C cordoba JF-Expert Member Jul 15, 2017 686 962 Dec 14, 2019 #1 Hii inamaana beberu ana nguvu sana kuizidi serikali nzima, kila mara viongozi wa CCM na serikali wanalia kwa kuumizwa na beberu lakini mwisho wanashindwa kumtaja na kumdhibiti. Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inamaana beberu ana nguvu sana kuizidi serikali nzima, kila mara viongozi wa CCM na serikali wanalia kwa kuumizwa na beberu lakini mwisho wanashindwa kumtaja na kumdhibiti. Sent using Jamii Forums mobile app
A adolay JF-Expert Member Dec 8, 2011 12,101 14,478 Dec 14, 2019 #2 Majitu maongo na mazushi hayo. Akina rwegemalila na singa mpka leo wanaozea huko Wale wamkombozi wanapeta Wa fedha ya mboga 1bn Wamasandalusi fedha mkombozi wanapeta Ugopa sana ccm. Wanafiki na waongo hakuna mfanowe
Majitu maongo na mazushi hayo. Akina rwegemalila na singa mpka leo wanaozea huko Wale wamkombozi wanapeta Wa fedha ya mboga 1bn Wamasandalusi fedha mkombozi wanapeta Ugopa sana ccm. Wanafiki na waongo hakuna mfanowe
Kawe Alumni JF-Expert Member Mar 20, 2019 8,685 11,988 Dec 14, 2019 #3 Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu Hovyo sana Nyie Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke
Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu Hovyo sana Nyie Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke
A adolay JF-Expert Member Dec 8, 2011 12,101 14,478 Dec 14, 2019 #5 Kawe Alumni said: Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu Hovyo sana Nyie Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke Click to expand... Acha unaa wewe utafedheheka Siku moja. Muulize lyatonga
Kawe Alumni said: Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu Hovyo sana Nyie Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke Click to expand... Acha unaa wewe utafedheheka Siku moja. Muulize lyatonga
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,502 142,215 Dec 14, 2019 #6 Najua wajua, sema wataka kujuzwa zaidi... Cc: mahondaw
Katalama JF-Expert Member Mar 19, 2019 854 1,474 Dec 14, 2019 #7 Kawe Alumni said: Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu Hovyo sana Nyie Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke Click to expand... Na bado mnakopesheka. Sent using Jamii Forums mobile app
Kawe Alumni said: Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu Hovyo sana Nyie Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke Click to expand... Na bado mnakopesheka. Sent using Jamii Forums mobile app
M mzee wa kismati JF-Expert Member Aug 25, 2013 2,287 793 Dec 14, 2019 #8 Itakuwa mbowe na genge lake