Kuhusu Mau Mau au Maji Maji
Hataa Profesa anaweza kufanya kosa la kitoto.
Kwa haraka niliandika Mau Mau lakini maana yangu ilikuwa Maj Maji.
Na omba msamaha kwa wasomaji wangu kwa kosa hilo.
Kosa kadogo kama hilo haliwezi kupindua logic na ukweli wa makala mzima.
Ni wale ambao hawataki kufikiria mambo kwa kiundani ndiyo watanganganyia makosa madogo.
Kama utasoma scientific journals utaona section ya corrections; wanasayansi wengi wana
rekebisha makala yao na kutoa makosa yaliogunduliwa na wasomaji.
Halafu nataka kuwafahamisha kuwa hapo kwenye Jamii Forums kuna NUSU TU ya makala
yangu Beating the Drum... Sehemu ya mwisho Conclusions imekatwa. Sijui nani amefany kosa hilo.
Ni bora kusoma makala mzima kabla ya kuyajadili.
Prof. Karim Hirji
Umerudi? ulikimbia humu, sasa huyo kasema nini cha kukufurahisha sana? kajiaibisha kutokujuwa Kiingereza kataka eti kunikosoa kitu ambacho hakielewi, ni kama wewe ulipokuja dai eti unataka kujuwa "sampling" imefanywa wapi? Khaa sampling! kwenye historia?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Kama hii hapa chini au wewe unaiona siyo hoja ya msingi?
"By marshalling an array of facts and utilizing key premises, Said draws conclusions of profound implication for our future" - Karim Hirji
Hirji sijaona cha maana katika paper yako, sijaona wapi ambapo umeonesha Said kasema hivi na huu si ukweli, sijaona kabisa.
Usiniangushe "pedagogic at heart", kuna 'sampling' kwenye historia hasa 'Economic History'
Because they usually do cherry picking and in that part that is cut you said something that these guys who 'support' you (here in JF) they don't like professor. You are being used here don't you get it cousin?
Gombe Sugu, kumbe upo ila umebadilisha/umefupisha jina lako! Et tu - Hata wewe kweli huoni hoja za msingi za Profu? Inshallah, urejee kesho tujadili aya kwa aya.
Kama zipi? mimi sijaona na Hirji kabwabwaja na kuhororoja sana lakini cha msingi sijakiona. Unaweza wewe kukionesha?
Kama hii hapa chini au wewe unaiona siyo hoja ya msingi?
"By marshalling an array of facts and utilizing key premises, Said draws conclusions of profound implication for our future" - Karim Hirji
Hayo maneno ya the so called "Professor" si ya Said, hizo "conclusions" za Said ziko wapi zenye "profound implications for our future"?
Hivi mkisoma hamuelewi au ndiyo tatizo la shule "zetu"?
Hebu wacha porojo, onesha hiyo sampling ya kihistoria na onesha kuwa Mohamed Said kaandika "economic history".
Labda uanze kujibu hoja hii ya Hirji kuhusu alichosema/alichomaanisha Said:
As Said points out, the colonial rulers used religion to divide the people, and weaken the anti-colonial movement....Said implies that Muslims were at the forefront of the Maji Maji uprising against German rule. But he fails to note that the Germans used Kiswahili, and for a time, the Arabic script, to administer the colony. That was strongly opposed by Christian missionaries. The German colonial authorities utilized the existing Madrasa system to recruit low-level clerks. Conversion to Islam rose during that era, and brought a portion of the Muslim clergy closer to the rulers. Using the form of reasoning applied by Said to Christianity under the British rule, one can say that Islam was closely allied with colonialism in that era. In truth, those associations did not emanate from the nature of these religions; they reflected the particularities of the historic eras.
Ukishasema kuna kunyimwa fursa basi tayari unaongelea uchumi ndugu yangu, rejea jedwali aliloliweka Profu makala-ni.
Hayo ni maoni ya Hirji bila reference yoyote ya kutuonesha kuwa yu mkweli, au hulioni hilo?
UNA MATATIZO wewe, ingawa kalugha kanakuwa kazuri endelea kujitahidi
Bado unakimbia darasa la mantiki (logic) analolitoa Profu kwa kutojibu hiyo mistari myekundu, je, si kweli kwamba:
The German colonial authorities utilized the existing Madrasa system to recruit low-level clerks. Conversion to Islam rose during that era, and brought a portion of the Muslim clergy closer to the rulers. Using the form of reasoning applied by Said to Christianity under the British rule, one can say that Islam was closely allied with colonialism in that era.
?
Kweli?
Si Kweli?
Toa jibu moja tafadhali, usitupige chenga ya mwili.
Halafu hizo fursa unazoongelea katika paper tunayoijadili hapa ya Mohamed Said ni zipi kijana hizo fursa? fursa za taifa kutokuwa na "heroes" ndiyo za ki "uchumi"? Fikiri japo kiduchu.
Hebu nipe nukuu ya hizo "fursa" za " kiuchumi" unazoongelea wewe kutoka kwenye paper ya Mohamed Said tunayoijadili.
Dont be naive please we all know this was not even done in good faith it was a strategic trick by the Germans, we all know about the tricky accords the Germans entered with the chiefs and how they were used to suppress the people. And this wherrle Gombesugu flawes Karim Hirji.
Bado unakimbia darasa la mantiki (logic) analolitoa Profu kwa kutojibu hiyo mistari myekundu, je, si kweli kwamba:
The German colonial authorities utilized the existing Madrasa system to recruit low-level clerks. Conversion to Islam rose during that era, and brought a portion of the Muslim clergy closer to the rulers. Using the form of reasoning applied by Said to Christianity under the British rule, one can say that Islam was closely allied with colonialism in that era.
?
Kweli?
Si Kweli?
Toa jibu moja tafadhali, usitupige chenga ya mwili.
Umerudi? ulikimbia humu, sasa huyo kasema nini cha kukufurahisha sana? kajiaibisha kutokujuwa Kiingereza kataka eti kunikosoa kitu ambacho hakielewi, ni kama wewe ulipokuja dai eti unataka kujuwa "sampling" imefanywa wapi? Khaa sampling! kwenye historia?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Maandiko ya Mzee Said yanasomwa kwa ujumla wake, ndiyo maana hata yeye mwenyewe anajirea-ga, haya hebu rejea hii:
"Nyerere told his audience that the imbalances between Muslims and Christians which his government had inherited from the British were rectified under his rule: And they (Muslim) gave us chance through our education policies, to correct the imbalances, whichi we have done...The speech was a farce. The truth is that three decades after independence Muslim are no better off than they were under colonialism" - Kitabu cha Mohamed Said Ukurasa wa 308 hadi 309
Sasa hapo 'pedagogic at heart' haioni 'pedagogy' ya fursa za ki"uchumi"?
..OK, tunangoja "full version" ya "Professor" Hirji tuione, maana hii kakiri ina makosa haifai na si yenyewe.
Kama una nia ya kuanzisha mada kuhusu Mungu na Uislam nakushauri ufunguwe nyuzi, hapa kuna ya Professor Hirji.
Swali uulize wewe, mimi nikupe njia ya kupata jibu, lawama na visingizio vya kijinga untupie mimi? Majanga.