BE WARNED:this is for all mmu female members

Vp wewe ameshakupitia nn!?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Mambo gan yakuharbiana
 

Kumbe kila kitu dili,ngoja nioongeze id nami nilete habr za kufiwa niopoe
 
Hakuambiwa alikuja kugundua mwenyewe tena the hard way, the good thing is that she has decided to warn her colleagues. Wadada siyo kila kingaacho ni DHAHABU!

atakua "kapigwa" huyo
 
Yeye anajuaje ID za kike na za kiume? Anatofsautishaje warembo na sisi wa kawaida? Awe makini sasa maana kila mkali ana mkali zaidi yake. Asije kusema hatujamwambia...
 
Hivi ameisha nitaja au bado, msipokuwa makini mtaliwa mpaka mchoke si mnapenda vya mtandao. kuna ule wimbo wa twanga sijui unasema tulikutana kimjini mjini tuachane kimjini mjini. so hata kimtandao iwe vile vile. Poleni wote mliotendwa.
 
Mkuu, mimi kila nikipiga sound wananikaushia, najiuliza sijui nitumie na mimi hiyo technic, nahitaji kimwana wa JF.
Utamu wa sound umjue kwanza demu anapenda mambo gani ndo utampeleka peleka vizuri, kama humjui kihiivo kama hawa hapa mtandaoni zuga tu kuwa una mkwanja wa kueleweka, lazima utapata tu appointment nyingi humu. Kama huna gari, azima au kodisha kabisa siku ukienda kukutana nae mara ya kwanza! Kikieleweka mzigo unaenda kulia kwenye gheto la yule nduguyo anayefanya TRA na demu ajue ndo kwako!Ukishakula mzigo unaibuka kwa daladala, akikuuliza gari unamuambia lipo garage au limeibiwa!!
 

Kaka umeongea kwa uchungu, hard to discard the possibility that you take this too personal.
 
Ahaa, shukrani mkuu kwa kuniongezea hizo maujanja, ngoja nivizie love connect.
 
utawapata watoto wa chuo au sec.siku hizi hao wadada wenyewe ni wajanja vile vile,wewe unamuongopea na yeye anakuongopea
 
mtaje basi, tutamjuaje?
Kweli amtaje kwani si kasema ana majina mengi? Kwa hiyo anamfahamu. Kama ana UPENDO wa kweli kwa akina dada humu JF taja majina yake wamtambue. Rafiki mzuri ni yule akuambiae UKWELI japo unauma.
 
Nakadori
hebu tuwekee jina ili tuhangaike naye.

Ikibi tumpelekee mkewe salamu huko huko aliko.

 
Last edited by a moderator:
Kwani mpaka sasa umetiwa na men wangapi? Maana naona hapa full kujipaisha uonekane mwanamke shujaa kumbe kitobo poleni galz mliochanganyikiwa navibabu vyenye ukimwi kisa pesa subirini vifo wakina mama huruma
 
general, hebu tupe wengine hatuko sana love connect

heh! Kafanye homework yako bwana! Usinifanye nikaitwa mdaku!

This is for jf ladies! Jamani mapenzi ya voda fasta hakunaga! Mfahamu mtu mtandaoni, take your time kumjua na ujue walau familia na marafiki. Tatizo letu uchumba wa siku hizi unatoka pm, unaingia simu, unamalizikia gesti hausi. Kuweni na kiherehere kama magelofrendi wa diamond. Kabla hajatamja unapiga mapicha na mamake mzazi unaji-blogg! Mtatapeliwa sio hela tu. Utu na magonjwa vinahusika. Hamuogopi kuchinjwa (i watch too much criminal investigations, lol)
 
mhhh nilikuwa sijaiona hii, duuuhhh daaaaahhh, deeeehhh, diiiiiiiihh, dooooooohh, Nakadori mtaje bwana, tusijeingia kwenye dhambi ya kuwaza mtu ambae sie
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, vijana wanasaka ndoa hapa

Wakati wenzao tunasaka tundi tu.

Too much criminal Investigation movies are not good

 
Sasa huyo mfiwa wanini?
atakuwa na murder case so si wakumpapalikia kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…