englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
hata kwetu mwanza ipo hiyo rock city!!!!!
Kwani hapo umebiwa sio mwanza? Hii kama sio pale nyuma ya Mwaloni itakuwa mitaa ya Capri point
Mwaloni kwetu, Mwanza kuzuri sana.
Hiki kiwanja kinaitwaje mkuu? Nina kitambo sipo mwanza