Ukweli ni hivi. Kagame ana Maadui wengi wakiongozwa na Ufaransa ambao uliandaa na kushiriki kwenye Genocide ya watusi. Baada ya Kagame kuwafukuza Rwanda na DRC (karibu wafukuzwe Africa yote) walibadilisha strategy wakapanfa long term. Kwa miaka karibu 20 sasa wanatumia misinformation ili:
1. Kufuta kabisa evidence kwamba walifanya Genocide. Strategy yao ni nyingi including kucheza na number ya victims (only 200,000 Tutsis died). Kwenye hili wana allies wengi wakiwemo wahutu waliochinja watoto na wanawake pamoja na NGO zinazomchukia Kagame kwa sababu aliwafukuza Rwanda
2. Kumpaka mavi Kagame, kumsingizia, kumhaibia jina ili siku watakapomfanyia kama walinvyomfanyia Sankara wajinga kama hawa walio hapa wasiquestion unyama wao. Kumbuka Gadaffi, Sadaam walivyotendewa. Bahati mbaya Kagame yu makini hawana chance haa kidogo.
Hao akina Kayumba na Rudasingwa walikuwa recruited zamani kama Blaise Compaore wakati bado wako kwenye system lakini Mzee kinana akawagundua mapema.
France iko na "Rwanda desk" ambayo ina resources za kumtumia yeyote imtakae Kikwete, Zuma. Membe, Human Rights Watch, Monusco, BBC name it.
Kuna wengi ambao wanatumiwa bila kujua tatizo la Rwanda. Kuna wengi wabatumiwa kwa sababu ya Pesa. Kuna wengi wanaotumiwa kwa sababu ndugu zao walifanya Genocide. Kuna wengi wanaotumiwa kwa sababu ya ujinga tu! ( nina pua kubwa so nawasupport wahutu, kagame mtusi, alimtukana kikwete, kwa nini hapatani na FDLR bla bla bla...)
In conclusion, msidanganywe na members humu wenye agenda. Kuna ma genociders wengi na sympathizers wao humu. Fuatilieni kwa karibu kabla ya kulopoka. Issue za Rwanda ziko complicated. Kagame sio malaika (nani mwanasiasa malaika?). Lakini ukichunguza vizuri na ukapndoa chuki za kijinga utakuta ndie Raisi mwafrika pekee ambaye anafanana na akina Sankara, Samora Machel na Nyerere