Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,222
- 50,170
Eeh vile vibakuli vya restaurant vya kawaida.Eti mwanaume wa kinondoni 😅😅😅
Huo mtori unakuwa kiasi gani? Au ndio vile vibakuli vidogo?
Eeh vile vibakuli vya restaurant vya kawaida.Eti mwanaume wa kinondoni 😅😅😅
Huo mtori unakuwa kiasi gani? Au ndio vile vibakuli vidogo?
Well said. Inaongena wewe ni mtu mwenye maadili mema. Tungekuwa na watu kamaa wewe dunia ingekuwa mahali pa salama.Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Sidhan kama umemuelewa vizuri mtoa mada.Wanawake mkitoa papuchi mnaonaga kama mmetoa pesa nyingi sana, sijui kwanini, kwani mwanaume akikuomba ngono, raha si mnapata wote, tena na hela/misaada unaotaka anakupa juu, mm mwanamke akinipa papuchi na hela mbona bingo hio, au niende mahali kuomba kazi halafu nikute mwajiri ni mwanamke, hlf sharti la kupata kazi ni mpaka nimlale, mbona ni poa hata asiponipa io kazi, wanawake sijui mkoje mkiombwa uchi mnaona kama mnafilisiwa na mnaonewa Leejay49 Lenie
Kitu kimoja ni hakika, huwezi kumfunda mtu mzima maadili mema akiwa mtu mzima. Nauyasemayo ni maadili ambayo mtu hukuwa nayo akifundishwa tangu utotoni. Hiyo siyo acting, huwezi kuigiza utu wema kama huna hata uo utu, huo utu wema ndio mnaouita ugentle man. Sasa wewe hapa unataka watu waigize utu wema, maigizo hayajawahi kumuacha mtu salama. Na hata siku moja maigizo ya utu wema sio kwamba ndio utu wema. Kwasababu wanaume hao hukutana na wanawake wasio na utu wema kama wao wasivyo na utu wema, wakijifanya kuigiza wataumizwa vibaya sana maana wanawake hao hawana huo utu wema. Maadili hayaigizwi lasivyo utamtaka mwanaume aumizwe. Mwanaume mwenye maadili yake hatochangamana na wanawake waaina hiyo na huyo mwanamke hatoweza mpata kama yeye mwenyewe maadili hana. Vikwazo vipo pande zote ila kama wewe ni mtu unamaadili siunajisepea, ukiona binti kakubali ni juu yake na never insist on a grown man aliyejijengea tayari maadili na watu wakuchangamana nao kuwa aigize kuwa mtu mwema wakati waliomzinguka waume kwa wake wote ni mafisi, watamla hadi mifupa. Be yourself, don't act as a gentleman, kama una utu wema hautaacha kutenda wema hayo ya gentleman waachie wazungu. Wanawake uliojizungusha nao kwamaadili uliyokuwa nao tayari hawana utu na walishajipoteza, unataka uigize utu wema si watakuangamiza. Live your life!Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.
Wanaume wenzangu sio kila mwanamke alieko karibu na wewe lazima umle no, wengine acha wakupite.
Namaanisha labda umefanikiwa vihela vya mboga kidogo anakuja mdada wa watu mrembo anakuomba umtatulie shida yake ya kifedha wewe unamtaka kingono, msaidie aendelee na maisha yake.
Au unamkuta binti wa watu ana maadili hajaolewa na wewe unajua huwezi kumuoa acha kumchezea huyo kiumbe wa watu, muache ajitunze kwa ajili ya mumewe huko mbele ya safari.
Wewe ni boss ofisini unaweza kuajiri, hebu mpe mtu ajira bila kuomba ngono maisha ni zaidi ya ngono.
Jifunze kutoa sadaka, saidia bila kujali maslahi yako ya kingono utapata baraka na amani ya moyo huo ndio uanaume.

Hapo sawaEeh vile vibakuli vya restaurant vya kawaida.
Huko toi nadhani mzigo unakua mlima.Labda awe mwanaume wa Kinondoni, hapo kweli atashindwa kumaliza😀
Me mbona mtori na chapati mbili napiga vizuri tu.
Tena baada ya hapo nashushia na juice ya miwa glass moja😋
Wee nae. Sasa kucovyachovya sii stareheUko sahihi Mkuu!! Kuchovyachovya kwa nia ya kujistarehesha tu sio kitu kizuri kabisa!
Hela ninayo nataka mbususu yakosio kufilisiwa. hatutaki kupoteza utu, Kwani lazima nikulipe ngono ndo uniajiri? si bora hata uniambie utanikata ela kwenye mshahara wa kwanza au kitu kingne 😌
Wee ingia kichwa kichwa hao wa style hiyo unakuta wanakukula hadi tope. Usidanganyike wanaume ni wale wle tuuWalau leo nimekutana na mtu wa tofauti jf, hongera sana umenena vyema mkuu
me mbona siuzi sasaHela ninayo nataka mbususu yako
amna, kuna kitu kaongea cha msingi sanaWee ingia kichwa kichwa hao wa style hiyo unakuta wanakukula hadi tope. Usidanganyike wanaume ni wale wle tuu