MUKAMASIMBA
1. Nadhani hujapinga kuwa Rwanda inategemea misaada, tuishie hapo.
2. "walirudi kwao kinguvu" kivipi? kwani nani aliwafukuza? kwa nini watutsi majority wawe Rwanda all that time halafu only a few of them (tena wanajeshi wa Uganda by the way) wawe nje?
3. Wewe sasa ndio unaleta uongo. RPA walikuwa wanavamia vijiji vya Rwanda kiholela na sio kupambana na jeshi, walikuwa wanafanya guerilla attacks, wanavamia usiku na asubuhi hawaonekani wanakuwa wamerudi Uganda (na ndio pia wakawa wanajiita wenyewe kuwa ni MENDE/INYENZI). Apart from that walikuwa wanafanya assassinations za prominent Hutus kama wafanyabiashara wakubwa, politicians, wasomi etc, (just like kagame is still doing today kwa kuwapa kesi za genocide, revisionism, divisionism, blah blah). Jeshi la Habyarimana lilianza kupambana na RPA baadae kabisa. Na hii ndio sababu baadhi ya wahutu especially interahamwe walilipiza kisasi kwa raia wenzao wa kitutsi, hii ni kwa sababu jeshi la serikali lilikosa wa kumpiga. RPA kimsingi walikuwa magaidi tu bora hata M23! maana angalau M23 walikuwa wanaonekana uwanja wa mapambano sio RPA cowards ambao wanawinda civilians na ku-displace vijiji halafu wanarudi Uganda.
4. Habari ya kuvamia makambi sihitaji kubishana na wewe. Haiingii akilini kuwa kambi za wakimbizi NDANI YA RWANDA (kwenye documentary ya BBC) zilikuwa military camps, when was that? Yani FAR wakimbilie DRC, halafu wahutu ambao ni internally displaced waweke kambi za interahamwe WITHIN RWANDA? you must be joking on this one.
Pili, kuhusu kambi za wakimbizi nje ya Rwanda let me assume kuwa kweli kulikuwa na interahamwe. Je hao interahamwe walijulikana vipi? walikuwa na alama usoni au kila kijana mhutu alikuwa automatically interahamwe? Na mbona refugee camps ambazo UN inathibitisha zilikuwa na maelfu ya wanyarwanda, women and kids included zilisambaratishwa na RPF bila utaratibu wowote? kwenye documentary mtoa ushahidi alikuwa ni msichana mdogo tu, yeye alikuwaje interahamwe then?
5. Kuhusu waziri wa afya vs kagame, please feel free to explain hizo "politics" ambazo zinasababisha kagame aruhusu wazungu wasikaguliwe kwa ebola hata kama kwao ipo lakini waafrika wakaguliwe. Explain why waziri aliyesema watu wote wanaotoka kwenye mataifa yenye ebola wakaguliwe (US and spain included) aambiwe eti "she acts without thinking" na kagame, kwa sababu kwa any great thinker hapa JF , we fail to see where the lady was wrong. Au huyu mama ni mhutu nini ndio maana anastahili kutukanwa na Rais via Twitter? coz i don't think kagame would hurl such insults to mushikiwabo via twitter...anyway, ni hayo tu.:A S wink: