BBC: Rais Kikwete aruhusu Majasusi kutoka nje kuja kuchunguza mauwaji ya Viongozi wa Dini Zanzibar

Status
Not open for further replies.
Katika kile kinachoonekana jeshi la Polisi nchini kukosa imani tena kwa jamii serikali imeridhia uchunguzi wa mashirika ya kijasusi toka nje. Ili kujua nani yuko nyuma ya kadhia hiyo.

Concern
Hapa najua wanataka kuwatupia watu wa nje lawama nahakika wanajua nani anaendesha mauwaji lakini unafiki wa kukamatana ndo unawasumbua hawa serikali. Uchunguzi ukitoka utawasikis "kulingana na uchunguzi wa kijasusi toka nje umebaini.........." Ili wao waonekane sio walio watia hatiani watuhumiwa.

No
He is a stupid President. This Dr cannot think, how a murderer can think? He just wants to wash his hands. He is a haunted President /person, the evil of EPA, putting him in power, Daudi Balali blood is haunting him, we all will pay from the wrongs we did, you cannot escape this. Two things you cannot escape/big sins: between the two: taking someone's blood in exchange for power! The sin cannot be forgiven !
 
usalama wa taifa wako wapi?

Kwani WALIKUWA WAPI hadi hali ifikie kama ilivyo? Usalama wa Taifa wajibu wake ni kubaini mambo kama haya na kushauri jinsi ya kuyazuia. Sio kusubiri machafuko yatokee. Ikifikia hali ya machafuko ina maana Usalama wa Taifa uliishakufa zamani (RIP).
 
Kama mtz mpenda amani naungana na rais kikwete kulani mauaji ya padre mushi kule unguja.swali kwa watanzania wenzangu hivi ni kweli hatuwajui watu wanaofadhili vitendo vya ubaguzi wa kidini kule zanzibar ? Mbona tunashindwa kuwataja? Au tunasubili mpaka makachelo toka nje ya nchi ? Nafikiri sasa umefika wakati kwa ndugu zetu wa zanzibar kushirikiana na vyombo vya dola kuvitaja vikundi vya kigaidi kabla nchi yetu haijangia kwenye vita vya kidini,tukumbuke kuwa tanzania hakuna mkoa wa waislam wala wakristo nchi hii ni yetu sote.
 
Fastjet anadhihirisha Udhaifu wake!! Waje majasusi toka Italia,FBI na KGB......dhaifu mdebwedo atajuta kuwafahamu Katoliki.
 
Waislam tanzania kiama chenu kimefika, wanaokuja ni wale wanaowauwa waislam kila siku dunian kwa kisingizio cha ugaidi lakin hata siku moja hawajaonyesha gaidi ni nani na anafanya nn kutimiza huo ugaidi, waislam wengi wameuwawa na lkn hatujasikia unafanywa uchunguzi kutoka hata kwa jeshi la polisi tu. Lkn leo kauwawa binadam wanaambiwa majasusi waingie nchin kumtafuta gaidi, nani alishawahi kusikia mkristo anaitwa gaidi? Waislam sasa yale ya afghanstan,libya,somalia na nchi zingine silizosimamisha uislam yanakuja tanzania tena kwa ruhusa maalum, hii inaweza kuwa ya ule msemo wa usimoige mtoto usiku, yaan waislam wako katika jitihada za kutaka haki zao wanakuja watu wanamuua padri halafu wanasema waislam wamemuua ili ipatikane fursa ya kuwaua na kuhakikisha waislam hawapati tena fursa ya kuendelea kudai yale ambayo wakristo hawayapendi. Jiandaeni

Kwani uislam ndo umetajwa hapo kuwa ndo washtkiwa number 1 au ni kuanza kujishuku na kuanza kuunganisha matukio yasio na maana,acheni vyombo husika vifanye kazi yake,nikikuuliza ILUNGA aANACHOFANYA NI SAHIHI UTASEMAJE NA SHERIA INASEMAJJE KUHUSU MTU ANEITISHIA MTU HASA KUUA.

Leo mimi nikikutishia kifo then ukaja kufa peke yako huko barbarani kwa matatizo mengine ila kama suala ulilifikisha police lazima nikamatwe kwa maelezo zaidi,mbona hapo hamuunganishi.Kiujumla japo sio wote ila uislam unatumika vibaya na kama dini yenu inatetewa hivyo sidhani kuwa kuna dini hapo.

