Beberu ndio nani mbona serikali wanashindwa kumtaja?

cordoba

JF-Expert Member
Jul 15, 2017
686
962
Hii inamaana beberu ana nguvu sana kuizidi serikali nzima, kila mara viongozi wa CCM na serikali wanalia kwa kuumizwa na beberu lakini mwisho wanashindwa kumtaja na kumdhibiti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majitu maongo na mazushi hayo.

Akina rwegemalila na singa mpka leo wanaozea huko

Wale wamkombozi wanapeta

Wa fedha ya mboga 1bn

Wamasandalusi fedha mkombozi wanapeta

Ugopa sana ccm. Wanafiki na waongo hakuna mfanowe
 
Nyie Ndio vibaraka wa mabeberu

Hovyo sana Nyie

Mnafaa mkafungiwe kwenye makambi ya kizalendo hadi mnyooke
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom