BBC Swahili ya enzi hizo!

BBC Swahili ya enzi hizo!

Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....

BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Kweli kabisa mkuu. Hivi Chama Omar Matata kastaafu kimya kimya au amebadilishiwa kazi? Siku hizi hasikiki kabisa.
 
Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....

BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Kwa majina ya hapo juu ndio tufahamu kuwa dini sio tatizo katika ufanyaji kazi kama tunavyoaminishwa katika vyumba vya ibada kuwa wale hawafai but sisi ndio kila kitu.
 
Ali saleh na Suzanna Mungy waandishi wenye sauti nzuuuuri sana kupata kuwasikia.

Utaskia Mimi ni Ali Saleh kutoka London
 
Nilipenda sana kumsikia lubunga byaombe, siku hizi nafurahi kuwasikia Suluma kassim na Alex muridhi.
 
Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....

BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Niko form one mwaka 1996 namuuliza jamaa yangu big wa class unaitwa Nani? Ananiambia lubunga byaombe mamaeeee
 
Kigara eee! Amka na BBC, Kinshasha eeh! Amka na BBC kwa masafa mafupi na ....

BBC ya enzi hizo asikwambie mtu.Ilisheheni manguli wa habari. Lubunga Byaombe (DRC) Tido Mhando, Suzan Mongi, Mariam Omary, Aisha Yahaya, Chama Omary Matata, Greipo Mbea (Mtaalamu wa mashairi), Iddy Seif, Zuena Seif, Suluma Kasimu, Ali Salehe, Ali Mutasa (Mtaalamu wa uchumi), Abdalah Majura,( Michezo). Baadae wakaja akina Hasan Mhelela, Salim Kikeke, Charles Hilal. I surely miss those ancient beautiful days.
Sure!
 
Kuna yule mama ana sauti nzito kama ya kiume.... alitoka IPP akaenda BBC. Alikuwa anasoma taarifa ya habari siku za jumamosi mechi ikiwa inatangazwa.

37375156_303.jpg

1. Nchi ninayotokea: Visiwa vya Comoros

2. Mwaka nilipojiunga na DW: Februari 12, 1979

3. Nilivyojiunga na DW: Hadithi ndefu ya kusisimua

4. Kwanini niliamua kuwa mwandishi wa habari: Bahati yangu

5. Vigezo mtu anavyotakiwa kuwa navyo kuwa mwandishi wa habari: uwe mkweli na utangaze cha kweli

6. Changamoto ninazokutana nazo kwenye maisha yangu ya kazi: Nyingi tu na hasa kama ni mwanamke

7. Tukio la kihistoria ambalo sitalisahau: Nilipokamatwa kwa muda na mamluki wa kifaransa Bob Denard

8. Mtu ambaye ningependa kumhoji: Yeyote yule mwenye la kusema
 
BBC hata habari muhimu hawana kabisa imebaki kama redio ya mitaanii
 
BBC siku hizi hamna kitu kabisa, zamani taarifa za habari kila baada ya saa moja na weekend. Pia zamani taarifa zao zilikuwa za kusisimua kweli ila siku hizi mmm bora usikilize VOA na DW wako vizuri.
 
Enzi hizo kuna vichwa kweli kweli Hafsa Mosi, Jumbe Omary Jumbe, Erick Mnene, Waihenya Kabiru, Erick David Nampesya, Solomon Mugera.
 
BBC ile ilikuwa inaleta habari za uhakika ukisikia habari ujue kiko 100% certified na wakiripoti kutoka maeneo husika.

Nazan waliwekeza sana kwenye utafiti wa habari na weledi wa wahusika ulikuwa mbali.

Siku hiz wamekuwa nyakuanyakua. Wanaokoteza habari za hapa na pale hata za udaku za huko insta zinarushwa nazo.

Kwa upande wa watangazaji, sizan kama wanawapata top notch km wa enz hizo, ni kama nao wanaokotwaokotwa.

Sijui shida ni bajeti au nini?
 
Nilikua napenda wanavyotamka majina yao mwishoni mwa uchambuzi au ripoti
Enzi hizo kila siku sa kumi na mbili na nusu nawahi mkulima ya mzee natafuta radio one napata habari and by the time nilikua secondary school tu lakini nilivutiwa na utangazaji wao
 
Back
Top Bottom