Be a self lover... make love with your OWN

Kowan

Member
Mar 15, 2011
62
1
Kwanza ni salama,haina gharama zozote zile,inaridhisha mnoooo, na wazungu saiv wametuletea ze so kold TOIZ kama umechoka tumia mikono yako.

Save life .. Stop AIDS.
 
Haya, sasa!!!
Mmmmh, dah!!!
Utandawazi au?

Dunia ina mambo, tutakuwa hatuolewi sasa!!
Si tutakuwa tunajitimizia haja zetu wenyewe.
 
huko ni kupotea njia kabisa sasa kila mtu akiamua kupiga nyeto , ni nini dhana ya kuendeleza kizazi?. Ni wazi kuwa baada ya miaka 20 ijayo idadi ya vijana itakuwa ndogo kuliko idadi ya wazee. Na hilo ndilo lengo la hao wanaowaletea hayo madubwasha. Hii inamaanisha muwe na taifa lisilo jitosheleza kwa nguvu kazi na kulazimika kuwakaribisha wageni waje kuvuna rasilimali zenu.
 
we hayo mambo tuwaachie hawa wazungu wasiokuwa na staha, how can u make love by ur own? si uchizi huo? kwani wenza hakuna? africa bado sana hatujafika huko,hatujakosa maadili kihivo.
 
HIYO SIYO RAHA NI KARAHA! utaharibikiwa kisaikolojia, unamkufuru Mungu aliyekuumba. naamini hakuna dini inayokubali...
 
huko ni kupotea njia kabisa sasa kila mtu akiamua kupiga nyeto , ni nini dhana ya kuendeleza kizazi?. Ni wazi kuwa baada ya miaka 20 ijayo idadi ya vijana itakuwa ndogo kuliko idadi ya wazee. Na hilo ndilo lengo la hao wanaowaletea hayo madubwasha. Hii inamaanisha muwe na taifa lisilo jitosheleza kwa nguvu kazi na kulazimika kuwakaribisha wageni waje kuvuna rasilimali zenu.

naunga mkono hoja
 
Na hicho ndiyo haswaaaa kinachowakabili wenzetu wazungu.... They call it "pension time bomb"!!! Population structure inakuwa very norrow at the base and very wide at the top!!! Watu hawazai.... wazee (dependants) wanakuwa wengi kupita vijana (productive). Tusidanganyike jamani. Si kila kitu wanchotuletea hawa weupe ni sahihi.
 
kweli tusipo angalia vizuri tutapotea, nimewahi jiuliza sababu hasa za mahusiano ya jinsia moja kushamiri hasa ughaibuni nikagundua zote hizi ni outcomes za kimifumo, mfano watu kukwepa karaha za child support wanaamua kukamata machoko, wakina mama wanapokosa wakuwaliwaza wanaamua kusaidiana wao kwa wao na hivyo kuzua hili kundi la lesbians.
 
Jamani.."self-loving" doesnt mean "making love with same sex".Kama ndicho kilichoeleweka hapa basi mwanzisha mada kachemsha!

Self loving is just you and your body period! whats wrong with that?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom