Beating the Drum on One Side: Confusing the People on Both Sides

kutokana na tonation ya swali lako,yaonekana jibu unalo kichwani.huna sababu kuomba jibu toka kwa mtu mwingine.

Nataka uhakika:

By FaizaFoxy

Naomba nisaidie hili swali langu dogo; Mau Mau walipigana na Wajerumani?
 
:yo:
Mag3,
Haya umeyajua lini?

Mbona katika historia ya TANU iliyoandikwa na Chuo Cha Kivukoni
haya hayamo?

Mbona hiyo staili ya uandishi wako imekaa kama ya mtu fulani vile?

Unamtaja Dossa kujuana na Nyerere.

Hawakupata kujuana kwa hivyo ila walikutana Dodoma kwa muda
mfupi.

Habari hii kanihadithia Hassan Taufik Suleiman aliyekuwa mmoja
wa viongozi wa TAA Central Province.

Mikutano ya TANU ifanyike nyumbani kwa Nyerere Pugu...
Muhali mkubwa.

Father Walsh asingeruhusu.
Huko Tabora na siasa zake...

Babu yangu Salum Abdallah alikuwa huko akifanya kazi Railway
Locoshed kama mfua chuma alikuwa akihudhuria mikutano yote ya
siri 1953 kabla ya kuunda TANU.

Siasa za mji alizivaa sana kwa hiyo nazijua kwa undani sana.

Aliongoza General Strike ya 1947, 1949 na 1960 na alikuwa rais
muasisi wa TRAU mwaka wa 1955 katibu wake akiwa Kassanga
Tumbo
.

Mag3,
Abdul Sykes
alitaka rais wa TAA awe Chief David Kidaha Makwaia
na hiyo ilikuwa 1950.

Lakini mimi nakuunga mkono katika kuandika historia ya TANU
hakuna mtu aliye na haki ya kudai kuwa yeye hiyo yake ndiyo sawa.

Nimekuwekea hizo taarifa hapo juu kukutahadharisha tu usije na wewe
ukatumbukia kwenye shimo lile lile walilotumbukia wenzako waliojaribu
kuandika historia ya TANU.

Kila mtu aandike kile anachojua.
Wasomaji watasoma na kuamua.

Lakini Mag3 si haba angalau umeandika kitu.
 
Nilielewa maneno mengine yote ila hiko ambalo mpaka sasa sielewi maana yake na ndiyo maana sijaligusia katika majibu yangu. Unaona tabu kutuelewesha lina maana ipi hilo neno?

All right professor, tuambie siku ambayo ulikanyaga darasa la shule ya sekondari.
 
Si kweli, hakuna chuo cha Kiislam Morogoro, kuna chuo cha Waislam Morogoro. Kumbuka hilo, ni Muslim University of Morogoro na si "Islamic" University of Morogoro. Hata kifupi chake ni MUM na si IUM.

Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?

Ujinga unafundishwa MUM chuo cha kiislamu. Shika adabu yako!

Unayo habari kuwa hicho chuo hakipo ata kwenye Central admission System
(CAS) ya TCU?

unayo habari ata wanafunzi wake wamekuwa wa kuokoteza wale waliokosa pakwenda?

Unayo habari wahitimu wake hawaajiriki tokana na uwezo hafifu?

Chuo ata kuongeza meza za kusomea kimeshindwa wanatumia zile zile za Tanesco eti unasema kinakua! usiongee usivyovijua.

Bidada chunga ulimi wako usijifanye unayajua matusi, kwanza mwanamke wa kiislamu kushinda kwenye mijadala na wanaume ni bida'h .
 
Mkuu Mohamed Said anaweza kuwa na hoja but anajikanganya Sana na article zake zipo too illogical na hazina ushahidi Wa kina.

Lusungo,
Ndugu yangu wala usipate tabu na makosa yangu kuwa "najikanganya."
Ikiwa unaliona kosa sahihisha wala usiwe na hofu.

Ikiwa wewe una ushahidi unaopingana na wangu ulete hapa barzani sote
tufaidike.
 
Lusungo,
Ndugu yangu wala usipate tabu na makosa yangu kuwa "najikanganya."
Ikiwa unaliona kosa sahishisha wla usiwe na hofu.

Ikiwa wewe una ushahidi unaopingana na wangu ulete hapa barzani sote
tufaidike.

Mkuu ilikuwaje watu ambao wewe unadhani walikua initiators Wa vuguvugu la kudai Uhuru wakapinduliwa ktk historia na kubaki Nyerere?
 
Mkuu ilikuwaje watu ambao wewe unadhani walikua initiators Wa vuguvugu la kudai Uhuru wakapinduliwa ktk historia na kubaki Nyerere?

Lusungo,
Matatizo yaliyotokea baada ya uhuru nimeyaeleza kwa kirefu katika kitabu
cha Abdul Sykes.
 
Nani alianzisha TANU?
Lusungo.


Msome Nyerere mwenyewe hapa chini.


Baada ya miezi 13, hapo 1954, tukaanzisha TANU. Jina hili lilipendekezwa na akina Abdul Sykes. Walikuwa wamelifikiria tangu zamani, walipokuwa askari vitani huko Burma (Vita vya Pili).

Nyerere mwenyewe kakiri kuwa jina la TANU lilikuwpo siku nyingi.

Jiulize fikra za kuanzisha chama kazileta Nyerere? Hapa ndiyo watu wanapinga kuwa hawa wengine mbona historia inawatupa mbali ndiyo maana Mohamed Said kawarudisha kwenye kitabu chake.
 
Okay lengo langu ilikua kuandika fukunyua....

Una lingine professor?


Oooh, sasa ulikuwa unababaika nini? umelewa? "kufunyua" na "fukunyua" ni muhali. Au umeanza kujifunza kuandika Kiarabu?

Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
 
average minds discuss events,small minds discuss people....nakushauri tu ubaki kuwa muimba mapambio ya kumshabikia mohamed said.

If you want to sing go ahead and sing.like a nightingale. Oops there you go! You quote things in your simple mind over the ignorance of that quote meaning that does not fit the substance of the topic.
 
Oooh, sasa ulikuwa unababaika nini? umelewa? "kufunyua" na "fukunyua" ni muhali. Au umeanza kujifunza kuandika Kiarabu?

Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?

Kufunyua na fukunyua muhali?

Fukunyua ndio msamiati hasa nilioulenga....

Kufunyua ni neno ambalo limekosa kiambishi 'Ku' ndio maana likakupa tabu...

Mfano kufu..nyua hapo Kati niliacha 'Ku' kwahiyo kufunyua na fukunyua si muhali bibiye inahitaji akili kubwa kung'amua haya...

Nani kasema MAU MAU ilipiganwa dhidi ya wajerumani?
 

Si kweli, hakuna chuo cha Kiislam Morogoro, kuna chuo cha Waislam Morogoro. Kumbuka hilo, ni Muslim University of Morogoro na si "Islamic" University of Morogoro. Hata kifupi chake ni MUM na si IUM.



Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
 

Mimi nimeuliza, hebu jibu swali:

Jee, Mau Mau walipigana na Wajerumani?
 


Mkuu Sana mi nikifikiria mradi Wa kandambili halafu mwingine akadevelop huo mradi utasema wewe ndo muundaji?

Swali linaweza kuja Kama akina Sykes walikuwa na hilo wazo why hawakuliweka kwenye practice mpaka 1954?

Inakuaje tangu WW2 watu wakae na wazo tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…