Be real ,usi-fake maisha

Be real ,usi-fake maisha

Kuna Ku fake na kubrag , nafikiria kubrag ndo kitu kibaya Sana .

Mfano unawatambia watu hiyo haifai Ila kuishi kimasikini namwonekano mzuri sio mbaya
 
Wengine tumechagua kuishi uhalisia wetu Sawa na vipato vyetu,kuigiza tunavyo wakati hatuna hutunyima uhuru na amani ,ni bora ukatengwa sababu huna kuliko kujitenga sababu huna na unajifanya unacho.📌🔨
Father
 
Back
Top Bottom