BBC: we had a ‘duty’ to make Rwandan genocide documentary

murutongore

Tunamungelea Habyarimana wewe unamleta mkewe, typical! hata kikwete aliposhauri mkaanza kumzushia mkewe! what does the above have to do with the FACT that Habyarimana signed a power-sharing agreement with RPA? Remember the argument here is weather Habyarimana is similar to Hitler.
 
Last edited by a moderator:

I know you dimwi...just wanted to give you some nice info for you to digest ili baadae utwambie jinsi mlivyopanga mauaji
 
kweli sumu iliisha waingia mwili mzima,jamaa walikata watusi mapanga kweupe mchana televison zikipeperusha hizo picha 24hrs,mimi sioni ajabu kwani hii mipango ya wazungu baada ya kuona afrika chini ya mtusi haitawaliki sasa wanataka kurudisha hao wachinjaji madarakani wakijifanya kama vile hakuna walicho fanya ili waweze kurudi kuitawala afrika kama zamani ungejua jinsi wanavyoupinga muungano wa EAC! ndio ungejua hili sakata linasema nini.

Hilo la mapanga halina mjadala wala hakuna mtu anakataa. Je la kagame na jeshi la watutsi kuvamia nchi kwa miaka minne unadhani watu wamesahau? au kagame alikuwa anaua ng'ombe? la kagame kuvamia kambi za wakimbizi na kuwaua ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda unadhani watu hawafahamu? Wazungu hao hao si walisimamisha misaada Rwanda ili kuiadhibu kwa kuhusika na M23 nchini DRC? Rwanda inategemea misaada na foreign investments, haina export yoyote ya maana, haina services zozote za maana, je sio wazungu hao hao unaowalalamikia wanaotoa hiyo misaada na investments Rwanda? Kwa nini kama wazungu ni wabaya msiwafukuze kama ambavyo Mwalimu Nyerere alikuwa anafanya pale ambapo wazungu walikuwa wakiingilia mambo yetu kama kweli kagame ana ubavu? hahahaha. Juzi tu waziri wa afya kasema wamarekani wakaguliwe kwa vile it is a FACT that there is Ebola in US, kagame alivyo coward kamchafua mama wa watu halafu akaondoa marekani off the list! Sasa maana yake nini kwa Rwanda kukagua waafrika toka liberia, sierra leone halafu uache wamarekani? kwani Ebola ya wazungu ni tofauti na Ebola ya Liberia? What cowards you people are!
 
kagame aliwaambia wazungu na kilasiku arudia kwamba yuko tayari kushirikiana na mzungu kwasharti kwamba ayafanyayo yote iwefaida kwanza kwa wanyarwanda na ku support projects za wanyarwanda walizo jipangia bila hivyo kagame anakuonyesha njia ya kutokea,kuhusu kuvamia hapo umesema uongo RPF haikuvamia bali walirudi kwao kwa nguvu siyo kuvamia elewa hilo,vita ilikua kati ya majeshi ya RPF na majeshi ya rwanda wakati huo wakishirikiana na interahamwe,sasa ukiongelea kuvamia makambi wakati ule kambi za wakimbizi ndizo zilikua kambi za kijeshi wakati huo hata trainings walikua wakizifanyia humo kambini therefore kulikuwepo haki ya kushambulia hao wauaji waliokua wakijiandaa kufanya mashambulizi kwa rwanda na RPF iliweza kuwadhibiti kabla hawajaleta madhara kwa wanyarwanda,kuhusu waziri wa afya hayo mambo yako more political yaache kama yalivyo,lakini unachotakiwa kuelewa na ukweli utabaki palepale ni kwamba wahutu wenye imani kali walifanya Genocide dhidi ya watusi wasio kua na hatia.
 
kweli sumu iliisha waingia mwili mzima,jamaa walikata watusi mapanga kweupe mchana televison zikipeperusha hizo picha 24hrs,mimi sioni ajabu kwani hii mipango ya wazungu baada ya kuona afrika chini ya mtusi haitawaliki sasa wanataka kurudisha hao wachinjaji madarakani wakijifanya kama vile hakuna walicho fanya ili waweze kurudi kuitawala afrika kama zamani ungejua jinsi wanavyoupinga muungano wa EAC! ndio ungejua hili sakata linasema nini.
Usivuruge mada na suala lililojiri.
Suala ni kwamba Kagame kuhusika na mauaji ya Habyarimana hutaki kuligusia, kagsme kaua.
Rwanda akitawala Mtusi au Mhutu ni jambo la kawaida, ila wewe kama Kagame you are all denying the murder you commited.
Na mauaji ya Kambi ya Kobeho nayo ilikuwa Wahutu au siyo?
Kagames reputation is gone fo ever na atanyongwa tu.
 
usivuruge mada na suala lililojiri.
Suala ni kwamba kagame kuhusika na mauaji ya habyarimana hutaki kuligusia, kagsme kaua.
Rwanda akitawala mtusi au mhutu ni jambo la kawaida, ila wewe kama kagame you are all denying the murder you commited.
Na mauaji ya kambi ya kobeho nayo ilikuwa wahutu au siyo?
Kagames reputation is gone fo ever na atanyongwa tu.

dua la kuku hilo!
 
