Beberu vs njemba

Gobe Isiah

Member
Aug 12, 2011
12
1
Njemba tano zilikuwa zinawania ubingwa wa kunuka dhidi ya beberu(mbuzi dume) kila aliyeingia mlango uridushiwa jamaa wa kwanza aliingia kwa muda usiopungua sekunde 56 akatoka mbio na kuliacha beberu,hivyohivyo kwa washikaji wengine watatu waliukimbia ulingo! Lakin njemba ya mwisho ikaingia! zilipita kama dk 4 kati ya 5 kutoa droo mara wa2 wakaona mlango unafunguliwa huku beberu akitoka mbio mbio na njemba ikatawazwa ubingwa!! Duuh! Naomba utoe asimia ngapi umecheka.
 
Hapo ni sawa na kutekenya jiwe ukitarajia licheke.
Natoka nje mara moja nione kama wanaocheza huko wana viroja mchana mwema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom