Luanda Angola ni mji ghali kuishi kwa sababu ya biashara za mafuta, si kwa sababu ya kuwa na kitu chochote chenye tofauti sana kwenye starehe.Uzuri unachogaramia ndio unapata na uwe umeenda kufanya starehe zako coz American walio na ela za kuchezea wamejaa kule wanakula maisha wanaondoka.
Luanda Angola ni mji ghal ikuishi kwa sababu ya biashara za mafuta, si kwa sababu ya kuwa na kitu chochote chenye tofauti sana kwenye starehe.
Kuna kitu gani cha starehe ambacho kipo Luanda tu hakipo sehemu nyingine yoyote duniani?
Hujajibu swali, kwa sababu hakuna cha tofautikwamtu aliyetembea.Siku uende ndio utakuja simulia ni simple tu kwa pipa me siwez kusimulia ntajaza Thread kibao hapa na ntachoka kuandika gazeti.kama ni mafuta Iraq/Saudia/Nigeria etc [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kungekua na maisha ya juu sana
Hujajibu swali, kwa sababu hakuna cha tofautikwamtu aliyetembea.
Kila kitu kipo mtandaoni sasa hivi huhitaji kusema sana, unatoalink tu.
Angola haikustaili iwe hapo ilipo sasa hivi, hiyo nchi inamafuta lakini raia wake ni maskini wa kutupwa,
Kiufupi mazingira ya hiyo nchi haijaizidi Dar ya Makonda, jaman muwe mnatembea msidanganyike na picha..
Rais wa kwanza wa Angola rais José Eduardo dos Santos ndiyo aliyekuwa anajimilikisha rasilimali za Angola huko akimlimbikizia mali mtoto wake wa kwanza Isabel Dos Santos..
Maisha ya raia wa huko ni bora ya raia wa kigoma ujiji
Bongo ni mwendo wa chuki na visasi. Maana halisi ni kuona namna wenzetu walivyoboresha miundombinu na si maisha ya mtu mmoja mmoja. Anataka kuona mtu mweusi anaishije. Ina maana hiyo miundombinu haimsaidii. Nyumbu ni Nyumbu
Hiyo ni Sweden ya Angola au ulaya. Usije ukawa unafananisha bombardier na airbusangalia kijijini sweden
Kukipenda unaweza kupenda hata bustani ya mawaridi yanayoota dunia nzima, hilo siswali langu.Sasa kama umetembea basi nenda nako ukatembee shida iko wap [emoji3]ndugu sina link ila nina picha zangu binafsi za kule siwez kuzipost hapa nilichojionea kule nilikipenda,kila mahala kuna ladha yake so zunguka dunia hii hata cha Kampala hakifanani na cha Dsm.
Kukipenda unaweza kupenda hata bustani ya mawaridi yanayoota dunia nzima, hilo siswali langu.
Nimekuuliza kitu cha pekee,hujajibu, kwa sababu hakuna.
Sasa usiongelee vitu subjective kama objective, utakuwa unalazimisha uzuri wakati uzuri kila mtu anaona anavyopenda.Siwez kukujibu ndio maana kuna tunaopenda mercedes benz na wanaopenda Range rover so nenda kajioneee utakachopenda ni kwa ajili yako Fullstop.
Kwenye picha hata Sudan Kusini pazuri!Leta picha za maisha ya Waangola weusi kama mimi, na siyo mapicha ya maghorofa, hayo hata Bongo yapo, nataka kuona maisha ya Waangola weusi!
Cabinda iko ndani ya DRC ndo maana unazani jamaa wanajiona wako mbali na AngolaWho told u..?? majimbo yote yapo chini ya Serikali ya Angola Cabinda wanataka kujitenga na hilo lipo toka vita za Angola miaka ile,na walipo n kama Zenj na Tanganyika.lakin bado serikal ya angola imesema nyie n waangola Tu.
Sasa usiongelee vitu subjective kama objective, utakuwa unalazimisha uzuri wakati uzuri kila mtu anaona anavyopenda.
Umeanza kwa munkari kwamba huko kuna visivyo kwingine wakati kumbe ni habari ya mpenda mapengo la Dr. Shika kuyaita mwanya.