Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,953
- 24,173
Ujumbe mujarabu.
Kwan sisi wanaume tunavowatongoza na mnatukataa, huoni tunajidhalilisha Na kujichoresha kwenu, ila sisi wanaume hatuoni kama tunapoteza utu Leejay49sio kufilisiwa. hatutaki kupoteza utu, Kwani lazima nikulipe ngono ndo uniajiri? si bora hata uniambie utanikata ela kwenye mshahara wa kwanza au kitu kingne 😌
Nmeyapokea mauahongera sana mkuu
Kichupa Leejay49kwanini umtongoze kila mtu, ndomana umeambiwa na mleta uzi vingine uviache vikupite
🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨🔨Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
🔨🔨🔨kiroka Hongera sana mkuu ni miaka zaidi ya minne nimekua naishi na ushaur wako kama huu
Lazima tuoneshe watu kwamba ubinadam na utu bado vinapatikana kwenye dunia hii ya rotten generation
Eti mwanaume wa kinondoni 😅😅😅Labda awe mwanaume wa Kinondoni, hapo kweli atashindwa kumaliza😀
Me mbona mtori na chapati mbili napiga vizuri tu.
Tena baada ya hapo nashushia na juice ya miwa glass moja😋
Mkuu, hii issue sio swala la utu tu, Bali pia ni heshima. And it goes both ways. Ili huwezi kufanikisha baadhi ya mambo, lazima kuwe na mipaka kwa kila kitu, hasa when it comes sex and relationship.kiroka Hongera sana mkuu ni miaka zaidi ya minne nimekua naishi na ushaur wako kama huu
Lazima tuoneshe watu kwamba ubinadam na utu bado vinapatikana kwenye dunia hii ya rotten generation
Wanawake wanapenda mwanaume akikosa kwake papuchi au akimkataa basi akataliwe na wanawake wote hapana formula haipo hivyo.Hata hivyo wanaume hamnaga kinyaa, mtu unajua kabisa anatoka na fulani na wewe unataka uchomeke?
Mfano mzuri ni wasanii wa bongo yaani wanavyozungukana, hivi hawa watu kwa nini hawana kinyaaa? Aiseee au ukimwi nao unabagua!!
Imegine mwanaume anajua kuwa huyu ni malaya anajiuza ila mwanaume anajizima data ananunua malaya anamaliza shida zake anasepa.
Hivi kabla hujamnunua hujiulizi wangapi wamemnunua? Nyie viumbe hamnaga kinyaa.

,nikasema poa akarithika.Wanataka mwanaume akose akose akose akose akose ahangaike ndyo furaha Yao.