Be real ,usi-fake maisha

Be real ,usi-fake maisha

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,434
Reaction score
3,553
Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao.

Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua kutafuta utambulisho mpya ili wasaidike.

Kuishi maisha yaliyo halisi ni amani na furqha kuliko kufake,maana maisha ya kufake yanakufanya uwe makini na uishi kwa Michale muda wote,na mata nyingi hata kukwepa kukutana na watu pale inapobidi ili kukwepa kugundulika.

Kama unamudu mihogo wewe kula,comfortably,kama una mudu daladala,ishi openly usijifanye mzee wa ndinga aghari wakati hata baby walker huna,being real is a source of peace in within.

Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.

Be real utakuja pata madhara sababu ya ku-fake life.
 
Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.📌🔨
 
Ni kweli Mkuu hata humu, Member wengi wanaishi kwa maigizo akipata changamoto ana change I'd. Kiuhalisia hakuna mtu asiyekuwa na changamoto lakini ameamua kukabiliana nazo tu.

Kuna members humu huwa sijui wanajisahau au vipi? Anakuwa na mikogo mingi lakini Kiuhalisia ana changamoto nyingi kuliko hata ambao wapo normal sana.

Ushauri : Be original because it is worth than being fake
 
Me naishi zangu Low key na Real life sio mtu wa mitandao kujipost sijui kufanya nini watu wanasema najiskia😂
Safi sana mkuu.
Hii ipo kwa jamaa yangu iv ni wakishua hela ipo ila sio mtu wa mitandao kwa mwkaa unawez ona post nne tu. Na hata akiweka picha yake utajua tu PESA IPO.
 
Teknolojia inafanya kila mtu taarifa zake ziwepo bila kupenda katika mitandao.

Watu wengi wanaishi maisha ya kuigiza ufahari wakati hakuna uwiano na uhalisia,siku wakipata matatizo wanaamua kutafuta utambulisho mpya ili wasaidike.

Kuishi maisha yaliyo halisi ni amani na furqha kuliko kufake,maana maisha ya kufake yanakufanya uwe makini na uishi kwa Michale muda wote,na mata nyingi hata kukwepa kukutana na watu pale inapobidi ili kukwepa kugundulika.

Kama unamudu mihogo wewe kula,comfortably,kama una mudu daladala,ishi openly usijifanye mzee wa ndinga aghari wakati hata baby walker huna,being real is a source of peace in within.

Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.

Be real utakuja pata madhara sababu ya ku-fake life.
Namshauri mbubujikwa machozi azingatie ushauri wako.
 
Huyo Hana pesa ni masikini tu pesa wanayo wazazi wake sio yeye nyie mnaleta utani na pesa maana pesa kazi yake ni kutumiwa
Mkuu mimi ndio namfahamu
Yes wazazi wake wako njema
Ila na yeye yuko na stream yake ana hela wala hategemei za wazazi.
 
Hana hela huyo masikini tu usilete bla bla hapa sio sehemu ya kufarijiana Kwa umasikini
 
Back
Top Bottom