BBC yataja JF inavyojaribiwa kuvurugwa na Serikali ya Tanzania

Status
Not open for further replies.

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
_53436798_egypt_afp464.jpg


_53436804_304.jpg



African jitters over blogs and social media

By Karen Allen

Southern Africa correspondent, BBC News

African governments are turning to more sophisticated techniques to block internet sites and bloggers who they perceive to be a threat.

That is the conclusion of The Committee for the Protection of Journalists, who together with the internet giant Google SA, have gathered African journalists together in Johannesburg's financial hub Sandton to take stock in the wake of the North African uprisings.

In recent months we have seen the traditional means of blocking content continue.

Uganda, for instance, turned off social networking sites in April during the peak of the "walk-to-work" campaign.

Though it denied doing so at first, the Uganda Communications Commission wrote to service providers asking them to "block the use of Facebook and Twitter" and "to eliminate the connection and sharing of information that incites the public".

The BBC saw a copy of the letter.

In June, the Rwandan site Umuvugizi was blocked as its editor was sentenced in absentia to more than two years in jail for insulting the President Paul Kagame in an opinion piece.

And in Swaziland, SMS and the Facebook site were suspended during the much-trumpeted protest marches that failed to take off at the start of April.

But these "technical blocks" are fast becoming surpassed by "more sophisticated and targeted tools using Malware", says Danny O'Brien from the CPJ.


Cloning websites He says a tactic that was previously used in China, Malware enables an individual's website to be infiltrated via a virus or spyware designed to damage a user's system and "suck out important content".

It also enables the "infiltrator" to clone the original system and send out information that would be hard to detect as being fake.

There is evidence that this sophisticated tool is being used in Tanzania and Sudan, according to Tom Rhodes, CPJ's East Africa lead.

JamiiForums, a Swahili language version of Wikileaks, is being "cloned" by Tanzania's government to disrupt conversations of opponents, he says.

There has been no comment from the Tanzanian authorities on this.

Nevertheless with Chinese influence in Africa growing rapidly, should journalists and bloggers be more concerned? Google thinks so.

The company has found its search engine periodically blocked by China over the past decade and Ory Okolloh, its feisty government relations manager, is a trailblazer for media freedom.

She was the brainchild behind the Kenyan site Ushahidi, which used mapping technology and mobile phones to help identify sites of post-election violence in 2008.

Given the events in the Middle East and North Africa, Ms Okolloh argues that there is a "growing need among individuals and organisations in the forefront of online freedom of expression, to learn about the complex issues surrounding news technology products and social media tool".

Journalist defence networks agree.

"Governments now have unprecedented access to the wires and pipes of the internet," says Mr O'Brien.

No longer sci-fi What is more, with 80% of those Africans using the internet accessing it via mobile phones, the breadth of information that can be gleaned is much greater.

Mobile phones require government licences and greater co-operation between providers and the authorities, and so the pressure to suspend services cannot be underestimated

Internet accessed by smart phone users not only tells a hacker what sites are being monitored and who they are talking to, but it will also gather information on their precise geographical location and what they are seeing.

This is no longer the stuff of sci-fi movies but the everyday reality of citizen journalists everywhere.

Timothy Kalyegira was in a Ugandan prison cell facing charges of criminal libel last week.

A few days later the Ugandan journalist and blogger was out on bail as one of the delegates of the meeting in a plush hotel in Sandton.

Mr Kalyegira's "crime" in the eyes of the Ugandan government was to stray into the sensitive territory of security issues.

On his website, the Uganda Record, he questioned whether it really was the Somali Islamist organisation al-Shabaab that was behind last year's World Cup bombings in Kampala.

He faces criminal charges.

Some will undoubtedly appreciate Uganda's stance given it is an issue of national security, but many of the other delegates who joined Mr Kalyegira in Sandton have felt the strong arm of the law for what may seem far more "benign" reasons.

For instance simply posting a view on Facebook, publishing a cartoon or tweeting a few tweets on Twitter.

These men and women earn a pittance from their online work; they do not enjoy the diplomatic cover that big news organisations receive when things go wrong; but they are rapidly becoming the voices of dissent.

Just like the "samizdat" illegal publications in cold war Europe were the engine of change in the late 1980s, so the voices of the Rwandans, Ethiopians, Ivorians and Nigerians gathered in Sandton are making contributions that are rattling governments continent wide.
 
Kweli kabisa haya mapandikizi ya chama cha magamba yametumbukizwa humu kuja kuharibu mada mbali mbali zinazotumbukizwa humu washindwe na walegee serikali ya magamba ya CCM.
 
Waache waje tu akina FF na vikaragosi wengine. Tutakula nao sahani moja. Mpaka kieleweke!
 
Big up JF! You have hit the target, mods please muwe standby dhidi ya mashambulizi yoyote kwa Jf yetu.
 
Wakifunga tutaandamana hadi ubalozi wa Marekani kushitaki, maana wao ndiyo wanaosisitiza demokrasia na wanatoa pesa zao nyingi.JK usijaribu hata mkifunga tutatumia mbinu za kienyeji kupashana habari, tutatumia njia ya kusafirisha barua kwa kutunga ktk kijiti hadi ifike iendako.
 
Thanks MMM

watahangaika sana, lakini labda watumie akina halfani waliopewa mamia ya mamilioni kuchafua watu wakishirikiana na vodacom

its too late anyway kuzuia power ya electronic media
 
Kweli kabisa haya mapandikizi ya chama cha magamba yametumbukizwa humu kuja kuharibu mada mbali mbali zinazotumbukizwa humu washindwe na walegee serikali ya magamba ya CCM
Aliyekwambia kuwa JF ni wakala au wanashabikia chama au imani fulani ni nani.

JF ni ya kila ambaye anataka kutoa mawazo yake, haijali chama wala imani ya mtu, kila mmoja anakaribishwa.
 
Hapa tupo na hatuondoki daima hatutumia matusi kama wanavyo fanya ila hoja juu ya hoja. Tupo hapa hapa .
 
Hawatawezeza kama wameshindwa kuleta maendeleo wataweza kutudhibiti? Kama wangetumia nguvu hizi kwenye maendeleo tungekuwa mbali kimaendeleo.
 
MwanaKijiji nashukuru kwa taarifa. Ukweli ni kuwa kutokana na serikali ya yetu kuwa tegemezi inashindwa kuact straight kama serikali nyingine zifanyavyo ili isionekane kuingilia uhuru wa habari. Lakini hili linafanyika indirect hasa kwa kuangalia ni mtandao upi ambao ni threat kwa kiasi kikubwa na kuanza kudeal nalo.

JamiiForums ni ya kwanza kuguswa na hili pale Pius Msekwa alibainisha kuwa mtandao huu unamilikiwa na CDM jambo ambalo alikuwa anajua si kweli lakini alilenga kuupunguzia heshima mbele ya watu, lakini vile vile ni kuwaambia wanaCCM kuingia vitani dhidi ya mtandao huu.

Nashukuru FB na Tweeter bado havijaguswa sana.
 
Hii ndio shida ya serikali dhalimu badala ya kuwaza namna ya kuleta maendeleo inawaza namna ya kurudisha nyumba maendeleo kwa kukataa changamoto. Huu ni upuuuzi ambao viongozi wetu wameamua kwa dhati kuuendekeza na utakuwa ndio sababu ya wao kutoka madarakani haraka kwani hawawazi namna ya kujitahidi kuleta maendeleo bali wanawazia namna ya kupambana kuzima harakati za wananchi za kuwaamsha kutoka katika usingizi waliolala na kuifanya nchi kama ni mali yao peke yao.
 
kama JF itaendelea kuwa tishio mpaka mwaka wa uchaguzi basi tutarajie kufungwa maana inaonekana hawa jamaa hawalali kwa sababu JF imewashika penyewe.Wamejaribu mbinu ya kuweka mapandikizi ya magamba wamegonga mwamba bbc wameelezea jinsi serikali inavyo haha kutumia teknolojia kudhibiti JF. Hii ni hatari,kumbe JF INA STATUS YA WIKLEAKS,WONDERFUL
 
Aliyekwambia kuwa JF ni wakala au wanashabikia chama au imani fulani ni nani.

JF ni ya kila ambaye anataka kutoa mawazo yake, haijali chama wala imani ya mtu, kila mmoja anakaribishwa.

