Halfu nawapa kifungua kinywa cha takwimu mahususi zakitaalam zilizofanywa na Mohamed Said, halafu tutaongee nikirudi kutoka shamba.
By Mohamed Said Salum
Table 1
Selection of Std.VII Pupils to Form I in Dar es Salaam Region 1978 -1981
Year Total Selected Muslims Percentage of
Muslims Selected
1978 956 216 23
1979 903 194 22
1980 1071 247 23
Source: Dar es Salaam City Council, Department of Education.
NB: In 1967 census Muslims in Dar es Salaam Region were 67%, therefore thenumber of Muslim students in Dar es Salaam Primary Schools is greater than thatof Christians. This should have reflected in the selection.
Mzee Said, mara zote unapojadili mambo jaribu kuwa mtulivu. Jitahidi kuongozwa na ukweli badala ya hisia na matamanio yako. Kuna waislamu na wakristo wamejipatia heshima kubwa sana kwa kusimamia ukweli bila jazba au mihemko ya kiimani. Ukiweka kando chuki za kidini, unayo maarifa mazuri mengi.
ninachoweza kusema ni hahahaa , mungu akurehemu, kukufurahisha nasema sijamsikiaUngana na Yericko Nyerere na Mzee Mwanakijiji na Nguruvi3 na Mag3 na wengineo waliosema kama usemavyo wewe na wakaahidi watajumuika kuja na ukweli kuupinga na kuugaragaza huu "uongo" wa Mohamed Said.
Leo takriban miaka mitatu, kimyaaaaaaa. Wengine hata kupitia minakasha ya Mohamed Said wanaogopa kwani wanajuwa wataulizwa, vipiiiii?
Nakuuliza swali moja, umewahi kumsikia Mshume Kiyate?
mimi mohammed ni kaka yangu sana kwa umri, elimu na ufikiri, lakini bado mimi hoja yangu iko pale pale, huwezi kuringa na maisha ya mfumo kristo na upande wa pili unaulanni mfumo huo huo nyumbani, mimi naona huu ni unafiki wa fikira unaokuja na dini, nasema dini siyo kisomo, kama picha hii ingekuwa saudia au yemen, au misri, kweli ningekubali kuwa huo mfumo kristo unamatatizo, mimi kwa kweli nashindwa, na ninashindwa kwa sababu mara zote wenzangu hawaja niconvince kuwa utawala wa wakristo na wazungu ni mbaya kiivyo, wao hawakai arabuni au nchi zenye uislamu wa kutukuta, na wakaringa kuwa oneni uislamu huo, imagine utajiri waote saudia, hata wakimbizi wa kiisilamu hawaendi. leo vita iko somalia, sudan nchi ya kiisalamu haina vita , lakini wasomali waote wanakimbilia kenya, tanzania , southa africa na kutafuta njia ya kwenda sweden , norway nk, siyo njia ya kwenda saudia. same na vita vya syria, wote italy, uingereza, ujerumani, saudia ata, hawataki, lakini kucha wakristo na wazungu wabaya, makafiri nk. mimi nilikuwa na kaka yangu marehemu sasa mungu amrehemu, yeye alikuwa engineer wa kutukuta, na akakaa sweden miaka ya 70, na akaajiriwa na kampuni ya pripps, hii kampuni ndiyo ilikuwa imepewa tenda ya kutengeneza mecca, mind you wa kristo ndiyo walifanya kazi hiyo , majengo , tiling, ablution facilities , air conditioning , sanitation nk, lakini kutwa hawa makafiri , hawa makafiri.ahsanteni, picha mumeiona kaka yangu yuko boston, kamkumbuka sana dada yake na anamlaani kwa nguvu zote mwanamke wa kizungu, ambaye baba na babu zake wametngeneza mazingara ya kumhifadhi, shukurani ya punda , mateke. hongera kaka, keep it up
Then tell
Vivid eveidences? Facts or hypothesis from your so called learned Karim Bhai?