Usivuruge mada na suala lililojiri.
Suala ni kwamba Kagame kuhusika na mauaji ya Habyarimana hutaki kuligusia, kagsme kaua.
Rwanda akitawala Mtusi au Mhutu ni jambo la kawaida, ila wewe kama Kagame you are all denying the murder you commited.
Na mauaji ya Kambi ya Kobeho nayo ilikuwa Wahutu au siyo?
Kagames reputation is gone fo ever na atanyongwa tu.

Stop stupid lies,Habyarimana alipigwa kombora na hao ndugu zako wauaji even science and all the evidence from your dad France proved it,Kibeho ilikuwa kambi ya interahamwe using innocent people and you were warned..the camp was heavily populated by people "involved in the 1994 genocide.
 
You mass murderers you killed over 3000 prople at Kobeho camp on the orders of Kagame.
If you want the truth to be known, why ban the BBC' Rwanda the untold story programme?
Even Gen Nyamwasa has alleged that Kagame danced the whole day on hearing of Habyarimanas death.
And that PK is a serial killer who derives some joy in killing, there was a clip of PK saying those agsist him will die, he said that in a church of all places.
 
You mass murderers you killed over 3000 prople at Kobeho camp on the orders of Kagame.
If you want the truth to be known, why ban the BBC' Rwanda the untold story programme?
Even Gen Nyamwasa has alleged that Kagame danced the whole day on hearing of Habyarimsanas desth.
And that PK is a serial killer who derives some joy in killing, there was a clip of PK saying those agsist him will die, he said that in a church of all places.

Kelele tuu za kipuuzi,why not join FDLR/interahamwe?shida sana nyie.
 
Hilo la mapanga halina mjadala wala hakuna mtu anakataa. Je la kagame na jeshi la watutsi kuvamia nchi kwa miaka minne unadhani watu wamesahau? au kagame alikuwa anaua ng'ombe? la kagame kuvamia kambi za wakimbizi na kuwaua ndani ya Rwanda na nje ya Rwanda unadhani watu hawafahamu? Wazungu hao hao si walisimamisha misaada Rwanda ili kuiadhibu kwa kuhusika na M23 nchini DRC? Rwanda inategemea misaada na foreign investments, haina export yoyote ya maana, haina services zozote za maana, je sio wazungu hao hao unaowalalamikia wanaotoa hiyo misaada na investments Rwanda? Kwa nini kama wazungu ni wabaya msiwafukuze kama ambavyo Mwalimu Nyerere alikuwa anafanya pale ambapo wazungu walikuwa wakiingilia mambo yetu kama kweli kagame ana ubavu? hahahaha. Juzi tu waziri wa afya kasema wamarekani wakaguliwe kwa vile it is a FACT that there is Ebola in US, kagame alivyo coward kamchafua mama wa watu halafu akaondoa marekani off the list! Sasa maana yake nini kwa Rwanda kukagua waafrika toka liberia, sierra leone halafu uache wamarekani? kwani Ebola ya wazungu ni tofauti na Ebola ya Liberia? What cowards you people are!

Repetitive, unsubstantiated and useless allegations....one thing which we aren't is cowards. Coward ni wewe unaeuwa wanawake na watoto wasiokuwa na hatia halafu unakimbilia nje to save you stupid ass.
 
On a serious note, I really find Mrs. Mushikiwabo as a stupid lady. Seriously though, she's being used without even knowing it or she knows but she agrees to be blind so she can get paid on the innocent deceased expense. As a mother and a decent human being, why would one decide to lie to the world purposely when the majority of the people in her own country already know the truth? Does she not feel sorry for the people whom they massacred? Everything on that BBC report about Kagame is true, all EAC leaders know it is true even Rwandese know it is true but are scared to say the truth because they'll be executed or just dumped onto lakes and rivers in Rwanda. There's a genocide phobia in that country, nobody trusts anybody and people have been brainwashed to believe and say lies so Kagame's government will be perceived as credible. What the world used to know about genocide coming from Rwanda's government controlled media is different to what actually happened in that country, and now the world is being told the real truth, people in Kagame's government are sweating. The truth hurts and will prevail, always! I really wonder, how the hell does this woman sleep at night? She knows she's lying to the world but still insists on telling lies after lies. Very sad indeed.
 
Jamaa_Mbishi
Another garbage from know nothing Rwanda expert.....get a life.
 
Last edited by a moderator:
What The Guardian has revealed is common knowledge in East Africa.
Murder was carried out by all tribal groupings with the Tutsis on the receiving end.
Kagame was however instrumental in sparking off the genocide by shooting down the plane carring the incumbent president.
That is the sacred truth, and that truth will not go away.

One fact about TRUTH is that: You can battle it BUT you will never win it!
 
Jamaa_Mbishi

Ok! Let us agree that everything Kagame did and does are bad, what do you think he should have done to stop the mad mob? Anyproporsal? May be you can help us to #bringbackourgirls in NIgeria and free the captives from ISIS e.t.c
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom