Ahsante, hii nafurahia mwenyewe tu.Furahia jioni yako na umpendae[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
Mkuu..ulikua unasikiliza nyimbo za baba ake Enrique Igliusis(Spelling imenishinda)
Aisee....Mimi Bado Bado kidogo kuzeeka..japo.miaka inasonga kwa Kasi sana
Hivyo hivyo, kikubwa kueleweka tu,Mkuu..ulikua unasikiliza nyimbo za baba ake Enrique Igliusis(Spelling imenishinda)
Aisee....Mimi Bado Bado kidogo kuzeeka..japo.miaka inasonga kwa Kasi sana
Billy Ocean au nimemfananishaView attachment 1694612guesss who is this young boy?
Umenikumbusha tangazo la Magodor Dodoma....walikua wanasema ametumia babu Hadi mjukuu[emoji3][emoji3]Muziki ni Muziki tuu hauna umri wala wakati. Hizi alikiliza babu hadi mjukuu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]