Ni mara nying sana utasikia waislam wakiwaita wakristo MAKAFIRI(KIUKWELI NENO HILO SILIPENDI NA UKIITA MBELE YANGU UANAKULA KOFI NA PENGINE NIKAPATA KESI YA MAUAJI).NI DINI ISYOJALI DINI NYINGINE NA KUJIONA NI WAO NI SAHIHI KWA KILA KITU.ACHENI HIZO
 
Hata mimi nimeshangazwa,ni kama wamefanya uamuzi wa ghafla!Juzi taarifa ya ikulu ilisema Rais kayaagiza mamlaka ya juu kabisa ya jeshi la polisi kufanya uchunguzi.Na haukupita muda wakatoa taarifa ya kuwa tayari kuna watuhumiwa watatu wanaoshikiliwa,hata hivyo hawakutajwa majina yao.

Sasa leo limekuja hili la majasusi kutoka nje.Pengine serikali na vyombo vya usalama wanahisi kuwa imani ya wakristo kwao imepotea.

Pia pengine either hawana ujasiri wa kulishughulikia,ama wanataka kuiua issue katika mazingira kama yale ya EPA ama kubuy time ili ijifie,hilo halitawezekana kama udini hautakwisha.

Hata FBI ikitoa hiyo ripoti,bado serikali inaweza kuikalia tu.Hivyo ninaamini kuwa kusema vyombo vya nje vya kijasusi vitachunguza ni njia ya kuituliza issue pembeni kwani ni too hot.Ni sawa na ule usemi wa "ugali moto mboga moto"

jmushi1, lazima nikiri uoni wako ni mkubwa sana, Watanzania wengi hawajafika hapo ulipo ona. Wanashangilia tu, kumbe wanafanyiwa Mazinga ombwe. Wao wako bize kulaumu Waislamu wana acha issue yenyewe ya tukio lililotokea.
 
hiki ni kichekesho kinanikumbusha moja ya hekaya za kale za kiislamu kati ya malaika jibril sio Gabriel na mchawi wa kiislamu maarufu sana duniani enzi hizo, jk ndo mastermind wa hii movie asituzuge na hao wapelelezi.
 
Rais Jakaya Kikwete amekubali wapelelezi wa nje kuchunguza kifo cha Padre Evaristi Mushi

Source: BBC Swahili

na wakimtaja yeye atasemaje? au atawafukuza kama rais Moi alivyowatimua Scotland Yard aliowaalika kuchunguza mauaji ya Robert Ouko (1990), na ikafikia mahali mshirika wake mkuu Nicholas Biwott alitajwa kama suspect.
 
Katika kile kinachoonekana jeshi la Polisi nchini kukosa imani tena kwa jamii serikali imeridhia uchunguzi wa mashirika ya kijasusi toka nje. Ili kujua nani yuko nyuma ya kadhia hiyo.

Concern
Hapa najua wanataka kuwatupia watu wa nje lawama nahakika wanajua nani anaendesha mauwaji lakini unafiki wa kukamatana ndo unawasumbua hawa serikali. Uchunguzi ukitoka utawasikis "kulingana na uchunguzi wa kijasusi toka nje umebaini.........." Ili wao waonekane sio walio watia hatiani watuhumiwa.
wataje basi hao unaowafahamu, na si kuuza porojo tu.
 
Kwani WALIKUWA WAPI hadi hali ifikie kama ilivyo? Usalama wa Taifa wajibu wake ni kubaini mambo kama haya na kushauri jinsi ya kuyazuia. Sio kusubiri machafuko yatokee. Ikifikia hali ya machafuko ina maana Usalama wa Taifa uliishakufa zamani (RIP).


Usalama wa Taifa wazee wa Intelijensia katika mikutano ya Chadema
 
Ni jambo la kawaida upelelezi wa jambo nyeti kama hili kushirikisha wenzetu ili kumaliza hiyo kazi mapema. Sioni ubay wake. Hii inaiweka serikali katika hali nzuri zaidi ya matokeo ya utafiti huo. Siyo kwamba hatuwezi kufanya wenyewe ila ni utaratibu wa nchi nyingi Duniani. Vile vile neno la upendeleo haliwezi kuwemo, hata mataifa makumbwa yatajua kinaendelea. Kwa hiyo ninaipa serikali Big up
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom