Tangu BBM iwe imeruhusiwa kwa simu za Android na Iphone, watu wamekuwa wanagawa PIN zao kama pipi. Sasa kama unataka kumjua mwana JF hapa we mvizie tu akigawa PIN yake.
U nataka kunijua mimi? Omba yangu.........
Hahaha pamoja na kuvutiwa sana na hicho ki Avatar chako, lakini usiniombee hapa bhana sa unataka kila mtu aone jamani!
Hahaha pamoja na kuvutiwa sana na hicho ki Avatar chako, lakini usiniombee hapa bhana sa unataka kila mtu aone jamani!
Nimekutumbukizia kwenye mkoba wako
wala usijali, mi nimeingia na kimchina changu ila tu kiwe kinatumia android kuanzia 4.0 na kuendelea au kiwe kinatumia ios kuanzia 6 na kuendeleaIla me siko huko labda unipe tution jinsi ya kijiunga.nna kitach changu cha mchina
Nimekumiss pia, beibe nastyMjr mekumith
niambie siri zako kuingia JF kila sikukwahiyo wanafaidi mno.
Nalog off
hahaha nikitoka mzigoni ndio huwa naingia humu.niambie siri zako kuingia JF kila siku
mi ndo nipo langoni na rungu nahakikisha usalamahahaha nikitoka mzigoni ndio huwa naingia humu.
NALOG OFF