Vivid = intense, powerful
Prof. M.Said has given the vivid proof non hypothetical research.
nakushukuru sana kuweka sawa hivyo, lakini neno kafiri kwa muelezo wako linategemea na mahali msimamo wa mazungumzo, kwa hakika unaweza kumuita mtu mjinga akacheka, na unaweza kumuita mtu mjinga , akaudhika kweli, na hata sasa hivi naogopa kukuita mjinga, kwani lazima utahisi ni kwa sababu ya mada hii, nikirudi kwenye neno kaffir, sijalisikia neno hili mkilitumia kwenye sherehe wala mahali pa salaam, ni kwenye kejeli na malumbano, kwa hiyo nilichosema ni ndicho ninachoamini. kweli sis ni watanzania na hata mimi, kwa mungu wangu marafiki zangu zaidi ya robo tatu ni waisilamu, watoto wote wa marehemu baba mkubwa bombambili songea ni waisilamu wa kutukuta. Utanzania wetu uko pale pale mada inaendelea- karibuManeno hayo unayema wewe,
WE NANI KAKUAMBIA MOHAMED SAID AU HATA WAISLAM WANASEMA MAKAFIRI NI WATU WABAYA??
NANI KAKUAMBIA??AFTER ALL KAFIRI SIYO TUSI NI NENO TUH LA KAWAIDA LINALOMAANISHA MTU ASIEAMINI KWAMBA ALLAH NI MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE HUYO NI KAFIRI..WALA SIYO TUSI,
MIMI BINAFSI NINA RAFIKI ZANGU WAKRISTO NA WA IMAN ZINGINE AMBAO SIYO WAISLAM NA TUNAISH NAO VIZUR SANA,,
KWA UPENDO NA AMANI
WAPO BAADHI YAO WABAYA NA WAPO BAADHI YAO WAZURI MNOO KITABIA TENA HATA KUSHINDA BAADHI YA WANAOJINASIBU NA UISLAM, NA WAISLAM
USITUWEKEE MANENO YAKO MDOMONI MKUU
HATUPO HAPA KUHUBIRI CHUKI AU KUBEZA WATU WA IMAN ZINGINE,,KAMA UTAKUWA UNAWAZA HIVYO BASI UTAKUWA UMEPOTEA SANA KIFIKRA
SISI NI WATANZANIA NA HAPA TUNADISCUSS KUHUSU HISTORIA YA NCHI HII,,HAKUNA LA ZAIDI
KAMA UNAWAZA SISI TUNADISCUSS CHUKI UMEPOTEA SANA
Mzee Said, mara zote unapojadili mambo jaribu kuwa mtulivu. Jitahidi kuongozwa na ukweli badala ya hisia na matamanio yako. Kuna waislamu na wakristo wamejipatia heshima kubwa sana kwa kusimamia ukweli bila jazba au mihemko ya kiimani. Ukiweka kando chuki za kidini, unayo maarifa mazuri mengi.
sijaja kwa lengo baya dadangu katika iman. ila sio vizuri tukawa watu wa kutoa lawama ata kwa mambo mema yaliyofanyika.
nimekaa kimya kwa heshima ya huyu mzee, kwa heshima yangu ninamuita rafiki kubwa wa nyerere, nadhani mimi kama nina miaka 5 nimemuona kwa john rupia. kama wewe ulitaka mimi nisema alikuwa muuza samaki ferry mimi sikusema
Sibonike
Hujafikia makamu ya kufanya mnakasha na mimi. Toka mwanzo nilijua hutofika mbali.
Katika yote niliyokuwekea hapo mchango wako ndiyo huo? Basi nimekuwia radhi.
Ilitakiwa ujipime kwanza kabla.
Hiyo paper, "Tanzania a Country Without Heroes," niliitoa Nairobi
kwenye kongamano la kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa nchi za
Afrika ya Mashariki.
Watayarishaji walikuwa IFRA French Institute for Research in Africa /BIEA British Institute in East Africa.
Hawa jamaa ndiyo walionialika na kutoka Tanzania nilikuwa peke yangu.
Hili peke yake ingekujulisha moto wa maji unayotaka kuoga.
Pili paper yangu aliyepiga "critique," ni profesa. Sasa wewe hapa unaingiaje?
Hata ujanja huo huna?
Sibonike,
Semina niliyotoa paper, "Tanzania: A Nation Without Heroes," ilihudhuriwa na hao hapo juu.
Je wewe unaweza kusogezewa kiti hapo ukakaa?
Unasema kuna shule zilitaifishwa ili Waislam wasome...
