsat baada ya kuona kazi adimu ndo maana akaamua afanye ivi ili apate njia ya kupata hela ila c vzr kuwa na moyo wa utu pesa c kitu
 
Back
Top Bottom