che wa Tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 277 Reaction score 71 May 10, 2013 #1 Wadau naomba msaada...hizi headphone zimekataa ku connect kwenye computer pamoja na simu....nifanyaje wazee, msaada wenu waungwana. Nawasilisha
Wadau naomba msaada...hizi headphone zimekataa ku connect kwenye computer pamoja na simu....nifanyaje wazee, msaada wenu waungwana. Nawasilisha
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,675 May 10, 2013 #2 King'asti Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mwana Ilala JF-Expert Member Joined Jan 29, 2013 Posts 1,286 Reaction score 488 May 10, 2013 #3 Sio Copy ya Mchina hiyo ulonayo!?