BBC News: Zika virus travel warnings spread to Africa and Oceania

Inatisha kwa kweli .
Na hichi ni kipindi cha mvua hao
Mbu watakavyo zaliana.
 
Wazungu washenzi wanatuletea magonjwa ili mradi watengeneze ajira tu.
Fikiri kidogo kuhusu tofauti ya kufikiri na baadaye utendaji wa fikira za kiafrika na USA. Tofauti ni kubwa ndugu!!!
Mwafrika anafikiri harusi na Misiba . USA wanafikiri kufufua ubongo, na watoto wa chupa, sio mazishi.
Mwafrika anafikiri kutawala wakati USA inafikiri kuongeza Dunia katika kila kitu.
Usilaumu fikiri tofauti kidogo.
 
Wazungu washenzi wanatuletea magonjwa ili mradi watengeneze ajira tu.
mkuu tumia akili kufikiri, huu ugonjwa umeanzia brazil na sio africa, so brazil nako wazungu wamepeleka ili wa-create employment.
 
mkuu tumia akili kufikiri, huu ugonjwa umeanzia brazil na sio africa, so brazil nako wazungu wamepeleka ili wa-create employment.
Wazungu washenzi,ugonjwa unatengenezwa Maabara wanaenda kuuimplement Kokote wanapotaka wao hata uanzie kwao wataudhibiti Kisha wataanza propaganda kwamba umespread nyinyi nyingine and bla bla bla.
 
Ndugu yangu Africa sijui nini tufanye, maana inakuwa kama vile afrijangas
Nchi hii inashindwa kusaidia watoto wasio vilema. Sasa hao watakao zaliwa vilema sijui itakuwaje.
Uzuri huh ugonjwa ni tunaweza ku prevent.

Wizara ya Afya naomba mchukulie hili gonjwa very serious.

Tafuteni namna ya kuthibiti mbu kwa ujumla. Mta save pesa nyingi sana mki jaribu ku prevent kuliko ku tibu.
 
Back
Top Bottom