Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

big show ritz bill cosby mimi wala sintogombana na mtu. niishie tu hapo coz sio rahisi kuelewana tunajuana sisi.
 
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.

Hv ww unaejiita mr gentleman mbona kazi yako kulialia tu hapa Jukwaan kama Dumuzi? Hv ushawahi ona wapi Mtoto wa Kiume wa Kislam mwenye tabia kama hzo zako? Nani amekulazimisha ww kua Muislam? Si uende huko unapoona panakufaa na utakua na amani kusema kua ww ni Mpagani? Watu tunafuatilia vitu vya maana ww unakatakata viuno tu., nmekujibu hapa kwa kua unazingua ss kama unalazaidi fungua Uzi.. ,
 
Benki gani ya Mkombozi ile inayoshirikiana na wana kwaya kuchota pesa serikalini.
 

kaka najua nawakwaza ila inatia uchungu kila siku yale yale mtu unaambiwa angalia ndugu zako jamiiforums wameshaanza fujo zao ss ata mjadala upo wap hapa..fungua akili kaka haipendezi
 
Wewe km Ni Muislamu kweli basi Una ukoo mmoja na Jongo!
Ni ktk wale Waislamu Walalahoi.

Vurugu waanzishe makafiri Kelele upige wewe! Au Undugu na Huyu Profesa wa Kiirani?

Utawakana hadi nduguze katika imani, mie niko pembeni nasubiri m~`break wind' hadi kande ziishe then nitarudi
 

Ndugu Matola,

Now where are you going? I am not Faiza Foxy please keep your cool she is The honourable Lady I respcet. Sasa why she should not mingle with us? This is a secular state even in Iran where my cousin Karim Hirji follows their Ideology of Islam, Foreign Office Spoke Person is a Lady called Marzieh and she appears live on Press TV infront of the world let alone her men of the country. We are not in Saudi Arabia kaka. I did not know that you are such a radical Musliman. You are scaring others now that you have become such extreme minded.
 
Last edited by a moderator:
 
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.

Labda wewe mie kila siku tasbihi mpaka kazi an am proud to be muslim na mshukuru Allah kwa hili.
Alhamdulilah
 
Huyu proffesa ni ismaili.
Mungu wao ni agha khan.
Hawa wana majina ya kislam but sio waislam .
Uliona wapi ismaily mwarabu ? Au mwafrika labda kama kazalishwa nae tena kinatengwa hukooo.
Nguzo za islam ni 5
Hawa ismail hawasali
Hawafungi
Hawaendi kujiji
Hawatoi shshada
Hawatoi zaka ila kwa familia
Wanauza pombe
Wanacheza kamari
Hivyo huyo profesa msimuweke huku yeye ni maslah
 
Mohamed Said njoo utasaidie kutafdiri data zako
 
Utawakana hadi nduguze katika imani, mie niko pembeni nasubiri m~`break wind' hadi kande ziishe then nitarudi

Huyo ni mla nguruwe km wewe.
Tofauti ni kuwa wewe umevaa msalaba na unanuka Damu ya bwana na yeye kavaa kibandiko huku kajipaka Perfume km nyerere alivyokuwa anavaa.

Wote nyie ni Ahlu Naar na mtakaa humo milele.
Laanatullah
 
Al Maaruf THE BIG SHOW na Al akly Ritz

Katika ukurasa wa 37 wa kitabu cha Sivalon, naomba munionyeshe wapi imeandikwa kuwa Nyerere na Wakatoliki wameua EAMWS. Kuna uwezekano kabra langu limeliwa na panya, sasa nisaidieni wapi kuna hiyo link

Msiweke dhana, nataka muweke connection
 
Last edited by a moderator:

Mkuu crabat Bora umeweka wazi manake nilipoona tu maandishi ya huyo Sunche nikaanza kuskia Harufu ya Cheuro.
Hawa jamaa ni Nuksi sana sababu Makafiri wanadhani hawa na Waislamu Ni kitu kimoja. Kumbe hawa ni makafiri km wao.

Tofauti ni kuwa Hawa Wanaabudu Muhindi mwenzao na wale wanaabudu Mzungu mwenye Nywele ndefu.
Na hawa ktk majumba yao ya Ibada Wanakula Ladu na Jelebi na wale wanakulq Mkate wa Azam Na Dodoma Wine.

Khalas!
 
Last edited by a moderator:

Bwana Nguruvi3,
Kuna msemo "cant see the trees because of the forest."
Hapana haja ya kukaa hapa tukavutana kwa hili.

Ikiwa umesoma ukurasa wote wa 37 wa Sivalon na hukuona kama Kanisa
limesema maadui zake ni "Ukomunisti na Uislam," basi sitakulazimisha
uisome hiyo sentensi.

Labda tuwasikize wanabarza wengine watasemaje.
 

Marhaba,
Una haki ya kuwa na fikra na msimamo unaouona sawa.
Ndiyo raha ya mjadala...

Ila kunihukuma mimi kuwa uandishi siuwezi wakati nimechapwa na wachapaji
kama Oxford University Press, (Nairobi na New York) na nimeandika paper
na kuziwasilisha katika vyuo kadhaa ndani na nje ya nchi...

Hapo hujasema kweli.
Kwani unapoandika hufanyi hata utafiti kidogo?

Hivi unakuwa kichekesho.

Nimeandika na Africa Confidential, New African, Africa Events haya yote
magazeti maarufu yakichapwa London.

Hapa nyumbani nimeandika sana na kama unavyonisoma hapa barzani...
 

Mr Gentlemen,
Nadhani unaandika hivi unavyoandika kwa kuwa hujui historia ya Waislam.

Ni kutokana na hali kama hii uliyokuwanayo wewe ya watu kutudhani sivyo
Waislam ndipo nilipoamua kuandika kitabu, "The Life and Times of Abdulwahid
Sykes
(1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Against British
Colonialism in Tanganyika," (Minerva Press London, 1998).

Hakuna Muislam aliyesoma kitabu hiki akabaki vilevile.
Nakushauri soma kitabu hiki.

Katika wakati huu unapongoja kusoma nakushauri ukae kimya fatilia hoja
na jifunze.

Ukipenda ingia hapa: Mohamed Said
 
...what about that?

That same argument you have used is under the heading Sound and Unsound Logic, did you notice? Now, did you notice the last sentence before that heading? "Selective examples convert the truths in Said's paper into half-truths"

It simply means, the sentence which was used as a mode of argument is not Hirji's but he is using "Selective examples" to "convert the truths in Said's paper into half-truths"

What is so hard in you reading and understanding that? they are just "examples" (mifano) and not reality. That is from Hirji's mouth. And Al Alama Mohamed Said's truth is being hypothetically "converted into half-truths" by your beloved "Professor".

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 
Vurugu zipi yaani mtu anakuja kutudanganya kuwa Mau Mau walipigana na Ujerumani tukae kimya tu tukimjibu tunaonekana watu wa vurugu siyo?

Licha ya hilo, nimemwekea Chintu nukuu ya Hirji kutoka kwenye "full version" yake mpya anakiri kuwa atabadili ukweli wa Mohamed Said kuwa nusu ukweli.

Jisomee juu hapo.

Halafu tukae kimya tu?

Hawa watu wananifurahisha haswa, si utani.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…