The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
- #21
Ha ha ha ha lol!!!!Nilikuambiaje lakini Samora,mbona husikii??umesema uko njiani niko hapa barabarani nakusubiri hufiki,ni kucheka kulilia harusi za wenzio????
Ha ha ha ha lol!!!!Nilikuambiaje lakini Samora,mbona husikii??umesema uko njiani niko hapa barabarani nakusubiri hufiki,ni kucheka kulilia harusi za wenzio????
Mipango banaa ndio iko njianiShem huyo,kumbe bado hujaoa????mi nahisigi wewe ni mutu ya ndoa na watoto...........heeeeeeeeeeee.......Go go TF,karibu kwenye maisha ya ndoa......:laugh::laugh:
Kaka mchezo dakika ya 90 halafu bado bila bila ha ha ha lollol! bado nasoma mchezo kaka
Ha ha ha ha sitaki ugomvi na shemeji yangu michellehuyo best lady wa bi harusi ni wekee kabisa kabisa.....l.o.l kloro mc bana
Kwa ukali huo lazima achelewe chelewe!Hata kama hamna foleni atapack sehemu apumue kwanza!Embu muulize kwa upendo mwenzio!Nilikuambiaje lakini Samora,mbona husikii??umesema uko njiani niko hapa barabarani nakusubiri hufiki,ni kucheka kulilia harusi za wenzio????
Ha aha ha ha huyo ndio mama mchungajiKwa ukali huo lazima achelewe chelewe!Hata kama hamna foleni atapack sehemu apumue kwanza!Embu muulize kwa upendo mwenzio!
Mipango banaa ndio iko njiani
Kwa ukali huo lazima achelewe chelewe!Hata kama hamna foleni atapack sehemu apumue kwanza!Embu muulize kwa upendo mwenzio!
ha ha ha ha sitaki ugomvi na shemeji yangu michelle
Ha ha ha lol SHARING IS CARINGvitu vizuri kwa kugawana bana!
Naanza mafunzo kwa mama mchungaji lolKila la kheri shem....ujiandae vizuri,uende mbele za Mungu ukimaanisha.......lol
Ha aha ha ha huyo ndio mama mchungaji
Hahahaha...kwa nyumba ndogo hata akicheka anabembelezwa..we unamsema tu!Shauri lako...Ha ha h ahaaaa,ni kakorofi mama mchungaji,kila siku namwambia kama analia aonyeshe,na kama anacheka aonyeshe,yeye anaonyesha vyote kwa pamoja......lol
I like that Best Man..he is a gentleman; that Groom...naah! he is a dog!!
Shossi nani amekwambia kuwa ukizaa na mzungu kama wewe Mwafrika mtoto anakuwa Mzungu