kwa wale waliongalia emanuel tv juzi j2 inasemekana kua mh. Edward lowassa alionekana akiungama kwa prophet tb joshua. Hili naliona kama ni jambo jema kabisa lakini najiuliza swali moja. Kama ambavyo zakayo mtozaushuru alivyotubu kwa yesu na kusema ikiwa kuna watu niliowadhulumu haki yao, basi nitawarudishia mara nne, je mh. Lowassa ambaye ni mtuhumiwa wa ufisadi si anapaswa pia kufuata nyayo za zakayo? Nawasilisha na endapo kuna mtu mwenye data zaidi atujuze...

nguvu za giza a.k.a jujuAtautafuta sana urais but hatapata.
Makanisa kibao Tanzania anafuata nguvu gani huko?
repetence is between God and Him not between Him and Tanzanians. Hata Mungu akikusamehe lazima kuna cost ya msamaha
1-alimsamehe Musa kwa kupiga mwamba ili utoe maji wakati alimwambia auamuru utoe maji, Musa alipotubu akamwambia lakini hutaingia Kanaani
2-Daudi alipomwua uria na akamwoa mke wa uria, alipoomba msamaha alimsamehe lakini mtoto akafa
etc etc
So does EL hata akisamehewa...Urais asahau!! and that is the cost of forgiveness
that place is awesome my wife was there last sunday, wadau nawaambieni ile ni arena of liberty hakuna kinachoshindikana pale kwa jina la YESU, tayari nna testimony kibao za kushea. wife alikuwa na vidonda vya tumbo vinamkamata mpaka anapanda dirishani low pressure, ile kukanyaga tu pale hakusikia chochote mpaka wali wa ki nigeria wenye pilipili kibao alikuwa anakula sasa hivi hakuna cha low pressure wala ulcers kwishney. glory be to lord JESUS
kwa nini asingeenda tu loliondo kwa babu akapata kikombe .. lakini lowasa ukiacha ile kashfa ya ufisadi lowasa ni mtu makini katika uongozi....
Kumbe nao ni watabiri?Mtumish ameanza kuombea watu na kuwatabiria