Msikilize Mzee Kitwana Kondo aliyozungumza Bungeni mwaka 1999:
"Lakini tuende kielimu. Ninayo ripoti ya mwaka huu. Waliofanya mtihani wa darasa la saba kuingia darasa la tisa, asilimia 71 Waislamu. Asilimia 29 ni wengine. Walioshinda katika wale asilimia 71 ni asilimia 21. Katika wale 29 walioshinda tena sema mwenyewe. Katika asilimia 29 waliokwenda shuleni ni asilimia 79. Katika asilimia 71 waliokwenda darasa la tisa ni asilimia 21. Sasa kuna moja, ama Waislamu wajinga ama akili yao haifanyi kazi, ama mtu ukiwa Muislamu wewe huna kitu, ama kuna kitu. Sasa namwomba Waziri anayehusika, anaposema aseme ya kwamba kwa hali ilivyo Waislamu wameumbwa wajinga. Au kwa hali ilivyo kuna sababu kadha, kadha. Mwalimu Nyerere alisema zamani ifanywe bidii ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Sasa bidii hii siyo ya kuwanyanyua waliokuwa chini. Bidii hii ni ya kuwakandamiza waliokuwa chini."
Maneno hayo unayema wewe,
WE NANI KAKUAMBIA MOHAMED SAID AU HATA WAISLAM WANASEMA MAKAFIRI NI WATU WABAYA??
NANI KAKUAMBIA??AFTER ALL KAFIRI SIYO TUSI NI NENO TUH LA KAWAIDA LINALOMAANISHA MTU ASIEAMINI KWAMBA ALLAH NI MUNGU NA MUHAMMAD NI MTUME WAKE HUYO NI KAFIRI..WALA SIYO TUSI,
MIMI BINAFSI NINA RAFIKI ZANGU WAKRISTO NA WA IMAN ZINGINE AMBAO SIYO WAISLAM NA TUNAISH NAO VIZUR SANA,,
KWA UPENDO NA AMANI
WAPO BAADHI YAO WABAYA NA WAPO BAADHI YAO WAZURI MNOO KITABIA TENA HATA KUSHINDA BAADHI YA WANAOJINASIBU NA UISLAM, NA WAISLAM
USITUWEKEE MANENO YAKO MDOMONI MKUU
HATUPO HAPA KUHUBIRI CHUKI AU KUBEZA WATU WA IMAN ZINGINE,,KAMA UTAKUWA UNAWAZA HIVYO BASI UTAKUWA UMEPOTEA SANA KIFIKRA
SISI NI WATANZANIA NA HAPA TUNADISCUSS KUHUSU HISTORIA YA NCHI HII,,HAKUNA LA ZAIDI
KAMA UNAWAZA SISI TUNADISCUSS CHUKI UMEPOTEA SANA
Una point nzuri sana kwenye michango yako ila kama unaweza kusoma kiswahili nina imani na kuandika unajuwa pia.
Jifunze utamaduni wa kuandika kwa kiswahili pia watanufaika wengi na michango yako. Ni ushauri tu utaki unaacha.
Daah! Teeh! Teeeh!
Nisisogeze kiti kwa nini? Unaujua undani wangu? Hivyo ni vitu vya kawaida kwangu. Kila mtu na taaluma yake na tuheshimiane. Wewe kwenye taaluma yako ya tu historia twa Kariakoo umewahi kufanya review ya paper ngapi?
Narudia, tatizo lako kubwa ni kuangalia kila kitu kwenye kurunzi ya dini na upande mmoja. Unadhani hao wengine kwenye picha walikuchulia vipi wakati unamwaga sumu zako za udini?
Jambo jema ni jema na jambo ovu jee? nalo tugeuze la kushoto?
Jibu swaliiii,,,kisha PIGA MAGOTI..!!:heh:
Longo longo za nin sasa Mkuu??
Umeulizwa kwenye hilo jopo la hao wasomi wewe unaweza ruhusiwa hata kwenda kukaa hapo na kudumia japo chai na kahawa??
Hata uwaitor hapo huambulii,
Kuangalia kitu kwa udini kivp sasa
Ndiyo angepewa mualiko na hao wasomi waliobobea kias hicho??
Kalubandika naweee....!!aaah wacha mambo yako wewe.
Mkuu Nguruvi3 ikiwa African Assocition kilianzishwa na Bwana Abdulwahid Sykes mwaka 1929 kumbukumbu zangu zinaonyesha wakati huo alikuwa na miaka 5 tu je hili liliwezakana vipi ?.Kweli nimeamini Ustadhi Mohamed Said yupo daraja ya juu ya uongo.