lusungo , nadhani hukuelewa maana yangu niliyokusudia. Kwanza, nina uafahamu wa EAMWS kuliko wapiga debe wengi humu. Pili, Nyerere alitumia Waislam kuiua EAMS. Waislam wakajigawa Weupe na Weusi hata Mohamed kaandika.
Kubwa zaidi lililofanya nilete kipande hicho ni kuwa Mohamed amedai kwa maandishi kuwa Wakatoliki na Nyerere walishirikiana kuua EAMWS. Fair enough kwa maoni yake. Akaenda mbali na kumnukuu Padre Sivalon katika kitabu chake na ukurusa kama ushahidi wa hilo. Ukisoma ukurasa huo hakuna mahali imeandikwa hiyo kuwa Nyerere na Wakatoliki washirikaine kuua EAMWS.
Hii maana yake ni kuwa Mohamed alitafuta link isitokuwepo akajua wote ni watu wa kumsikiliza akaeleza URONGO.
Nimeshindwa kuipandisha hiyo page hapa jamvini
Maana yake ni kuwa huyu mtu ni hatari, anaweza kutunga maneno katika azma yake ya kuleta farki katika jamii.
Hivyo point kubwa ilikuwa kuonyesha sehemu tu ya ubabaishaji wa Mohamed.
Nina vitu, wakitulia kutukana namwaga! nimetoka shamba ngoja nikajimwagie maji kidogo
Mimi tangu nimemfahamu Mzee Mohamed Said hapa JF kwenye minakasha kama hii nimembaini ni mtu anayependa adabu kwenye mijadala na ndio maana ni mtu makini katika maandiko yake.
Wewe Mwanamke unayejipambanuwa kama Mwanamke wa Kiislamu hivi ndivyo ulivyofunzwa kuwasiliana mbele ya barza iliyojaa wanaume akiwemo Mzee wetu MS? Huna meneja?
Au unadhani wengine hatuyajui matusi na lugha za kuudhi? By the way wewe ndio punjab Sigh?
Jirekebishe, badirika usitake kuharibu mjadala.
Naona unataka kumkimbiza kabisa Prof wetu Hirji.Waungwana wamekimbia, hakuna anayechambua data hizo, halafu soma conclusion aliyopata kutoka data.
Anasema hivi,idadi ya wanafunzi ni direct proportion na idadi ya watakaochaguliwa.
Mzee haelewi Quantity na Quality na factor zinazoweza ku skew data zake.
Mohamed haelei kuwa kwenda chuo kikuu ni suala la ushindani kitaaluma si suala la majina na imani
Mohamed, hakueleza wale wapagani, wahindi, mabudha na wasioamini nafasi yao ni ipi
Soma data za Mohamed halafu ujiulize
Hata haya huoni wala vibaya hujuwi> swali lako lipi nilikimbie mimi? hivi wewe una swali haswa la kukimbiwa? tena na mimi? unapenda kujishauwa.
Maswali yangu mpaka sasa hayajajibiwa si na "Professor" wala tarishi wake wala nyinyi vibaraka wake mliodhani kawapa uhai mpya kumbe kazidi kuwasononesha kama alivyosononeka yeye mwenyewe.
Mada nzima nzima imebadilishwa post #1 kimya kimya, hujaliona hilo?
Hujaona "Professor" wako post zake zote tatu za mwanzo JF anaomba msamaha kwa "makosa ya kitoto".
kwi kwi kwi teh teh teh.
Unanchekesha.
Hilo la hypothetical data nimeiona argument yako dada. Nadhani tunatofautiana katika kuelewa alichoandika Prof.
1. Kuna data alizotumia kujenga hoja zake (ambazo ni wazi mnazikwepa kuzijadili)
2 Kuna data zinazoclarify his mode of reasoning
Mzee Said amekusifia kuwa umejaaliwa kujua lugha ya kiingereza vizuri. Nami nakubaliana naye.
...Unapoamua kudwell kwenye mifano kama ndo hoja, unatufanya wengine tubaki tunashangaa. Na hasa kwa mtu ambaye umekuwa endorsed na Mzee ninayemheshimu kama Mohammed Said.
Nguruvi3.
Sawa mkuu Nguruvi3
Nimefurahi kukubali kuwa Nyerere alikua engineer Wa kuimaliza EAMWS
Wengi hawajui mambo mazito yaliyoigubika nchi hii tangu Uhuru mpaka Leo...
Nyerere alipokuwa kwenye harakati za ukombozi ni wazi kanisa lilimwacha kando lkn ghafla lilikuja kumkaba baada tu ya kukamata dola tena wakishirikiana na wakoloni...
