Beautiful Yacht

Beautiful Yacht

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
251853_405178606228102_283474256_n.jpg
 
Nzuri sana, Lakini sidani kama itakua comfortable kwenye speed yoyote!
 
Pepo wengine wanazitengeneza humu humu duniani.
 
Yaani ingekuwa kwamba binadamu hawafi, lakini ndo hivyo, ni mpito tu.
 
Yaani ingekuwa kwamba binadamu hawafi, lakini ndo hivyo, ni mpito tu.

Hicho ndicho kilichokuja kichwani mwangu.. Ingekuwa mie ndo ninamiliki hiyo anasa kila ciku ningekuwa nawaza.. jee nikifa nitaacha anasa yote hii..? Nadhani ningekonda kwa mawazo mie..
 
EXTREMELY BEUTIFUL!Jamani kufa huku,kungekuwa hamna kufa mi mwenzenu ningewaza kuwa na kitu kama hicho siku moja,ila kila nikikumbuka ile thread ya Bujibuji enjoy life to the fullest naishiwa nguvu mwilini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom