BBC: we had a ‘duty’ to make Rwandan genocide documentary

BBC: we had a ‘duty’ to make Rwandan genocide documentary

kwa bahati mbaya sana ni kwamba, wewe ni mmowa wa watu waliodanganywa na illussion za kagame na hata hawajielewi wanachosema, na hautakuja kujielewa hadi akili yako ikombolewe. kama kagame si malaika ana madhaifu, hayo madhaifu ndiyo watu wanayoyasema kuwa ameua sana amemwaga damu sana congo, amemwaga damu sana ya wanyarwanda tena kwa kuahidi kumwaga damu hadharani kwenye mkutano, hakuna rais aliyewahi kuahidi kuua raia wake na akaua kweli ila kagame tu. kagame ni rais pekee aliyebaki africa mwenye ujasiri wa kuua bila kuogopa kitu chochote. hata kama wanadamu hawatamhukumu historia itamhukumu na kuna siku Mungu mwenyewe ataingilia kati hadi hautaamini kitakachompata na ninyi wafuasi wake mtatawanyika kama kondoo asiye na mchungaji. time will tell.

uh huh...kicheko dot com.
 
We can now conclude that if we face any threat like the oneat Kibeho or in DRC terrorist camps, the only suitable solution is to do whatRPF did? If you disagree please raise your hand and suggest something before itis too late, I can hear Anti-Tutsi melody somewhere around the corner.
By the way when are you good guys going to condemn evil(Jmalis) who uses genuine refugees as a human shield?

People need to stop being silly. There are more Hutus who died in that genocide that Tutsis, that genocide was not about killing Tutsis, as a matter of fact tribes were fighting against one another as a revenge because there's just too much tension between the tribes in that country no matter how they try to reconcile them. Tribal war is much like religious war as nobody wants to lose. Remember Kagame's parents ran away from Rwanda to Uganda back in 1959. He spent all of those years in exile but returned to revenge against the Hutu led government. Point here is, that country will never be at peace as there are already scars all over the place, it's just a matter of time before another chaos erupts. It all started way back in 1959 when the Hutus chased away the Tutsi (minority) dominance, then in 1990 Rwigyema's Tutsi led forces (exiled Tutsis) invaded Rwanda. Rwigyema had the right ideas, he wanted to integrate Hutus in his forces but his (Rwigyema's) subordinates didn't want to do anything with the Hutus and killed him. Although some reports suggest that Rwigyema was killed by Ndugute but later on it emerged that he was actually assassinated by Kagame because he wanted total control of the army. As a result of his hate towards the Hutus, he and his troops massacred many of the Hutus on his way to Kigali that would eventually kill the then President Habyarimana, do you remember this? My friend, this is JF where smart individuals meet, there are Professors here and political analysts as well as other scholars, so don't be fooled by people's Avatars. You might be Rwandese but don't know anything about the genocide except for what you are told by Kagame's people which is to hide the real truth. People here go beyond borders to fetch the truth. Welcome my friend.
 
Although some reports suggest that Rwigyema was killed by Ndugute but later on it emerged that he was actually assassinated by Kagame because he wanted total control of the army.

'UMENIKUMBUSHA!'

Go through the following extract:

It was Kagame Not Museveni who Killed Fred Rwegyema

General Salim Saleh in a military uniform in early 1980s

Friends at UAH I do not find any problem with Museveni's involvement in the 1990 war, per se. Perhaps what happened later? I must explain myself. M7's help for our Rwandan struggle was actually a moral obligation for him and Ugandans in general. It was not Museveni only that helped us from Uganda. I recall the so many Ugandan combatants with whom we were on the front for the Rwandan struggle. Some of them died. May they live eternally?
We had a serious problem that time. We had no permanent home. However much Uganda had become our home, it was home away from home. We gave to Ugandans and we received from Ugandans.
The first mistake Museven made in the struggle was to order the killing of Afande Bahingana and Bunyenyezi. After Paul Kagame had organised for Afande Rwegema's death, he cheated Museveni into believing that Afande Bunyenyezi and Bahingana had killed Rwegema. Given the close relationship and friendship between M7 and Rwegemea, M7 ordered his brother,Afande Salim Saleh, to execute the two with immediate effect.
M7 had no reasons to believe that Kagame could do such a thing to a person who actually carried him all the way from the streets of Kampala, dealing in fake cheques, Rwegema carried Kagame to the altar!!!! I tried to tell people the true story but they did not want to listen. It is now, after Kagame's attempt on afande Kayumba's life, that people have started reflecting how far Kagame can go just to be the ‘top man"!!! Other mistakes Museveni made are basically political and internal issues for Ugandans to handle. I do not think I have the authority to discuss them.
General Kayumba's assassination was sanctioned by Kagame. Claude was put in charge of this. It leaked before and we warned people in South Africa. They promised not to go for any World Cup game and to remain indoors most of the time. For some reason, "C" went out!!!
Kagame also said it a few days ago. He said he was set to kill "House Flies" with a hammer. By house flies he meant Kayumba and Karegeye. Remember there are so many former Kagame allies in South Africa who are on Kagame's list. For your information, some of "the hunted" now were "hunters" with this "arch hunter" (Kagame) at a certain time. We know so well how Kagame does it.
Here in the US, Kagame has posted two people with a mission to poison/assassinate Rwandans and Americans that are perceived as "sympathetic" to the oposition. One of them is Mbabazi Justine (Washington) and another one Nduhungirehe ( New York). The only pity I have for these ones is that they may go back to Kigali dead!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
General Kayumba does not need to turn himself in. He can say what he has to say in another Forum. If he is willing to tell the whole truth, as an insider, Gen. Kayumba is welcome. The new Rwanda I wish for Rwandans is that one in which the whole truth about the Hutu and Tutsi killings can be freely discussed and people brought to book. It does not need to be formal courts. It is not even an appropriate method. I believe a South African Truth and Reconciliation Commission is the only viable forum for Rwandans. What is tru is that on our side as the Tutsi front – RPF- we killed the Hutus in Millions. Habyarimana's – the Hutu Front also killed Tutsis in thousands. In addition, our side ( RPF) killed so many Tuitsi ( those Tutsi who remained in Rwanda under Habyarimana. We considered them a serious threat because they were basically educated and rich. Kagame himself ordered that they too be eliminated -regardless of whether they were fellow Tutsis because they would create "Fujo"!!!!
LUSOKE WILLIAM
Former RPF Combantant
USA
 
ahahahahaahhahahhahaaahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kweli humu kunawatu wanaotunga uongo mtupu na kuuweka jf kamavile ukweli.... hizo story zako zirudishe uliko zitoa kwani nikichekesho kwani uliyo yasema hakuna hatamoja lililofanyika hizo ni ndoto zako.

MUKAMASIMBA Mfa maji haachi kutapatapa! Mi nnawaangilia tu pumba zaohalafu cha kuchekesha hizo story wanazileta kabla ya kunijibu swali langu,nimewauliza hivi wangekuwa wao ndio Kagame wangefanyeje kudhibiti hao wanyama? Badalaya kujibu swali basi ndio wameamua kuja na hiyo mistari ya kutunga, sumuzilivyowajaa zimewafanya wasahau kwamba kipindi afande Rwigema alipofarikiafande Kagame alikuwa shule Marekani yaani hao watu ni majanga

Let us assume Kagame alimwaga damu. Habyarimana angemkuta Kagame kwenye andaki angemuimbia bed time stories? Msianzishe masumbi alafu muanze kulia ngumi za usoni. Habyarimana alimuua Rwigema rafiki yake wa utotoni wa Kagame. It was in a war situation. Now I hope u understand why he says "I dont give a damn"

Tofautina TZ, Siasa za Rwanda bahati mbaya ziko littered in blood nyie wahutu mlio humu mnazielewa. Kayibanda, Habyarimana etc. Kama kagame alimwaga damu ni kwa sababu ya context anayofanyia kazi. Hivi Kayumba anavyosema kwa chuki vile akimpata Kagame amesinzia atampa forehead kiss aon doke zake?

Kuhusu Genocide sijui Congo au Kuwaua wahutu na ujinga mwingine muende Rwanda desk Ufaransa mkawaambie watunge uongo mwingine maane huo umeshaonekana ni wa kipuuzi.
 
ahahaaha si hawa wanao mfagilia na kumsifu jane corbin kwa documentary yake ya kuichafua rwanda wakati niyeye pia aliye kua akiandika documentaries za kumchafua Sadam hussein mpaka akanyongwa na kubainika kwamba hapakuwepo ukweli wowote katika yaleyote aliyoandika dhidi ya sadam hussein...sasa mimi nawauliza hawa jamaa nikigezo kipi wanatumia kumwamini huyu mama?au ni kwasababu ni mzungu? hili ndio tatizo la watu weusi documentary zao kwao hazina ukweli ila za mzungu ndizo za kweli.
 