Kuna visa vingi mno vya Nyerere na kanisa katoliki ambavyo hatupendi kuviweka wazi...
Wengi wanadhani Nyerere alilibeba kanisa kwa kupenda kumbe kulikuwa na mengi nyuma ya pazia na Kama Nyerere angekua na ukristo Sana ndani yake asingekataa uhusiano na Israel...
Nguvu za kanisa zimeitesa nchi hii tangu Uhuru mpaka Leo ndio maana tunaona hata marais waislamu bado hawafurukuti....
Hao unaowasema waislamu walioshiriki kuivunja EAMWS ni vibaraka tu Wa kanisa waliojivika vazi la uislamu....
Ngoja niishie hapa maana naweza vunja fumbo La imani nililoapa kulilinda wakati Wa kipaimara.
Dada punguza hasira please. Ni vizuri tujadiliane kwa hoja. Ina maana wewe hukutaka kupata full version tuliyoahidiwa jana na Author? kinachokutisha kwenye hii full version ni nini dada ili tukusaidie?
Lusungo. Kwa nini umeamua kutotutendea haki wanafunzi wa Historia tuliomo humu jamvini?
...Inaonekana magwiji wa Historia mpo wengi JF. Hebu mwageni shule na ma-critique jamani, na wenzenu tujifunze.
Mimi unaniona na "dwell" kwenye "mifano" kama ndiyo hoja, umeisoma vizuri "critique" ya "Professor"? hebu nioneshe ni kipi hapo ambacho si mfano na ni realistic. Mimi sijakiona.
Nimekwambia licha ya mfano huo kuna (imaginary) "four people", hukuwaona? na hiyo nayo ni history? kuna "imaginary" four answers from "Zealots", nazo hujaona? nazo pia ni history?
Tena kumwambia Muislam ni "Zealot" hilo ni kosa kubwa na tusi kubwa sana kwa Muislam, kama yupo mbele yangu nnamzaba kibao, lakini hapa si pahala pake kwa sasa ila kwa muda wake ntamjibu hilo "Professor" wako. Its bigotry.
...what about that?....Differences between Muslims and Christians in educational attainment and higher level jobs existed in 1961, and still persist. So do differences between males and females, between regions and between races.
Waungwana wamekimbia, hakuna anayechambua data hizo, halafu soma conclusion aliyopata kutoka data.
Anasema hivi,idadi ya wanafunzi ni direct proportion na idadi ya watakaochaguliwa.
Mzee haelewi Quantity na Quality na factor zinazoweza ku skew data zake.
Mohamed haelei kuwa kwenda chuo kikuu ni suala la ushindani kitaaluma si suala la majina na imani
Mohamed, hakueleza wale wapagani, wahindi, mabudha na wasioamini nafasi yao ni ipi
Soma data za Mohamed halafu ujiulize
Ndugu Chintu
Mengine yapaswa kuwekwa kwa red file ili kuleta utengamano ktk jamii..
Kikubwa ninachosifu watu ktk nchi hii wana kiasi kikubwa cha uvumilivu ndio maana tuna Amani so tusiamshe mengine yakatibua uvumilivu Wa watu.
Vurugu zipi yaani mtu anakuja kutudanganya kuwa Mau Mau walipigana na Ujerumani tukae kimya tu tukimjibu tunaonekana watu wa vurugu siyo?Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.
Sina tatizo na full version kanisome nyuma huko, hebu wewe fanya editing post yako yoyote iliyopita muda wa dakika tano tu uone kuna nini kinachojulisha wengine kuwa hii imefanyiwa editing, nini usichokielewa hapo? au hujaona neno "kimya kimya"? ulifikiri nataka wapige kelele?
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.
Waislamu tumekuwa watu wa vurugu kila pande, inahuzunisha sana. Tuna matatizo mengi badala ya kuyatatua tunaishia kuwa watu wa rabsha. Hii inafanya mpaka watu kuficha imani zao au kujifanya wapo kwa bahati mbaya.
....namna hii kweli si tutaendelea kupotoshwa jamani? Hebu mpe FF au Mzee Saidi basi, maana sidhani kama wao watajali kama wewe.
Andiko hili linapaswa lisomwe vema na kina mohamed said. Limeandikwa kisomi kwa kuzingatia uhalisia. Mawazo na uchambuzi wa aina hii ni lulu kwa kizazi cha watanzania. Prof ameandika bila kuegemea kwenye mihemko ya kiimani kama alivyo said.