Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

wewe kabla hujaja kuzungumza na wazee wako hapa JF

Hakikisha kwanza uhama nyumbani kwa baba na mama kwanza sawa??

Siyo wewe jitu zima miaka zaid ya 30 wanakohamia baba na mama na wewe umo tuh kama nguchiro.

Wamehama shekilango kukukimbia wewe na kuhamia KIBAMBA wewe bado unawafuata fuata,

TUTAKUJA HUKO HUKO KUKUCHAPA BAKORA ZA MGONGO NA KUKUONDOA KWA NGUVU MPENDA VYA BURE WEWE

:A S-baby: :A S-baby: :A S-baby: :A S-baby:
 
Ndugu Matola, with all good intentions of your comments above, I understand that there are people who have gap in understanding English and so there are certain among them who might not understand what I have writen and shared, and so either they avoid delibaretly or ignore my contribution, I can see that too. However what I don't understand is why then this is called The Place where The Great Thinkers meet and dare to speak! Are the GT of JF thinking in Kiswahili only?

We are in the 21st Century in the digital age thank google for the Google Translate online.would that be hard for the GTs to use the Information Highway at its best?

Well If you are interested to knowing if I can write Kiswahili properly or for any other purpose that you keep on insisting that it is better I should write in Kiswahili then you will be disappointed, because I am not gonna write it?

I have seen here how some members are ridiculed for trivial spelling or gramatical errors in English by non english people let alone Kiswahili.

Have a nice day!

Ps. I rember to have written in Kiswahili somewhere in one older posting or thread keep searching you might get lucky to find it. Teh teh teh.

I wish I could write in my day care parents language; Sukuma but kuch naihy! Wapi sasa sahau!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kuna vitu vingine viko open kabisa huhitaji kuambiwa ili uelewe au ujue.

EAMWS ilivunjwa na Nyerere na haihitaji elimu ya chuo kikuu kuelewa hilo.
lusungo , nadhani hukuelewa maana yangu niliyokusudia. Kwanza, nina uafahamu wa EAMWS kuliko wapiga debe wengi humu. Pili, Nyerere alitumia Waislam kuiua EAMS. Waislam wakajigawa Weupe na Weusi hata Mohamed kaandika.

Kubwa zaidi lililofanya nilete kipande hicho ni kuwa Mohamed amedai kwa maandishi kuwa Wakatoliki na Nyerere walishirikiana kuua EAMWS. Fair enough kwa maoni yake. Akaenda mbali na kumnukuu Padre Sivalon katika kitabu chake na ukurusa kama ushahidi wa hilo. Ukisoma ukurasa huo hakuna mahali imeandikwa hiyo kuwa Nyerere na Wakatoliki washirikaine kuua EAMWS.

Hii maana yake ni kuwa Mohamed alitafuta link isitokuwepo akajua wote ni watu wa kumsikiliza akaeleza URONGO.
Nimeshindwa kuipandisha hiyo page hapa jamvini

Maana yake ni kuwa huyu mtu ni hatari, anaweza kutunga maneno katika azma yake ya kuleta farki katika jamii.

Hivyo point kubwa ilikuwa kuonyesha sehemu tu ya ubabaishaji wa Mohamed.

Nina vitu, wakitulia kutukana namwaga! nimetoka shamba ngoja nikajimwagie maji kidogo
 
Unaongea mno Mohamed Said, sasa ni muda uzijibu hoja za Hirji,
FF hana lolote amekimbia swali langu kurasa za nyuma kidogo,
naweza tumia maneno yake mwenyewe kwamba kwa sasa anahororoja tu.

hawezi kujibu, unataka apige sarakasi na msuli wake?
 
Last edited by a moderator:
Unaongea mno Mohamed Said, sasa ni muda uzijibu hoja za Hirji,
FF hana lolote amekimbia swali langu kurasa za nyuma kidogo,
naweza tumia maneno yake mwenyewe kwamba kwa sasa anahororoja tu.

Hata haya huoni wala vibaya hujuwi> swali lako lipi nilikimbie mimi? hivi wewe una swali haswa la kukimbiwa? tena na mimi? unapenda kujishauwa.

Maswali yangu mpaka sasa hayajajibiwa si na "Professor" wala tarishi wake wala nyinyi vibaraka wake mliodhani kawapa uhai mpya kumbe kazidi kuwasononesha kama alivyosononeka yeye mwenyewe.

Mada nzima nzima imebadilishwa post #1 kimya kimya, hujaliona hilo?

Hujaona "Professor" wako post zake zote tatu za mwanzo JF anaomba msamaha kwa "makosa ya kitoto".

kwi kwi kwi teh teh teh.

Unanchekesha.
 
Waungwana wamekimbia, hakuna anayechambua data hizo, halafu soma conclusion aliyopata kutoka data.

Anasema hivi,idadi ya wanafunzi ni direct proportion na idadi ya watakaochaguliwa.
Mzee haelewi Quantity na Quality na factor zinazoweza ku skew data zake.
Mohamed haelei kuwa kwenda chuo kikuu ni suala la ushindani kitaaluma si suala la majina na imani
Mohamed, hakueleza wale wapagani, wahindi, mabudha na wasioamini nafasi yao ni ipi

Soma data za Mohamed halafu ujiulize
 
Ungeanza kwa kumueleza mleta mada, au unaona kaleta mada kwa Kichina?

