Beatrice Shelukindo achakachuliwa?

CCM hakuna wapiganaji ila kuna wafakamia maji. Kuogelea kwenye kina kirefu zaidi yako unahitaji ufundi wa hali ya juu na si kudandia uonekane kuwa nawe wajua kuogelea.....utafakamia maji bure. Shelukindo ame-prove kuwa ni mfakamia maji.
 
Kumbe kufoka kote kule na "ushahidi ninao" bado anaogopa kuusimamia ukweli ambao umedhihirika. Nadhani alikuwa anatafuta umaarufu tu. Sasa kwakuwa mambo yote hadharani hakuna wa kumsamehe muhalifu hapa ni sheria msumeno
 
fedheha ya serikali ndani na nje ya nchi hataki kuonekana chanzo

anajivua lawama kwa J.K na CCm kwamba hahusiki kwa kujiuzulu kwa waziri/naibu wake

Beatrice anashangaza! Badala kujisikia shujaa ananywea na kuanza kurudi nyuma! Kwa hiyo mwanzoni alikuwa anapinga kiunafiki akidhani mambo yataishia juu juu kama walivyozoea siku zote. Bora atulie tu alinywe kimya kimya maana sio chungu ni kwa manufaa ya taifa.
 
Mhe.Beatrice Matumbo
Shelukindo Mbunge wa Kilindi(CCM) aliyejipatia ujiko kwa kuibua suala la wizara ya nishati na madini kujikusanyia fedha haramu kusaidia bajeti yao ipitishwe leo ametetea watuhumiwa wake wasijiuzulu eti kwa kuwa serikali nzima inanuka, anaonekana kujutia kuleta barua ile bungeni. Naye kapokea kamgao?

Huyu mama anayumba sana tokea amsaliti mume wake na kujiunga na kambi ya lowassa amepoteza sana muelekeo!mama achana na lowassa rudi mstarini tuendeleze mapambano ya ufisadi na mafisadi,utaharibikiwa ukiendelea kukaa kwenye hiyo kambi,hii yote ya kuonyesha kila mtu ananuka tunajua umetumwa na genge la lowassa ili idea ya kujivua gamba ikose mashiko!ni strategy tu!
 
Huyo shelukindo ni mtu hatari hata kuliko huyo jairo na wenzake.
Taifa hili linahitaji watu wazalendo wakweli si watu wanafiki kama huyu mama anayehongeka au kuogopa malipizi.

Huyu anatoka kwenye ile list ya ma pro lowassa ambayo niliwahi kuiweka hapa huko nyuma watu wakanizomea,this is just the beginning,bado wengine watawaudhi sana uko mbele,bado kubenea hajafanya mambo yake,huyu ni beatrice tu kaanza,ndio muache kuparamia mambo kichwa kichwa na kuwashangilia na kuwapa ushujaa watu bila kuwachunguza!!!!mafisadi ni watu wajanja sana wanajua jinsi ya kuwatumia watu mnaowaona mashujaa mwishoni wanakuja kuwaumiza,nawaambieni maumivu atakayokuja kuwaletea kubenea ni makubwa zaidi ya haya,tusubiri tuone tu!
 
Tatizo la watu wa ccm integrity yao ni ya mashaka sana. Hivi ngereja aliyrpokea 4m kwa siku kama alikuwa hajui alipokeaje? Tuanze na hawa ili iwe fundisho. Wapi na wapi katibu mkuu anaweza kuwa na nguvu kupita waziri kama si wa sababu kinachoangaliwa ni uswahiba na rais. Angalia hata ruhanjo anavyomdharau waziri mkuu na bunge.
Pinda sifa kuu aliyonayo ana unyeyekevu na woga sana yakimzidi analia! Hii nafasi nayo iko wazi. Lowasa utamsema kwa mengine lakini is a decision maker!
 
Mnafiki tu,hana lolote.
Tena ni unafiki wa kijinga. Huyu huyu ndiye alikuwa ameapa kumlipua Lowassa, leo anampakata. Akaanzisha kashfa hiyo ya Jairo na yeye akidhani kwamba ana haki ya kuhodhi skendo alizoanzisha anataka kupitia mlango wa nyuma kunyamazisha watanzania. Mwehu kweli huyu!
 

Mh Mama Shelukindo hana jipya...., ana njaa ya kujijenga kisiasa ndani ya ngome ya mafisadi!
2011 mpaka 2015, co mbali..., ndicho kipindi cha kuanza kujaribu uwekezaji ktk NEC 2012 na Govt mpya ya 2015!
kila kona fedha chafu ya mafisadi inamzunguka...,
je angefanya nn zaidi ya kuchakachuliwa kwa fedha chafu na ahadi tele hewa za mwaka 2015..?
KIla Mbunge ndani CCM ya sasa anawaza ndoto za uwezekaji ktk NEC 2012 na GE 2015...!

CDM karibuni Kilindi Tanga tuanze mchakato wa 2015!
 
Back
Top Bottom