Let us assume Kagame alimwaga damu. Habyarimana angemkuta Kagame kwenye andaki angemuimbia bed time stories? Msianzishe masumbi alafu muanze kulia ngumi za usoni. Habyarimana alimuua Rwigema rafiki yake wa utotoni wa Kagame. It was in a war situation. Now I hope u understand why he says "I dont give a damn"

Tofautina TZ, Siasa za Rwanda bahati mbaya ziko littered in blood nyie wahutu mlio humu mnazielewa. Kayibanda, Habyarimana etc. Kama kagame alimwaga damu ni kwa sababu ya context anayofanyia kazi. Hivi Kayumba anavyosema kwa chuki vile akimpata Kagame amesinzia atampa forehead kiss aon doke zake?

Kuhusu Genocide sijui Congo au Kuwaua wahutu na ujinga mwingine muende Rwanda desk Ufaransa mkawaambie watunge uongo mwingine maane huo umeshaonekana ni wa kipuuzi.

Mkuu, wanyajua yote haya hawa interahamwe ila kwa sababu wanatufuta sympathy ya watanzania ile waruhusiwe wahamishe makambi yao huko watasema lolote ili mradi wakubaliwe. Tusidanganyane Rwanda na Tanzania wako katika wakati wa kutoelewana na sababu ni kwamba serikali moja (name withheld) imeamua kuwapokea na kuwapa hifadhi maadui wa Rwanda mchana kweupe. Kama sio intelligensia ya uhakika ya Rwanda ambayo inawaumbua kwa kuweka wazi ziara za viongozi wa FDLR nchini Tanzania, hawa watu wangekuwa wametuweka pabaya. Jiulize kwa nini mpaka sasa hivi eti FDLR wamepewa muda wavune kwanza mazao yao, wazae watoto wengine (future interahamwe), wauze mali zao, wafunge masanduku halafu ndio FIB eti wawashambulie. Lakini mimi nasema, vyovyote vile hawatathubutu hata siku moja kuishambulia Rwanda. Atleast not on our soil.
 
You have just stirred the nest of wasps (THE REAL 'AMAVUBI') and, baby, YOU'VE GOT IT COMING!
HOW LONG, DO YOU THINK, YOU WILL MANAGE TO SURVIVE BY LYING?

https://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=3UpEyiwThkc
 
i just think bbc will be happy to see another genocide to country
why cant they remain quite
it is important to speak the truth to be known. kagame has been speaking lots of lies while all the time he himself is the chief genocidaire. to him genocide is only when you kill tutsis but does not apply when tutsis kill hutus in mass.
 
Sasa documentary kama ile Kagame anaweza kui dispute vipi?

Na kwa nini alivyoalikwa na BBC awe part ya documentary kutoa his side of the story kakataa?
 
What The Guardian has revealed is common knowledge in East Africa.
Murder was carried out by all tribal groupings with the Tutsis on the receiving end.
Kagame was however instrumental in sparking off the genocide by shooting down the plane carring the incumbent president.
That is the sacred truth, and that truth will not go away.

Moreover, the documentary makes a specific, telling and damning point towards Kagame.

That the notion holding that Kagame stopped the genocide is a fiction.

That the Hutus stopped killing Tutsis before Kagame entered Rwanda.

That Kagame escalated the genocide anew by allowing and even blessing/ orchestrating a wave of Tutsis killing Hutus.
 
Kweli wavivu wa kusoma ni wengi. If you could only stretch your brain a little bit you would learn a lot and maybe you would have a different perception. Lakini wengi wenu ni wavivu wa kujisomea kazi ni ku google and in two days you are an expert on Rwanda. Pathetic.
 
You are living on borrowed time by propagating what is undoubtly a falsified view of tha mass killings in Rwanda.
When this time runs out, you wish you had said the truth.
 
Kweli wavivu wa kusoma ni wengi. If you could only stretch your brain a little bit you would learn a lot and maybe you would have a different perception. Lakini wengi wenu ni wavivu wa kujisomea kazi ni ku google and in two days you are an expert on Rwanda. Pathetic.

Wewe uliyeshindwa kuniambia nimeshindwa kusoma nini na kwa nini ni mvivu zaidi yangu.

Maana unaonekana hata unapolaani uvivu, unaulaani kwa uvivu.
 
Back
Top Bottom