Kama unamsoma vyema hebu mjibu kwa Kingereza basi. Hapo sasa!

Punguani Wahed.

Mimi tangu nimemfahamu Mzee Mohamed Said hapa JF kwenye minakasha kama hii nimembaini ni mtu anayependa adabu kwenye mijadala na ndio maana ni mtu makini katika maandiko yake.

Wewe Mwanamke unayejipambanuwa kama Mwanamke wa Kiislamu hivi ndivyo ulivyofunzwa kuwasiliana mbele ya barza iliyojaa wanaume akiwemo Mzee wetu MS? Huna meneja?

Au unadhani wengine hatuyajui matusi na lugha za kuudhi? By the way wewe ndio punjab Singh?

Jirekebishe, badirika usitake kuharibu mjadala.
 
Last edited by a moderator:
Kwi kwi kwi kwi.. FaizaFoxy nakunywa kahawa na tende za Sharja huku nakusoma.
 
Last edited by a moderator:

Wanabarza,
Nguruvi3
kashindwa kuupload ukurasa wa 37 wa Sivalon.
Mimi nakuwekeeni hapa chini:

Ndugu zanguni someni ukurasa huu na tufahamishane nini
Sivalon kasema.

Wallahi nacheka peke yangu.
Kuna watu majasiri pasi kiasi.

Naogopa kusema ujinga.

Huyu Nguruvi3 anampa copy Faiza kumwalika ngomani.
Sasa huku si kujitakia dhahma bila sababu?

Nguruvi3 ndugu yangu unaamini nini wewe mtu kumchokoza Maalim Faiza.
Unamtegemea Ngongo?

Wewe mtu una kiranga.
 
hIVI HUYU KITWANA KONDO NDIYO YULE ALIYEKUWA ANAWAACHISHA WATOTO SHULE NA KUWAOA!
 
Teh teh teh!
Kamanda Big Show naona Unamuasa Asha bint Pitbull milionare!

Mtoto mirungi ya bure imeshamdhuru huyo. Siku ukimuendea Na Mimi Nibipu tukamtie adabu kwa zamu.
 
hawezi kujibu, unataka apige sarakasi na msuli wake?

By FaizaFoxy

Hata haya huoni wala vibaya hujuwi> swali lako lipi nilikimbie mimi? hivi wewe una swali haswa la kukimbiwa? tena na mimi? unapenda kujishauwa.

Maswali yangu mpaka sasa hayajajibiwa si na "Professor" wala tarishi wake wala nyinyi vibaraka wake mliodhani kawapa uhai mpya kumbe kazidi kuwasononesha kama alivyosononeka yeye mwenyewe.

Mada nzima nzima imebadilishwa post
#1 kimya kimya, hujaliona hilo?

Hujaona "Professor" wako post zake zote tatu za mwanzo JF anaomba msamaha kwa "makosa ya kitoto".

kwi kwi kwi teh teh teh.

Unanchekesha.
 
Unaongea mno Mohamed Said, sasa ni muda uzijibu hoja za Hirji,
FF hana lolote amekimbia swali langu kurasa za nyuma kidogo,
naweza tumia maneno yake mwenyewe kwamba kwa sasa anahororoja tu.

By FaizaFoxy

Hata haya huoni wala vibaya hujuwi> swali lako lipi nilikimbie mimi? hivi wewe una swali haswa la kukimbiwa? tena na mimi? unapenda kujishauwa.

Maswali yangu mpaka sasa hayajajibiwa si na "Professor" wala tarishi wake wala nyinyi vibaraka wake mliodhani kawapa uhai mpya kumbe kazidi kuwasononesha kama alivyosononeka yeye mwenyewe.

Mada nzima nzima imebadilishwa post
#1 kimya kimya, hujaliona hilo?

Hujaona "Professor" wako post zake zote tatu za mwanzo JF anaomba msamaha kwa "makosa ya kitoto".

kwi kwi kwi teh teh teh.

Unanchekesha.
 
FaizaFoxy kaleta dhahma.

Take note;

The previous article was not complete. The administration has been replaced it by the provided complete original by special request of the Author (Karim Hirji)

Kwi kwi kwi kwi teh teh teh
 
Last edited by a moderator:

Hilo la hypothetical data nimeiona argument yako dada. Nadhani tunatofautiana katika kuelewa alichoandika Prof.

1. Kuna data alizotumia kujenga hoja zake (ambazo ni wazi mnazikwepa kuzijadili)

2 Kuna data zinazoclarify his mode of reasoning

Mzee Said amekusifia kuwa umejaaliwa kujua lugha ya kiingereza vizuri. Nami nakubaliana naye.
...Unapoamua kudwell kwenye mifano kama ndo hoja, unatufanya wengine tubaki tunashangaa. Na hasa kwa mtu ambaye umekuwa endorsed na Mzee ninayemheshimu kama Mohammed Said.
 
Teh teh teh!
Kamanda Big Show naona Unamuasa Asha bint Pitbull milionare!

Mtoto mirungi ya bure imeshamdhuru huyo. Siku ukimuendea Na Mimi Nibipu tukamtie adabu kwa zamu.

teh teh teh

Mkuu huyu kituko ana laana huyu.

teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…