Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Eeh ya moto haibambi, kitu bariiidi😋Tena hiyo juis ya miwa iwe ya bariiid kabisa mana ikiwa ya moto ni sawa na unakunywa mitishamba
Kinashuka vizuri
Eeh ya moto haibambi, kitu bariiidi😋Tena hiyo juis ya miwa iwe ya bariiid kabisa mana ikiwa ya moto ni sawa na unakunywa mitishamba
Sehem gan cna utuU say that but u forget kuna sehemu na wewe huna utu
Ubaya ni kwamba ngono,(uzinzi) is self destruction..humkomoi mtu.Mbna mmeegemea upande mmoja, vp kuhusu hawa wanawake ambao ukiwasaidia bila kuomba mbususu wanakuona ww fala
Binafsi kwa hawa wanawake wa sahiv siwez kuwaacha ikiwa naona mazingira ya kupata mbususu yapo
Yaani tusiwachakate sioWanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.