The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
Kaka sijui leo vipi banaa aarghhhh!!!!![]()
kaka vipi leo mawazo ya ndoa yamekuwa mengi nini? l.o.l
Kaka sijui leo vipi banaa aarghhhh!!!!
Kaka best man wewe halafu klorokwin, uporoto01 na wengineo wanakuwa maids wa kiume ila huyu klorokwin atasababisha maafa kwenye harusi lol!!!!!!fanya mikakati bana!.....l.o.l
Ha ha ha ha umeona eheeeTunangojea kajomba kakizungu..............................
Kaka best man wewe halafu klorokwin, uporoto01 na wengineo wanakuwa maids wa kiume ila huyu klorokwin atasababisha maafa kwenye harusi lol!!!!!!
Maria Roza floor manager lolUsinikose katika high table :first:
Maria Roza floor manager lol
Tunangojea kajomba kakizungu..............................
Ha ha ha mkuu bado bado banaaajust awesome!
Mkuu nasubiria uanze wewe kwanzamkuu ukiona umeanza kupenda vitu hivi ujue karibia utatuaga kwenye hii kambi ya senior bachelors
kaka best man wewe halafu klorokwin, uporoto01 na wengineo wanakuwa maids wa kiume ila huyu klorokwin atasababisha maafa kwenye harusi lol!!!!!!
mkuu ukiona umeanza kupenda vitu hivi ujue karibia utatuaga kwenye hii kambi ya senior bachelors