Naomba tupate clip ya huyu Dada Stella Agara akiongea juu ya utawala ulioshindwa WA Ruto. Dada kashusha nondo vibaya Sana. Ana sema Ruto aondoke kwa kujiuzulu mwenyewe, ikiwa njia zingine zimeshindika kupitia Bunge na Senate, mpaka kazungumzia Mungu kuingilia kati.
Na kwamba fujo zina sababishwa na wahuni kuingilia maandamano ya amani ya Generation Z
Na kwamba fujo zina sababishwa na wahuni kuingilia maandamano ya amani ya Generation Z