Kamwe JF haiwezi kuwa ya chadema wala CCM, bali posibility ya kuwa na percentage kubwa ya chadema members ni kubwa sana kutokana na vuguvugu linaloendelea

na si sahihi kudhani jf ni mali ya chadema, it is utterly misleading kudhani jf ni chadema

lakini at the same time, ni vigumu kutenganisha jf na modern movement, na kutenganisha modern movements na upinzani kwa chamagamba
 
Vyombo vya magharibi hivyo. Mimi nayawazia madini yetu hasa uranium inavyotamaniwa kiasi hiki. Tumia jicho la tatu. Adui wa ndani munaweza patana naye katika matatizo au raha lakini wa nje hakuna kitu kabisa. Tanzania inapoteaaaaaaaaaaaaaa.
 
Mapambano ya kupigania haki ya walio wengi yanashika kasi hapa Tanzania. Taratibu lines of battle are being drawn. na kusema kweli, vita hii sio hasa kati ya CHADEMA na CCM, bali ni kati ya kikundi kinachoshikilia mamlaka na kuyatumia kufilisi taifa, na watanzania wanaozidi kuongezeka idadi, wenye uchungu na nchi yao, na wapo tayari kuipigania. vyama kama CHADEMA, taasisi kama JF, vimejitokeza kuwa upande wa kundi hili la walio wengi, na kwa maana hiyo watanzania hawa wanatumia vyombo hivyo kufikisha ujumbe wao. ndio maana CHADEMA wakiorganise maandamano, wananchi wanaitikia kwa wingi sana. Sio kwa sababu ni wajinga, si kwa sababu hawana kazi ya kufanya, sio kwa sababu wanataka kupoteza muda badala ya kufanya kazi wanaandamana, bali kwa sababu wamechoshwa.

Na ndio maana hapa JF inaonekana kwamba walio wengi ni wale wanaopendelea CHADEMA. si kwa sababu wanapewa fedha, si kwa sababu wanadanganywa, si kwa sababu ni wajinga, bali kwa sababu wanaona hapa ni mahali wanaweza kukutana na kubadilisha mawazo. na si kwamba JF yenyewe inalazimisha haya, bali kwa kuzingatia misingi ya haki na demokrasia, na misingi yao wenyewe waliyojiwekea. watanzania walio wengi pia wanatembelea hapa kwa sababu wanapenda kusoma post za humu.

tunahitaji vyombo vingine vingi tu viibuke, ambavyo vitasimamia maslahi ya taifa, ambayo mpaka sasa hivi hayana mwenyewe anayeyasimamia inavyopasa. vyombo hivi hakika vitaungwa mkono na watanzania walio wengi. ni wajibu wa kila mmoja wetu kujizatiti kwa mapambano haya. haiwezekani watanzania tufanywe wajinga, mali asili zetu zinaliwa mchana kweupe watu tunaangalia. Kagoda hiyooo, Hosea wa TAKUKURU anakuambia hana ushahidi! Feleshi naye anakuambia hana ushahidi. Dhahabu ndio hiyo inapanda bei kila kukicha, sisi tunaambulia vumbi tu.

halafu tunaambiwa eti kuna kundi linakuja kuleta mzaha humu JF!! hiyo ni mbinu mfu, ambayo itashindwa tu. huwezi ukashindana na NGUVU YA UMMA ukashinda...Lakni kama vyama kama CCM, pamoja na wapambe wake, wataendelea kutetea mfumo huu, watakumbwa na mafuriko na kutupwa nje. hata hao wanaoingia hapa na kuvuruga hoja, hawatafaulu asilani.
 
Kweli kabisa haya mapandikizi ya chama cha magamba yametumbukizwa humu kuja kuharibu mada mbali mbali zinazotumbukizwa humu washindwe na walegee serikali ya magamba ya CCM
Mkuu JF, ni wote sio ya Chadema
 
Kama walivyo washabiki na wanachama wa CHADEMA walivyo wengi, ndio hivyo hivyo washabiki na wanachama wa CCM na vyama vingine pia wapo na wanaendelea kujiunga, na kina sie tusio na ushabiki wa vyama vya siasa nasi tumo vile vile.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom