Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

Maneno mazito sana Prof kfhirji utashangaa hawatajibu hoja bali watakuja hapa na viroja.

Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji
 
Last edited by a moderator:
Bora ungekaa kimya kuliko kupoteza muda kuandika bandiko refu lisilokuwa na maana kabisa.

Prof Hirji,

Ahsantum kwa kujipambanua japo kwa kifupi. Ingawa mpaka sasa bado sijapata taarifa zako ingawa wote tulipita hapo UDSM mwishoni mwa miaka ya 70's na wengine tulikuwa washiriki wazuri wa Mzee Punch.

Na nimefurahi kujipambanua kuwa wewe ni Mtaalam wa Hisabati na SIO History. Hivyo nakushauri sana HISHIMU TAALUM. Kama ingekuwa Historia ni Rahisi na wewe basi ungesomea hicho. WASOMI HUWA TUNAHISHIMIANA KWA TAALUMA ZETU.

Lakin kama umesoma vitabu vya Al Akhiy Mohamed Said utaona kwenye Utangulizi wa vitabu vyake amebainisha wazi kuwa yeye anaelezea mchango wa wazazi wake (wazee wa kariakoo) ambao umesahaulika na kutowekwa katika historia ya Tgk katika kupigania uhuru wa Nchi yenu.

Sasa ukichambua kwa kina utatazama Je Mohamed Said alikuwa akiishi maeneo gani na katika mazingira gani. Utaona wazi kuwa ameishi maeneo ya Uislam na alililewa kiislam na wala hajalificha hilo.

Na hata ukipitia katika maandiko yake anasema wazi amesimuliwa moja kwa moja kutoka kwa wazee hao na hata alipokuwa mdogo kabla kupata fikra za kuanza kuandika historia hizo alikuwa anawafahamu kwa kuwaona kwa namna moja au nyingine wazee hao.

Kama ukisoma kwa kina amegusia hata baadhwi ya wa Kristo kama akina Rupia, Nyerere na wengineo lakin hao wameingia mara baada ya kukutana katika harakati na wazee wake na hilo kitaaluma linarukhusiwa. Kwani amejikita katika kuandika mchango wa wazee wake uliosahauliwa na nchi IMA kwa bakhati mbaya au kwa makusudi. Lakin yeye amewaenzi kwa kuandika mchango wao ambao wengine mumeona baada ya miaka 50 ya kusahaulika wengine wamekumbukwa na hata kupewa Nishani na nchi.

Sasa unaposema UDINI , Prof hapa ndipo ninapokushangaa kwani umeanza kusoma page number 1 na kuendelea BILA KUSOMA Utangulizi ambao ndio mwongozo wa kitabu chochote Duniyani.

Kama utasoma vitabu page by page nafikiri utajifunza mengi saana na kuona kwanini Historia aliyoandika inapendwa na wasomi na kutumiwa na Universities mbalimbali duniyani ukilenganisha na ile iliyoandika kivukoni na Akina Kiwanuka.

Nakushauri rudi tena darsani au muombe akudarsishe kidogo kukhusu historia alizoandika na wewe ujibu suala la kwanini wazee hao kwa wingi wao na mchango wao mkubwa wakasahaulika na kuwekwa akina Rashid Kawawa ambao waliingia wakt chakula kimeiva.

Kwa akili yako ndogo unafikiri nitapoteza nini CDM wasiposhinda?

Mie nategemea elimu yangu, bora washindwe ili tukutane kwenye minakasha rais akiwa Lowasa aliyesaini MOU ili asaini zingine ha ha haaaa

Kwi kwi kwi teh teh teh
 
Wasomi haturukhusiwi kusema Nonsense bila kwenda mbale zaidi na kusema Sense ni ipi.

Kuwa msomi kiduchu japo kwa kwenda hatua moja zaidi na kuweka bayana zako.

Ndio yale yale Al Akhiy Mohamed said Kaandika kitabu mnasema kaandika uzushi, Mkielezwa andikeni ukweli mnagwaya.

Pole sana

Toka lini mkinga toka makambako akawa msomi... wakinga ni wachawi tu.. mamake huyo matumbo ni mchawi na babake ni mchawi sasa hiyo elimu ataitolea wapi???

Nyogo linyoo matumbo
 
Last edited by a moderator:
Toka lini mkinga toka makambako akawa msomi... wakinga ni wachawi tu.. mamake huyo matumbo ni mchawi na babake ni mchawi sasa hiyo elimu ataitolea wapi???

Nyogo linyoo matumbo

Nikusahihishe tu,mimi ni Msukuma.

Pia wazazi wangu usiwaingize hapa sababu hujui ata wapo wapi kwa sasa.

Kasome ata MEMKWA itakusaidia sana.
 
Last edited by a moderator:
Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji
Umeulizwa kingine unajibu mambo mengine watu wanataka uwaeleze historia ya Tanganyika unaleta drama za Sumbawanga nani kakuuliza.
 
Bora ungekaa kimya kuliko kupoteza muda kuandika bandiko refu lisilokuwa na maana kabisa.
Naona una mahaba mazito na huyu muhindi kila anachosema unakata mauno tu, sasa nani kamuuliza habari za Sumbawanga watu wanataka historia ya Tanganyika.
 
Toka lini mkinga toka makambako akawa msomi... wakinga ni wachawi tu.. mamake huyo matumbo ni mchawi na babake ni mchawi sasa hiyo elimu ataitolea wapi???

Nyogo linyoo matumbo

kwa hiyo matusi ndiyo uislam? Sheikh mzima unatoa matusi ya nguoni! AIBUUU. . . . .
 
Last edited by a moderator:
Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji

"Professor" Hirji, unaweza kuwa umeandika mengi sana lakini hukuandika aliyoyaandika Mohamed Said au unatueleza kuwa umeandika hayo hayo ya Mohamed Said au yanayofanana na hayo katika hiyo 'chapter" yako ya Historia?

Jee, umewahi kumsikia Mshume Kiyate?
 
"Professor" Hirji, unaweza kuwa umeandika mengi sana lakini hukuandika aliyoyaandika Mohamed Said au unatuelea kuwa umeandika hayo hayo ya Mohamed Said au yanayofanana na hayo katika hiyo 'chapter" yako ya Historia?

Jee, umewahi kumsikia Mshume Kiyate?
Wewe kaa pembeni sasa, HIRJI is in the house,tunakuomba uwe mfatiliaji tu mohamed Said, mwaga cheche bila chenga tunaomba uthread carefully maana reputation yako Hirji anaweza kuichanachana to shreds
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu

Shukran sana. Hapa naendelea kujifunza mengi hasa historia ambayo sikuijua awali.

Shukran tena na zaidi

Respect !!!
 
Ningependa kutoa historia fupi ya kibinafsi

Mwaka 1969: Mimi, Karim Hirji, nilikuwa Mhariri Mkuu wa jarida la wanafunzi wa UDSM
liitwalo CHECHE. Tuliunga mkono siasa ya ujamaa lakini tulisema ukweli kuwa utekelezaji
wake na TANU ilikuwa mbaya sana. Wazee wa TANU walikasirika sana na Jarida letu ilpigwa
MARUFUKU.
Mwaka 1973:Niliandika makala kukosoa sera ya Mwalimu Nyerere kuhusu elimu ya kujitegemea
iliochapishwa UDSM kwenye jarida la Maji Maji Nilionyesha utekelezaji wake shuleni ilikuwa una
mapungufu mengi. Wakati ule nilikuwa Assitant Lecturer wa Mathematics. Mwalimu alikasirika
na mimi nilifukuzwa UDSM na nilipelekwa SUMBAWANGA.
Mwaka 1979: Niliandika chapter kwenye kitabu A HISTORY OF COLONIAL TANGANYIKA kuhusu
sera za wajaremani ya elimu na niligusia suala la dini pia.

Na kuna mengi zaidi. Watu wengi wana sema mambo ambayo kwa wakati ule walikaa kimya.
Mmi nili sema ukweli wazi wazi na nilipewa adhabu kali.

Ndugu Saidi mimi pia nina historia ndefu ya kuandika mambo ya social historical analysis.
Na wewe pia una historia ndefu ya kufanya hivyo. Lakini mimi sisemi kwa wengine
nyinyi mlikuwa wapi wakati wote huu.

Kuuliza swali kama hilo ni a diversionary tactic. Hai fai hata kidogo. Leo wewe na mimi
tumekutana kwenye majadiliano ya mambo muhimu kwenye nchi yetu. Tujaribu kujibu
hoja kwa hoja, wazo kwa wazo, na siyo kuuliza ULIKUWA WAPI? Kila mtu ana haki ya
kujiingiza katika mjadiliano yeyote wakati wowote.

Prof. Karim Hirji
Mr. Karim Hirji.

