HISIA KALI
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 694
- 109
kama anaona serikali mzima inaunuka dawa sio kutowachukulia hawa wachache hatua. Tungemuona huyu mama kuwa anafikiria vizuri kama angetoa hoja kwamba serikali nzima inanuka hivyo iondoke madarakani ili wananchi wachague serikali nyingine haraka iwezekanavyo kabla mambo hayajawa mabaya zaidi.