Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

kaka najua nawakwaza ila inatia uchungu kila siku yale yale mtu unaambiwa angalia ndugu zako jamiiforums wameshaanza fujo zao ss ata mjadala upo wap hapa..fungua akili kaka haipendezi

Bora ujiondokee tu, jinsi unavyoandika unaonesha hata unachokisoma hukielewi.

Kama wewe ni kweli Mr. Gentleman hebu liishi jina lako, ondoka kimya kimya tu kama gentleman.
 
Licha ya hilo, nimemwekea Chintu nukuu ya Hirji kutoka kwenye "full version" yake mpya anakiri kuwa atabadili ukweli wa Mohamed Said kuwa nusu ukweli.

Jisomee juu hapo.

Halafu tukae kimya tu?

Hawa watu wananifurahisha haswa, si utani.

No wonder I am asked to write in Kiswahili.
And unfortunately Karim Hirji cannot write in conversion of such academic jargon into Kiswahili since there is no such Kiswahili vocabulary that can hold into academic thesis jargon.
 
Last edited by a moderator:
Utawakana hadi nduguze katika imani, mie niko pembeni nasubiri m~`break wind' hadi kande ziishe then nitarudi

Kukana na kujikana ndio mpango mzima.
Sometimes watakwambia wale BAKWATA sio waislam
Sometimes watakwambia ismailia sio waislam.
Ila wakitaka kuonesha kuwa waislam ni wengi, Bakwata na ismailia wanahesabiwa.
Wakitaka kuonesha ubaya wa Nyerere na kwamba aliua EAMWS (ambayo kimsingi ilikuwa ni ya wahindi wa ismailia), hapo watasema wa-ismailia ni waislam.
Kifupi ni kwamba unapofuatilia mijadala ya hawa ndugu zetu, inabidi uende nao taratibu na kwa umakini.
 
Mzee Mohamed Said,unatisha daa!!!


Nakala kwa Prof Hirji.
 
Last edited by a moderator:
Bill Cosby, asante sana kwa ufafanuzi huu, Ismailia si Waislaam, ni makafiri. Laiti mwalimu wenu Mohamed Said angejua hili....

Punjab Singh
, I am forced to address you in English for it appears, because you dont know Kiswahili, you have no idea who or what you represent in this debate...just take note; the chickens are on their way home to roost and that's one reason why you may end up with an egg on your face for you can only reap what you sew. Please ponder this;
Please note: Reaping what one sew is very different from reaping what one sowed!
 
Last edited by a moderator:
Hata ulichokiandika sijakuelewa, kweli kabisa, hebu rudia kuandika ueleweke, au jamani waliomuelewa huyu kijana wanifahamishe. Honest.
kwa taarifa yako mimi siyo Kijana nimezaliwa 58 na wakati wa miaka ya 1964 Nina ufahamu tosha, kumbukumbu za huyu Mzee na baskeli yake na tenga la samaki na Maneno ya watu kwa Muda mrefu kuwa huyu ni Rafiki mkuu wa waziri mkuu kama na kumbuka viZuri cheo cha nyerere wakati huo
 
kaka najua nawakwaza ila inatia uchungu kila siku yale yale mtu unaambiwa angalia ndugu zako jamiiforums wameshaanza fujo zao ss ata mjadala upo wap hapa..fungua akili kaka haipendezi
mr gentleman ,

Maamkuzi yanayokustahiki yakufike !

Mekufuatilia kutafuta vijipengele vyako japo kiduchu vya huo ujivikao ati Uislaam ...!?

Hakika sijapata japo hisia zako bali kama mekitwa na ile tabia ya abdallaah Bin Saluul kama kweli weye ni Muislaamu !

Na khalafu, hao/ wanafiki walokutumiliza ati uje tia masahihisho kwa nduu zako Waislaamu, wao na weye naona hakika pia ule udhabidhabina wakukhusuni au !?

Hebu kanitafutie AYA hizi 9: 107-109 kisha tuletee tafsiri yake !?


Ukamaliza hapo rejea nyuma 9: 44 - 47, nadhani utakuwa mefanza lilo lama mno katika barza hini !

Waate wenye hikma/ busara waendelee na kitahanani nasi tuwalipe ihsaani kama waungwana !

Nipo kipembeni hapa nafundika.
 
Last edited by a moderator:
Waislam wenzangu nawaomba twende nao taratibu hawa ndugu zetu bila lugha za maudhi, tutafika tu.

Mbona mada ni nzuri sana na kila hoja tunayoipanguwa wanakuwa hawana majibu. Mmeona hoja moja ndogo jana ilivyowachachafya mpaka wamebadili post nzima, mpaka "Professor" kaingiwa na kiwewe, kila anavyoomba msamaha anaona bado, post zake zote tatu za mwanzo (sijuwi kama kuna nyingine) ameomba na kila anavyoomba anaona hajaeleweka.

Hizo ndiyo nguvu za ukweli.

Naomba twendeni kwa maudhui iliyokuwepo hawa wenzetu wanaleta kejeli na tashtiti ili kututoa kwenye hii mada wanajuwa hii ni maji ya shingo kwao.

Nawaomba tulieni, mwacheni mwenye kutukana na atukane sisi tubaki kwenye hoja tu.

