Be a self lover... make love with your OWN

Ni raha sana aisee ila mungu ndio hapendi, si unaju vitu vyote vyenye utamu wa kupitiliza tumekatazwa? nawashauri msijaribu wadada kwani ambao hamjaolewa mnaweza mkaona hamna umuhimu wa ndoa. ni kitendo cha aibu sana embu fikiria mtu akubambe unafanya hivi au hata ndugu yako akukute ghafla utamwangalia vipi usoni, au uwe umeolewa mume akubambe unafanya haya si utatamani ardhi ipasuke?
 
Jamani.."self-loving" doesnt mean "making love with same sex".Kama ndicho kilichoeleweka hapa basi mwanzisha mada kachemsha!

Self loving is just you and your body period! whats wrong with that?


Mimi nadhani niko mshamba wa kutupwa. Sijawahi kuwaza kwamba ati mimi mwenyewe peke yangu naweza kujistimulate na nikawa-satisfied. Hainiingii akilini kabisa, we need each other jamani ndio maana Mungu akaumba mwanaume na mwanamke. :gossip:(for me definetly i need a masculine touch)
 
Jamani.."self-loving" doesnt mean "making love with same sex".Kama ndicho kilichoeleweka hapa basi mwanzisha mada kachemsha!

Self loving is just you and your body period! whats wrong with that?

Wameelewa sana nnacho maanisha ... WA TZ hujifanya wakimbia ukweli
 
Kwanza ni salama,haina gharama zozote zile,inaridhisha mnoooo, na wazungu saiv wametuletea ze so kold TOIZ kama umechoka tumia mikono yako.

Save life .. Stop AIDS.

Sasa hapo unasave life for your own expense! kwanza inakulemaza kuanzia kifikra hadi kivitendo! kwani ukimwona mwenzio kala madawa ya kulevya na wewe utakula? kusex na toiz ku abuse sex tuliyopewa na mungu, wache hao wanaofanya wafanye ila sio sisi/mimi. Hiyo inasababishwa na mambo mengi kutokana na mazingira yao wanayoishi kama
a)ugumu wa maisha na ukimtongoza demu lazima kumdate mkutane hotelini,
b) wanawake wajanja sio wakusukumwa tu kama mlivyozoea wanajua haki zao za kimsingi kilichobaki wanaume wanavaramia WATOIZ
c) wanaujiuza ni garama na wale ni pay first hakuna kula na kukimbia kama hapa bongo, sasa hapa bongo toiz la nini kaka, wakati unaweza kupata kitu origin kwa mkopo?

SASA TUNASEMA MUDA BADO KWA AFRIKA KULALA NA MATOIZ, HUKO HUKO ULIKUONA WAENDELEE WAO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom