Shida kapewa North Korea na sio yule wa GazaKwani shida ni nini
Mimi mwenyewe nashangaa kwani kuna ShidooKwani shida ni nini
hakuna shido hapo kabisa maswahiba wanasaidiana km LGBTQ wanavyosaidiana kupigana na Hamas+HezbollahKwani shida ni nini
Fita ni fita kikubwa mtu anachezea kichapo na pande la nchi analibeba,,,,,,,na kwa sasa NATO mje wazi tu uwanja wa mapambano badala ya kuvizia vizia tuone upande upi ni wa vidume na upi wa taarabuShida Mrusi karamba mchanga Ukraine inabidi akodi askari North korea
Yaani NATO waingie vitani nchi 32 kule urusi si litabaki vumbi tupu.,!Fita ni fita kikubwa mtu anachezea kichapo na pande la nchi analibeba,,,,,,,na kwa sasa NATO mje wazi tu uwanja wa mapambano badala ya kuvizia vizia tuone upande upi ni wa vidume na upi wa taarabu
Hukumsikia M7 huko Uganda anayatamani lakini hawezi kuyapokea kwasababu USA atakasirika?Haya mapipa milioni Moja si amepewa na urusi vikwazo si kawekewa kwenye kununua
Vikwwzo vya umoja wa Mataifa vimfikie Israel na Hamas piaNi mwendo wa kula uliwe
View attachment 3158412
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza.
Mafuta hayo ni malipo ya silaha na wanajeshi Pyongyang wameituma Moscow kuendeleza vita vyake nchini Ukraine, wataalam wakuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy, wameiambia BBC.
Uhamisho huu unakiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa, ambavyo vinapiga marufuku nchi kuuza mafuta kwa Korea Kaskazini, isipokuwa kwa kiwango kidogo, katika jaribio la kukandamiza uchumi wake ili kuizuia kuendeleza silaha za nyuklia.
Picha za satelaiti, zilizoshirikiwa pekee na BBC, zinaonyesha zaidi ya meli kumi na mbili tofauti za mafuta za Korea Kaskazini zikiwasili kwenye kituo cha mafuta Mashariki ya Mbali nchini Urusi jumla ya mara 43 katika kipindi cha miezi minane iliyopita.
Picha zaidi, zilizochukuliwa za meli hizo baharini, zinaonekana kuonyesha meli hizo zikiwasili zikiwa tupu, na kuondoka zikiwa zimekaribia kujaa.
Korea Kaskazini ndio nchi pekee duniani ambayo hairuhusiwi kununua mafuta kwenye soko la wazi. Idadi ya mapipa ya petroli iliyosafishwa inaweza kupokea inapunguzwa na Umoja wa Mataifa kuwa 500,000 kila mwaka , chini ya kiwango kinachohitajika.
Hao NATO wenyewe wanajua mziki wa Hitler ulitulizwa na nani,,,maana karibia ulaya nzima ilishabebwa ila mjerumani akaja kupata wakati mgumu urusi,,,,,,,hao NATO nchi zao kulinganisha na Urusi hawana ubabe wowote kwenye medani za vita, zaidi wamezoea kupigana na vitaifa vya kuunga unga,,Ukraine mrusi anajua ni ndugu zake, wenye shida ni hao viongozi tu waliowekwa na wamagharibi ndo maana lazima itumike mbinu tofauti, unadhani angetaka afanye kama alichofanya Israel kule Gaza angeshindwa? Watu mipango tu ila angetaka kiev sahivi ingebaki magofu kama gazaYaani NATO waingie vitani nchi 32 kule urusi si litabaki vumbi tupu.,!
Ukraine tu taifa maskin na ata hawajulikami kwenye medani za vita sasa mwaka 3 russia hajatoboa anakodi askari toka north korea
Alisikika Kiazi mmoja kutoka Kibaigwa AkisemaPia inasemekana yale makombora hatari mapya ambayo putin anajitamba nayo na yenyewe yametoka Korea kaskazini.
Ni kwel kabisaHao NATO wenyewe wanajua mziki wa Hitler ulitulizwa na nani,,,maana karibia ulaya nzima ilishabebwa ila mjerumani akaja kupata wakati mgumu urusi,,,,,,,hao NATO nchi zao kulinganisha na Urusi hawana ubabe wowote kwenye medani za vita, zaidi wamezoea kupigana na vitaifa vya kuunga unga,,Ukraine mrusi anajua ni ndugu zake, wenye shida ni hao viongozi tu waliowekwa na wamagharibi ndo maana lazima itumike mbinu tofauti, unadhani angetaka afanye kama alichofanya Israel kule Gaza angeshindwa? Watu mipango tu ila angetaka kiev sahivi ingebaki magofu kama gaza
Viongozi wa ulaya wana gere sana.Shida kapewa North Korea na sio yule wa Gaza wananongwa
Rafiki wa kweli utamjua wakati wa shida!Ni mwendo wa kula uliwe
View attachment 3158412
Urusi inakadiriwa kuipatia Korea Kaskazini zaidi ya mapipa milioni moja ya mafuta tangu Machi mwaka huu, kulingana na uchambuzi wa picha za satelaiti kutoka kwa Open Source Centre, kikundi cha utafiti kisicho cha faida chenye makao yake makuu nchini Uingereza.
Mafuta hayo ni malipo ya silaha na wanajeshi Pyongyang wameituma Moscow kuendeleza vita vyake nchini Ukraine, wataalam wakuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, David Lammy, wameiambia BBC.
Uhamisho huu unakiuka vikwazo vya Umoja wa Mataifa, ambavyo vinapiga marufuku nchi kuuza mafuta kwa Korea Kaskazini, isipokuwa kwa kiwango kidogo, katika jaribio la kukandamiza uchumi wake ili kuizuia kuendeleza silaha za nyuklia.
Picha za satelaiti, zilizoshirikiwa pekee na BBC, zinaonyesha zaidi ya meli kumi na mbili tofauti za mafuta za Korea Kaskazini zikiwasili kwenye kituo cha mafuta Mashariki ya Mbali nchini Urusi jumla ya mara 43 katika kipindi cha miezi minane iliyopita.
Picha zaidi, zilizochukuliwa za meli hizo baharini, zinaonekana kuonyesha meli hizo zikiwasili zikiwa tupu, na kuondoka zikiwa zimekaribia kujaa.
Korea Kaskazini ndio nchi pekee duniani ambayo hairuhusiwi kununua mafuta kwenye soko la wazi. Idadi ya mapipa ya petroli iliyosafishwa inaweza kupokea inapunguzwa na Umoja wa Mataifa kuwa 500,000 kila mwaka , chini ya kiwango kinachohitajika.
Mkuu kabla hujenda mbali mrusi alikuja kupata msaada kutoka US ndio akafanikiwa vita ya Hitler, na Putin anajua hivyo vizuriHao NATO wenyewe wanajua mziki wa Hitler ulitulizwa na nani,,,maana karibia ulaya nzima ilishabebwa ila mjerumani akaja kupata wakati mgumu urusi,,,,,,,hao NATO nchi zao kulinganisha na Urusi hawana ubabe wowote kwenye medani za vita, zaidi wamezoea kupigana na vitaifa vya kuunga unga,,Ukraine mrusi anajua ni ndugu zake, wenye shida ni hao viongozi tu waliowekwa na wamagharibi ndo maana lazima itumike mbinu tofauti, unadhani angetaka afanye kama alichofanya Israel kule Gaza angeshindwa? Watu mipango tu ila angetaka kiev sahivi ingebaki magofu kama gaza
Mbona hao uingereza, ufaransa walipewa msaada na bado walichapika?? US hakumsaidia Urusi tu aliwasaidia wote waliokua wanapambana na Hitler ila Urusi tu ndo alieweza kumtuliza HitlerMkuu kabla hujenda mbali mrusi alikuja kupata msaada kutoka US ndio akafanikiwa vita ya Hitler, na Putin anajua hivyo vizuri