Sasa kuna nyingine ambayo niliigusia gusia jana wakajifanya hawaioni, leo kuna mmoja anaitwa Chintu kachokoza, nimempa heshima yake kwa kumpa darsa dogo kwa aliyoleta kama "reality" ya Hirji, Subhanna-Allah, kumbe aliyodhani ndiyo reality ya Hirji hakujuwa kuwa anaumeza mwiba usiomezeka, sasa umemkaa kooni, anajuta kwa nini.

Tumsubiri avute pumzi labda atapata ahueni.

Nawaomba kaka zangu, wadogo zangu, wakubwa zangu, wanangu, tutulie na tusiwe kama wao.

Pole Chintu.
 
 

Sasa unaniwekea maandishi ya huyu mjane mimi ntayapeleka wapi?, Mzee MS huna hoja, ila kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba una hadithi nyingi sana kichwani, lakini unapokuwa challenged kidogo tu huna uwezo wa ku-argue, kitu ambacho hata mimi niliyesoma ngumbalo naliona bila miwani ya 3D,

Ukipata muda mjibu Profesa, ukishindwa basi waachie kina Ritz waendelee kutukana.

NB: Page za mwanzoni kabisa za paper yako ulioipresent Nairobi, inaakisi hizo hadithi unazosimuliwa Gerezani wakati wa gahawa, Kama ni hivyo basi, ni vizuri ukaiweka kwenye dustbin, maana kina mama hawatakubali kufungia vitumbua.
 
Last edited by a moderator:
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.


Weye takuwa ni Muishi Lamu na si Muislaamu !

Hakuna dhambi mbaya kama Unaafiq, kwanza ufahamu kuwa Uislaam hauna haja na weye, bali weye ndo una haja na Uislaam !

Hakika mekupendelea mno, na tokamana na yayo, nakugeiya cheo cha MKIZI !

Nipo kipembeni hapa nakusubiri.
 

Sasa unaniwekea maandishi ya huyu mjane mimi ntayapeleka wapi?, Mzee MS huna hoja, ila kitu kimoja ambacho nina uhakika nacho ni kwamba una hadithi nyingi sana kichwani, lakini unapokuwa challenged kidogo tu huna uwezo wa ku-argue, kitu ambacho hata mimi niliyesoma ngumbalo naliona bila miwani ya 3D,

Ukipata muda mjibu Profesa, ukishindwa basi waachie kina Ritz waendelee kutukana.

NB: Page za mwanzoni kabisa za paper yako ulioipresent Nairobi, inaakisi hizo hadithi unazosimuliwa Gerezani wakati wa gahawa, Kama ni hivyo basi, ni vizuri ukaiweka kwenye dustbin, maana kina mama hawatakubali kufungia vitumbua.
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said, ulipoandika katika nyuzi moja kuwa EAMWS iliuawa kwa ushirikiano wa Nyerere na Kanisa, hilo ni tofauti na kauli kuwa ' adui wa kanisa ni 'ukomunist na Uislam''

Tena kauli ya EAMWS imeifanyia reference katika ukursa, lakini si kwa maana iliyopo katika ukurasa. Ni kwa maana uliyokusudia kusema, hivyo kwa mtu mwingine ni lazima aingie kichwani kwako kujua ulikusudia nini. Kitaaluma hilo halikubaliki. Ndio maana nimewaeleza vijana wako kuwa kuchukua neno moja la Prof Hirji na kulifanya maana nzima si sahihi kwasababu hata wewe unafanya hivyo na muhimu ni kuvumiliana, kusahihishana na kujua mantiki zaidi kuliko makosa ya herufi
 

Basi kijana wa zamani, nisameh sana kwa kukufikria u kijana wa sasa, au kukuita kijana wa zamani nalo litakuwa ni kosa pia? nijirekebishe. Mimi nawe twarandana ki umri ila nimekuzidi kiduchu.

Sasa kama unamkumbuka tu kijuujuu kwanini usimsome jinsi alivyokuwa si rafiki tu wa "waziri mkuu" bali ni mmoja katika watu waliojitolea kwa hali na mali katika harakati za kujitafutia Uhuru kutoka katika historia iliyoandikwa na Al Alama Mohamed Said? Hivi huna hamu au hupendi kupata majibu ya "maneno ya watu' uliyokuwa ukiyasikia kwa "muda mrefu"?
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said , hapa ulikusudia hizo ni hypothetical data au ulikusudia nini? Nieleweshe tafadhali

Halafu, non muslims kwanini wanakuwa eneo moja, je miongoni mwao hakuna data zinazoweza kuvuruga kabisa ushahidi wako? Nina maana kama no muslims wakiwa 90% pagans, 5% Atheist na 5% Christians , huoni kama utakuwa umepoteza miguu ya hoja yako! Na kama si hivyo, hebu tueleze non muslims ni akina nani na wapo katika % gani
 

Duh! Tanzania kuna madhehebu hata sijawahi kuyasikia duniani, ndiyo kwanza leo niyajuwe.

Hebu tupe source tukayasome kwa kina au source ni wewe mwenyewe?

Ahsante kwa elimu unayotuzidishia.
 

Tuwekee basi chanzo tukajisomee. Au ndiyo katika makabrasha yako yaliyoliwa na panya?
 
Mohamed Said jamvi linasubiri ilm, njoo unyambulishe data.
Hakuna kujificha, niliwaambia vijana wako mzinga hautupiwi mawe kama mwembe ng'ongo.

Mohamed, jamvini linakusubiri
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…