Vipi ile history ya Kivukoni kuhusu Tanganyika pamoja na kuwa ilikuwa muhariri zamani mbona huajataja mapungufu yake au unakubaliana nayo, lakini umekimbilia kumjibu Mohamed Said na kutoa mifano ya ajabu.
 
Reading Hirji's article this one tingled with excitement. He thought we now are onto something. Worthy. Digging deep. A city of ideas. Where the exchanges would enrich the mind even when you disagreed with the points. Alas! True to form this has now reverted to type. Intellectual bullism and some lazy medley of faith, false pride, zealotry, or all rolled into one. So much so one heavy-hitter weighed in with a celestial announcement In the year of the Lord! How do you argue with that? What intellectual basis is there to question your faith, Your Lord? The other hitter went down-low mimicking Hirji's ancestry. He is Indian afterall and so: Bana Kuba.

I am blind but I know there a many ways to go and this is not one of them.

Yes, I know Mshume Kiyate and all Swahili soldiers who gave their lives so that I would be writing these lines. A keyboard. Some schooling. Seen the world. Some of these soldiers you don't even know. (Because you don't need to). Sheikh Amran. Sheikh Isa Kibira. Fimbo Mtwana. Ustadh Mangilingi. Chamng'anda Usingizi. Fatuma bint Mpera. Sheikh Mwinyimlenda...But so what? So that we could compare who suffered most? The academe of the slaves. I was lucky but many offspring of these soldiers are languishing in ignorance, poverty, disease and the pride of being "Wazee wa Dar es Salaam", wheeled out from their hovels from time to time for the national television and a per diem of sahani za ubwabwa. Where is the pride? To get these offspring off charity you take them to cities of ideas not stale stories.

Let us build this land together. It belongs to all of us. The descendant of Indian cobbler. Ponjoro na Baniani. Mkinga mchawi. Manyema slave. Christian. Muslim. Pagan. Chief. Commoner. Woman. Man. No one has a monopoly over the history of this country. And some of the Indians derided have been here way before the Manyema slaves, way before the Ngoni migration. Some respect!

Let descendants of Mshume Kiyate learn about cities of ideas, algorithm of this medium, ode to joy, Professor Hirji's nuance, that would be a befitting coda to Mshume's struggles and not some vacuous declarations about Year of the Lord in these seconds of nano technology.
 
Juan Emmanuel,
Kuwa na marais Waislam si ufunguo wa tatizo.

Tatizo ni kuwa hakuna rais Muislam au Mkristo anaekubali kuwa nchi yetu ina
tatizo la udini.

Hili ni suala nyeti kupita kiasi.

Ikiwa itakubalika kuwa kuna udini kwanza ni lazima iwe Waislam ndiyo
wanaobaguliwa.

Ikiwa hivyo lazima ijulikane ubaguzi huu umeanza lini na nani alisimamia
ubaguzi huu.

Hapo ndipo panapotisha.
Kwa ajili hii basi hakuna aliyekuwa tayari kumfunga paka kengele.

Prof.Hamza Njozi aliandika kitabu kuonyesha ubaguzi dhidi ya Waislam kupitia
kitabu chake, "Mwembechai Killings..."

Yaliyokuwa ndani ya kitabu na ni ukweli mtupu ulitisha serikali.
Kitabu kikapigwa marufuku.

Ukipenda unaweza kukisoma kitabu hicho mtandaoni.
Ukikutwa na kitabu hicho utafunguliwa kosa la jinai.

Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi,inabidi tuombe tupate viongozi wenye ujasiri wa kuweza kulizungumzia suala hili kwa kinagaubaga,ili sehemu ya jamii inayo kandamizwa au kubaguliwa,iweze kujikwamua,na nchi yetu iendelee mbele tukiwa pamoja,maana si vizuri na ni jambo la kutisha ikiwa kuna ubaguzi au kulikuwa na ubaguzi wa kitaasisi uliofanyika au unaoendelea kufanyika dhidi ya sehemu kubwa ya jamii.
 
HIRJI mpaka kawa banished to sumbawanga hapo inabidi uelewe mengi. Sio kama MS anarandaranda Gerezani raha mustarehe
Namuuliza Mr.Hirji, wewe kaa pembeni hauna hata moja unalojua kuhusu historia ya Tanganyika, nakushauri uwe msomaji, Mr.Hirji wana JF wasubiri majibu.
 
Back
Top Bottom