be ware of erolink

na haya makampuni yanayajiri kupitia erolink HRs wao pumba kabisa hivi wamwekaje mtu lets say customer care unasikia manyanyaso yote anayoyapata kweli huyu mtu atadeal na wateja vizuri???
 
Ok Cereen, nimeelewa sasa kwa hiyo wanasuply manpower kwenye makampuni? kama ni hili ni janga poleni sana ndugu zangu hope they will make it this time
 
Yani hawa jamaa ni wanyonyaji waliopitiliza, halaf hawana hata chama cha wafanyakazi, mbaya zaidi wanafukuza bila kufuata taratibu, serikali inabidi iingilie kati walichunguze hili shirika kwa sababu ndo wanaoongoza kwa uvunjaji wa sheria za kazi
 
Duh eeeh nchi yangu Tanzania,nimesoma mpaka inatia hasira
cha muhimu you guys organise urself then mdai haki zenu mahala panapohusika
lakini huyu waziri wa kazi na ajira ndio kabisaa hata sijui anafanya kazi gani
 

Du mshkaji unalipwa nyingi hivyo laki nane? itabidi nikutafute aisee!
 
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.

Unataka kunambia hata kunjunjwa ni sababu ya Euro link?, hao cheap tu hata kama wangekua wanalipwa milion
 
aisee jana tu nilikua sehemu na mmoja wa jamaa wa hiyo kampuni...luunch..kuna videmu vilikua vinajipendekeza kwake avipe kazi....hahahahahaha..kama mambo yenyewe ndiyo haya nawaonea huruma
 
Wanawaonea sana yani hapa ofisi kwetu videmu vilivyoletwa na Erolink washikaji wanavibabaisha wanavigegeda vibaya mno yani gharama yao ni lunch mchana tu kuna jamaa namjua kaisha vifumua kama vitano peke ake.
erolink nao wanahusika hapa?wangapi wanalipwa vizuri naniii ni kama kawa
 
uoga wao ndio umaskini sheria za kazi zipo kwa matatizo kama haya.........
 
Si wanasema hii kampuni niya wa Kenya? Au ndio tumeshaingia kwenye Federation? Matapeli sana hawa, wana wapa watu vikazi alafu eti watafute wadhamini, hao wadhamini eti watoe Benki statement zao, barua ya mtendaji, barua ya kazi kama wameajiriwa (attestation), pum..vu kumdhamini mtu wa kupokea laki 2 ndio ndio udhamini mkubwa hivyo! Hata raisi hapati wadhamini wa hivyo. Inabidi wanyang'anywe hayo matenda manake wananyanyasa sana watu sababu wanajua watu ni vulnerable kwa ajira......ma..e zao
 
we uko tigo, au airtel....voda hawatoi iyo inatolewa na hao mabazazi baada kupiga cha juu
 
jamani mi wamenita interview kwa mtu aliyetayar fanya pale interview zao zikoje japo kidogo
 
aisee jana tu nilikua sehemu na mmoja wa jamaa wa hiyo kampuni...luunch..kuna videmu vilikua vinajipendekeza kwake avipe kazi....hahahahahaha..kama mambo yenyewe ndiyo haya nawaonea huruma

mwambie jamaa yako anipe kazi ila jipendekeze mwenyewe bana
 
Dah!!! Maandalizi Yao mabovu wanafanyisha tu interview ovyo ovyo!!!! Yaani!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…